Mume ananikwepe nifanyaje? Naombeni mnishauri.

Mume ananikwepe nifanyaje? Naombeni mnishauri.

Anafikiri jackpot huyo ndo maana anapoteza hamu ya tendo
 
Ndg zanuni,

Habari ya jioni hii ikiwa leo tareh 29 jumapili.

Waungwana niende moja kwa moja kwenye mada.
Mume wangu ananikwepa anitendei Haki katika kutimiziana maitaji yetu yakindoa(mwili)(kugegedana).

Kila siku napewa sababu akitoka kazini anajifungia chumba ambacho wana lala ndg zake wakiume nakusema kachoka sana na haitaji usumbufu ataki ata mazungumzo na ikitokea kanipa mkunyenge basi anamaliza yeye ananiacha natoa macho tu nakua bado nahitaji na sifiki kileleni.nimekua mtu wamawazo isitoshe hana dalili ya kuchepuka maana anawahi kurudi nyumbn sana na hata wikiend hatoki nyumbn pia cm yake ya tochi atumiwi ujumbe wowote zaid ya message za kubet na za voda na za mpesa uuuuuf! Nivute pumzi kwanza.

Kiukweli nimechoka kuomba penzi na kumwinda kila saa ,mawindo yasio na faida maana na mienzi mitatu sasa sijapigwa miti.

Ndoa ina miaka 2 .

Niko seriou waungwana naitaji ushaur makinika naitahi msaada naomben muweke utani pemben kwaleo.[emoji1317]

sijui kwa nini nahisi kuna kitu umelenga hapo kwenye hayo maneno yaliyokuwa bolded
 
Uliuziwa mashine mbovu ila waliipaka rangi mpya. Sasa hata vile vi spare vipya vya kuzugia vimechoka hata lujikongoja imeshindwa. We komaa tu maana hakuna namna. Nivigumu sana kulala na ndugu zako hata kama ana stres za namna gani
 
Uliuziwa mashine mbovu ila waliipaka rangi mpya. Sasa hata vile vi spare vipya vya kuzugia vimechoka hata lujikongoja imeshindwa. We komaa tu maana hakuna namna. Nivigumu sana kulala na ndugu zake hata kama anastres za gred ya taifa wakati kunachumba cha wanandoa
 
Sasa unahitaji ushauri au unahitaji kupigwa miti???
Nichek pm tujue tunafanyaje, watanzania sisi ni ndugu siasa tu zinataka kutubagua
teh...teh...ila wewe ni mkorea sasa!
 
Huyu ni mwanaume 100%. Usituchoshe bwana
 
Back
Top Bottom