toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa sana,nyumbani analala siku anazotaka,analeta mahawala zake chumbani,hashauriki,anatumia pesa hovyo hovyo,na amediriki hadi kutembea na dada yake ambae kitabia hajatulia.Hapa nilipo nimechanganyikiwa ee Mungu nisaidie
Mmmmh! keshalaaniwa tayari huyo,dada yake zipo timamuwa tumbo moja kabisa
wa tumbo moja kabisa
toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa sana,nyumbani analala siku anazotaka,analeta mahawala zake chumbani,hashauriki,anatumia pesa hovyo hovyo,na amediriki hadi kutembea na dada yake ambae kitabia hajatulia.Hapa nilipo nimechanganyikiwa ee Mungu nisaidie
na dada yake?
si mzima huyo
Mundu unaulizaje tena? Hujasoma alchoandka???
Unayajua maisha yao??Inawezekana walikuwa wamepiga hatua fulani na ikawa kumalizia zilizobaki.Hapa kuna kauongo
mil. 30 = nyumba nzuri + gari + hela za kuleweya + pesa za kuhonga...............duuuu
wa tumbo moja kabisa