"Mume amefariki leo, Mke anaolewa kesho"...!!!

Sasa ana uhakika gani kama nani kati yao atatangulia?...Hapo ndipo wazo la kumwekea mtu DIDIMAC kwenye chai linapozaliwa!...huh!

Kweli mkuu anaweza kupata ushauri wa kumtanguliza mumewe, tumuombee asipate mshauri wa namna hiyo.
 
Shindwa na ulegee, kwani Makambako hakuna wakibosho? we vipi bana

Ha ha haa, calm down mbimbinho,

Hii ni story ya kweli, mimi nilitaka tu kujifunza kupitia hiki kisa, huenda na wengine wakajifunza pia, hasa wale tuliooa!!
 
Nimegundua baadhi ya wanawake hawaridhiki na ndoa zao kabisa.
Yaani mtu anapata kidumu anachanganyikiwa kama mtoto wa miaka 16
Wakati ni mwanamke wa miaka 40, hata siwaelewi.

Sasa mtu wa aina hii mumewe afe, si anaolewa kesho yake tu.
 
Hao mashosti waliokuwa wamekaa bar wakinywa na kula mdudu bila waume zao hapo tayari kwa mtazamo wangu sio sahihi. Unategemea nini hapo kama watapata ofa ya wanaume wengine hapo na kinywaji sio chai au supu kikishaingia kichwani vizuri na kushuka sehemu zote za mwili, kama wanalipa jamaa wanawachukua kwenda kufanya ngono kirahisi kabisa. Pombe ikishaingia kichwani changanya na uchungu wa magomvi ya nyumbani ni rahisi sana kujikuta mtu anafanya dhambi haswa ya uasherati sawa na mtu aliye na pepo mchafu. Ndoa zote inabidi ziwekwe mikononi mwa Mungu bila hivyo hakuna ndoa itakayosimama hata kama wanandoa wawe matajiri, wasomi, masikini au watu wa kawaida, waendakanisani sana, watoa sadaka sana au waimbakwaya sana.
 
Ingawa suala la kutoridhika na ndoa zao liko pande zote mbili, unadhani ni sababu gani ya msingi inayowasukuma wanawake wengi kuchanganyikiwa na mapenzi ya nje ya ndoa?
 
Mmmh, nikikoment hapa, naweza shabngaza sana.
Ngoja nipite.
Hebu komenti bana nijue la kufanya.....

Mwita Maranya: Utafiti nilioufanya mimi na NGO yangu isiyo ya kiserikali umebaini kuwa karibu zaidi ya 78.52% ya ndoa ni zile zinaowahusisha watu WASIOPENDANA!

Source: ODM.
Asiyenigongea like kwenye hii yuziful post, ndoa yake haitadumu.
AMEN.
 
Hao mashosti waliokuwa wamekaa bar wakinywa na kula mdudu bila waume zao hapo tayari kwa mtazamo wangu sio sahihi. Unategemea nini hapo kama watapata ofa ya wanaume wengine hapo na kinywaji sio chai au supu kikishaingia kichwani vizuri na kushuka sehemu zote za mwili, kama wanalipa jamaa wanawachukua kwenda kufanya ngono kirahisi kabisa. Pombe ikishaingia kichwani changanya na uchungu wa magomvi ya nyumbani ni rahisi sana kujikuta mtu anafanya dhambi haswa ya uasherati sawa na mtu aliye na pepo mchafu. Ndoa zote inabidi ziwekwe mikononi mwa Mungu bila hivyo hakuna ndoa itakayosimama hata kama wanandoa wawe matajiri, wasomi, masikini au watu wa kawaida, waendakanisani sana, watoa sadaka sana au waimbakwaya sana.

Kweli kabisa mkuu,

uwe masikini ama tajiri inabidi kumuomba sana Mungu akulindie ndoa yako, manake vinginevyo misukosuko ni mingi.
 
Hebu komenti bana nijue la kufanya.....

Mwita Maranya: Utafiti nilioufanya mimi na NGO yangu isiyo ya kiserikali umebaini kuwa karibu zaidi ya 78.52% ya ndoa ni zile zinaowahusisha watu WASIOPENDANA!

Source: ODM.
Asiyenigongea like kwenye hii yuziful post, ndoa yake haitadumu.
AMEN.

Kiongozi najua umeshapukutisha zaidi ya muongo mmoja ukiwa ndani ya ndoa na mama matesha, sidhani kama kungekuwa na mawazo kama haya mngefika hapo mlipo.

btw, nimesikia kwa mbaaali kwamba wajukuu wameanza kutishia ustawi wa ndoa yako, kuwa mwangalifu sana!!
 
Hiyo mbona kawaida? Watu kuwa na nyumba ndogo na vidomola ndio maisha ya leo.

DL , Si nia yangu nikukosoe bali ni kuiboresha comment yako, ni hivi ,
nimenong'onezwa na wazee wa mjini kwamba katika masiku haya ya globalisation , neno "Nyumba Ndogo" limefanyiwa renovation laitwa "Nyumba Maalumu"
ni hayo tu.
 
Maboresho katika sekta ya elimu,
Maboresho katika sekta ya afya,
Maboresho katika sekta ya kilimo,
Maboresho katika sekta ya nyumba ndogo, sasa inaitwa nyumba maalum!! kweli wabongo tunapenda ngono kiasi hiki eeh!!??
 
Wewe ulikosea ningekuwa mimi ningemuambia pale pale wacha kujisifu wewe, kama unamuombea mme wako kifo yanini ungojee kifo sikaombe tu talaka, ili ukaolewe na unaye mpenda.

Huyo ni kelele tu, hana lolote hao ndo wakifa kwa waume zao mpaa wanalamba na vidole vya migui ili ndo zao zidumu.
 
Kiongozi najua umeshapukutisha zaidi ya muongo mmoja ukiwa ndani ya ndoa na mama matesha, sidhani kama kungekuwa na mawazo kama haya mngefika hapo mlipo.

btw, nimesikia kwa mbaaali kwamba wajukuu wameanza kutishia ustawi wa ndoa yako, kuwa mwangalifu sana!!
Katika 78.52% kuna pasenti ngapi imebakia hapo kufikia 100? basi mi ndo nimo kule.
Mi nilioa rafiki yangu tuliyependana sana.
Hata nikiwa nafanya infii, navuta taswira yake kwa mbali vinginevyo kojo halitoki lile lol

Kuhusu wajukuu? Wale huwa nawakagua tu ili kujua kiasi cha mahari ntakachowalamba wamendeaji.
Baada ya kusema hayo nitake radhi mimi, mai waifu na wajukuu zangu.
 
Kwa maelezo ya huyu shostito ni kwamba yeye ndiye anatunza familia, nadhani wana mtoto/watoto, anayo kazi nzuri inayomuingizia kipato cha kutosha(ofcourse alitaja mahali anapofanya kazi, ni kampuni kubwa hapa nchini).
Kinachomtatiza ni kwamba mume haonekani kumjali kabisa, haonyeshi mapenzi yoyote kwake, anahisi kama ana mwanamke mwingine.

my dear hayo mambo ni ya kawaida mbona nilishaenda kwenye msiba mma kafiwa na mmewe akiwa sitting room analia akienda chumbani anawaambia mashosti wake mbona afadhali Mungu amemchukua tutaishi kwa raha na watoto wangu alizidi kuninyanyasa. wapo pia waume zao wakifa utawaona wajane wanaanza kunawiri. hebu tujiangalie vizuri tunavyoishi na wenza wetu. bibi yangu huwa ananiambia babu yako angekuwa hai leo nisingekuwa nimeishi miaka hii 93, na anasema alikuwa mnyanyasaji ile mbaya so alivyokufa bibi yetu amepumzika na manyanyaso.
 
Naomba Mungu anisaidie nisije muwazia mwenzangu afe.................... akifa kweli sijui utajisikiaje?
 
Back
Top Bottom