Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

ngungwangungwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
651
Reaction score
589
Naangalia TBC 1 hapa,naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo,amekanusha maneno ya Mchome ya kuongeza daraja la 5 na kusema daraja hilo halipo na sifuri ipo pale pale.

Source; TBC 1



------------------

 
Naangalia TBC 1 hapa,naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi philipo mulugo,amekanusha maneno ya mchome ya kuongeza daraja la 5 na kusema daraja hilo halipo na sifuri ipo pale pale. Source; TBC 1


Ingawa kwa hilo nakubaliana naye, kama binadamu anaitwa Mulugo ametoa maoni yake sina la kusema. Hivi pamoja na kufoji kote huko Mulugo ado Naibu Waziri? JK, huyu mtu ana kazi nyingine ipi kitaifa au ni mganga? Mnataka afanye lipi ndipo umuondoe?
 
Hawajamaa wanaona hii sekta ni ya kuchezea chezea tu yaani kila anaejisikia anafanya mabadiliko
 
Reactions: Ame
Hapo kaeleweka sana tu, amejieleza vizuri sana
 
hawa nao wanatuchanganya na makauli yao yanayopishana.tumwamini yupi kati ya prof. ama kihiyo?
 
sasa tushike lipi!

Kwa sasa tushike la huyu wa leo hadi hapo yatakapotokea mabadiliko, na anavyomalizia amesema alama mpya za kidato cha sita zitatangazwa pia wakishafanya "calculation".
 
Picha bado inaendelea hakuna kurudisha chenji naisi kama wanaofanya mtihani leo wamesikia hivyo baadhi yao wameshaasilika kisaikolojia tayari.....
 
Duuuuu!!
Poor communication kati ya wizara na watendaji wake.

Unaweza ukaona namna kazi zinavyofanywa kwa ubabaishaji.

no team working and networking.
Kila kukicha ni vioja juu ya viroja.
Aaaaaaaa only in Tanzania!!
Haya twende kazi sasa.
 
Wanajichanganya tu hawa!!!
Naangalia TBC 1 hapa,naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi philipo mulugo,amekanusha maneno ya mchome ya kuongeza daraja la 5 na kusema daraja hilo halipo na sifuri ipo pale pale. Source; TBC 1
 
Me nashukuru Mungu ameongea wakati wanafunzi wakiwa tayari wapo shule! Angeongea jana,ki-saikolojia ingewaathiri saana.
 
Mabata wadogo wadogo wanaogelea kaktika shamba zuri la elimu la Tanzania. Ni nchi pekee ambayo huwezi kutofautisha profesa na aliyeishia darasa la nne. Tunamsubiria Pinda na yeye aropoke lake. Tuendelee kusubiri tuone Alhamisi akitwangwa swali kuhusu hilo atajibu nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…