Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Hiyo mbona kawaida? Watu kuwa na nyumba ndogo na vidomola ndio maisha ya leo.
Ulipata bahati ya kujua/kuhisi kabila la huyo mwanamke anayependa mumewe afe? Ukinijibu nitarudi tena
Mmmh, nikikoment hapa, naweza shabngaza sana.
Ngoja nipite.
Mkuu,
Familia nyingi sana ziko kwenye mtindo huo unaoendana na hadithi/simulizi lako!
Aidha, couples nyingi(approx 65%)zilishatengana zamani sana, na wanaishi pamoja kwa vile ni aibu kila mtu kurudi kwao, na labda mwingine wazazi wake walishatangulia kunako haki, hivo anakuwa hana pa kwenda.
Sasa hali hii inapokuwa Backed up na uwepo wa mtu wa nje(kimada au Buzi) basi inakuwa amplified, maana mtu anajua hata akiachwa, au mwenzake akifariki, basi yeye hatokufa njaa, maana ana mtu atakayegharamia maisha yake.
Ukweli anaujua ye mwenyewe! Lakini naweza sema huyo dada ni mmoja wa watu wanaoishi kwa kutegemea mwanaume na wapo kimaterial zaidi, yaani anaomba huyu afe ili aolewe na yule?? Tena ukute hata mumewe hajamtenda kosa kubwa kivile, ila ni ushambenga tu na kufuata mkumbo ndo vinamsumbua! Mwanamke mwenye akili timamu na anaejielewa vizuri hawezi kuongea maneno kama hayo achilia mbali kwa marafiki tu......hata kwa ndugu zake labda na wao wawe chenjeu kama yeye!
Sasa ana uhakika gani kama nani kati yao atatangulia?...Hapo ndipo wazo la kumwekea mtu DIDIMAC kwenye chai linapozaliwa!...huh!Huyu shostito kwa maelezo yake anaogopa tu kusemwa na watu kwamba kamkimbia mume kwahiyo ameamua kuendelea kuishi naye lakini anaonekana amechoka kabisa. Kwahiyo anadhani suluhu ya matatizo yake ni pale tu mumewe atakapotangulia mbele ya haki.
Mkuu,
Familia nyingi sana ziko kwenye mtindo huo unaoendana na hadithi/simulizi lako!
Aidha, couples nyingi(approx 65%)zilishatengana zamani sana, na wanaishi pamoja kwa vile ni aibu kila mtu kurudi kwao, na labda mwingine wazazi wake walishatangulia kunako haki, hivo anakuwa hana pa kwenda.
Sasa hali hii inapokuwa Backed up na uwepo wa mtu wa nje(kimada au Buzi) basi inakuwa amplified, maana mtu anajua hata akiachwa, au mwenzake akifariki, basi yeye hatokufa njaa, maana ana mtu atakayegharamia maisha yake.
sina uhakika sana lakini kwa jinsi nilivyomsikia akizungumza alikuwa akitajataja sana makambako, bila shaka atakuwa from nyaluland!
Haya mambo huwa yanashangaza sana.
Kuna baadhi ya makabila mke akifiwa na mume anapata mume wa kumrithi fasta, lakini mume akifiwa anaweza kuchukua muda kidogo kupata jiko lingine.
Kwa hiyo huyo mwanamke yuko sahihi akifiwa na mume leo anarithiwa na mume mwingine kesho na wala haigombi!