Aiseee yaani 40yrs still unahitaji mume! Mam we lea mwanao tu, zaidi unatala kujitafutia kimeo. Hapo labda umpate mwanaume aliyefiwa na mkewe halafu ana watoto kama wanne hivi ndiyo aje akuoe kisha muanze maisha halafu uone kimeo cha kulea watoto ambao siyo wako na jinsi watavyokusumbua.
Binafsi sikushauri,