kaz kuuuuubwa
bora arud b4 ajaharibu kaz ya watu
mwambie aache kuwa mlaini kias icho yan kweli kwenye kitu cha maendeleo km icho washndwa kumconvnce mumeo akakuelewa?lakn i inatokana na mambo meeeng ikiwemo ya kutojengeana uaminifu tangu mwanzon ndo matokeo yake haya....kila dk unazan mkeo /mumeo anadinya....
...aongee na mume wake amtafutie kaz kabsa then arudi afanye uku manake asje akarud akaanza kukuna naz tu
..aangalie nini kinamata kwake NI FAMILY O CAREER?
MANAKE UNAWEZA KAA UKO UKARUDI NA MAHELA TEEEELE NA UKAKUTA FAMILIA IMEBOMOKA NA UKAJUTA MAISHA ..aangalie nini yeye ataka..ela znatafutwa familia iliyopotea kuitafuta tena haiwezekani ...
Kama mume anaelekea kuwa na uwezo wa kumudu maisha yao vizuri, basi akubali ku-risk....aache kazi for the sake of ndoa...
Otherwise kama mme ni wivu halafu uwezo mdogo........:A S-confused1:
Kama mume anaelekea kuwa na uwezo wa kumudu maisha yao vizuri, basi akubali ku-risk....aache kazi for the sake of ndoa...
Otherwise kama mme ni wivu halafu uwezo mdogo........:A S-confused1:
RR mume hana uwezo sana ndio maana kamruhusu kuja kufanya kazi huku kwenye risasi kila kukicha ila sababu mshiko mrefu mara saba ya aliokuwa anapata bongo ndo akaja. Hata kashafanya mambo kibao toka aje huku lakini jamaa haoni hilo
Suruali kidogo kwani anatumiwa hata mpaka pesa ya kula? Na hich ndo kinamuumiza sababu saa zote anawaza familia yake tu. Lakini aaminiki. Thanks for this
Suruali kidogo kwani anatumiwa hata mpaka pesa ya kula? Na hich ndo kinamuumiza sababu saa zote anawaza familia yake tu. Lakini aaminiki. Thanks for this
Dena hili ni tatizo kubwa sana... huyo dada atapata tabu sana aisee... Anaweza kuamua kukaa huko amalize mkataba wake akakuta mume ameoa mke mwingine kwa inferiority complex yake "atadai... Anamkomoa"... Bora aje afanye kazi huku aangalie familia yake.
bado cjaacha kazi yangu...
acmuendekeze, sasa akirudi waangaliane hapo ndani tu...hebu mdada atafite maisha huyo.
Shida hapo ndo ilipo. Anafikiria akirudi watakula nini? Jamaa nakikampuni fulani tu si cha mshiko kivile
Unajua inategemea mdada anampenda mumewe kwa kiwango gani, bahati mbaya mwanaume akishakuwa wa dizaini hii hajali maslahi ya familia, hafikirii watoto wala future ya watoto, yeye saa zote anawaza anaibiwa tu... Sana sana hata akitumiwa hela anaenda ku-spend na wanawake wengine (kwa sababu wengi wa dizaini ni wanachama wa ISC). Na kutokana na maelezo ya mwandishi ni kwamba mdada anampenda muwewe sana, kwa hiyo yuko radhi kuacha kazi arudi waangaliane... at the end of the day huyo mdada ndo ataendelea tena kuhangaikia familia... :mmph:
mie bwana mwanaume hanifanyi nikaacha kazi yangu, nimetokea huko mie, mr kulazimishwa na mama yake anishinikize niache kazi, maamuzi yangu yalikuwa kwamba kazi ctaacha sasa yeye ndio aamua afanyaje, dunia ya leo uache kazi ukae nyumbani kuomba mpaka hela ya pedi....haiwezekani...ali surrender mwenyewe akaona wife hamnazo, lakini nilikuwa tayari kwa lolote sio kuacha kazi yangu...khaa