babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,752
Kwani Saudi Arabia ndio imebomoa miji yao? Au ndio imeua familia zao? Au ndio imewafanya wao kuwa wakimbizi?Why wasimgeeenda kuomba asylum
saudi arabia au dubai kwa waislam wenzao?
Mmmhhh! Kwa hiyo mzungu akifanga mashambulizi sio gaid mkuu, mpaka afanye mwarabu.Mkuu, bado haijathibitishwa kama hili shambulizi limefanywa na gaidi au mzungu mwenye msimamo mkali ambae hapendi wageni.
Idadi ya watu waliokufa ni ndogo sana (hadi sasa watu 9) kwa shambulizi la bunduki, hivyo kuonyesha kwamba huenda muuaji walikuwa akichagua watu wa kuwauwa.
Tusubiri taarifa kamili.
Kobomoa miji ya watu,kuuwa familia zao ili uibe Mali zao ndio wema?Wema ukizid matokeo yake nihaya
Hawawezi kuja.Waje huku manelomango.
Huyo aliyefanya mauaji hayo atakuwa hana akili timamu au atakuwa na chembechembe za damu za wanaopenda kuua watu wasio na hatia kutoka huko uarabuni,kama sivyo basi atakuwa amepandikiziwa lile li roho la mauaji kwa kuahidiwa wale Mabikira 72.wajerumani walifikiri wanasaidia kumbe wanajitia matatani,Hao jamaa ni shukrani ya punda,Na walivyo na akili wataoaoa huko ili wapate haki ya kuishi huko hapo ndipo itakuwa ngumu kuwang'oa huko,nchi zote za ulaya waarabu wamewaingiza Mkenge.
Kwanini mauaji yakifanywa na mzungu mara nyingi tunaskia kile kinachoitwa "alikuwa na matatizo ya akili"?
Huyo hata hana hayo matatizo ya akili, kafanya hivyo kwa kukusudia.
Ni right wing extremist mwenye msimamo mkali dhidi ya wahamiaji na wakimbizi wanaokimbia vita na Mauaji kutafuta hifadhi Ulaya.
Vita na mauaji chanzo chake ni haohao NATO members ni matokeo ya walichokiita "Democratic revolution" kule Middle East.
Huyo jamaa ameamua kufanya mauaji hayo kuonyesha msimamo wake na chuki zake dhidi ya wahamiaji kumbuka siku za hivi karibuni hao wenye msimamo mkali walianzisha movement kupinga wahamiaji na sera za Bi Angela Merkel za kuwapa hifadhi Ujerumani.
Hivyo Ulaya wamejiingiza mkenge wenyewe kuvamia Middle East na kuleta Vita na sio waarabu walowaingiza mkenge.
"Dou you realise what you have done"? - Putin Vladimir.
We umejuaje kama c waislam?wenyew wajeruman wanasema ni muislam mwenye asili ya iranwaliofanya hilo tukio ni magaidi na sio waislam ........na ikibidi tuwaachie wenyew wajeruman mana halituhusu na hata lingetuhusu kamwe tusingeliweza
Wee , Waarabu wapo Europe miaka mingi tu.Wazungu wacha wafe tu maana walijifanya wanaroho safi na kuwapokea wakimbiz wa kiarabu,sasa waarabu wanawanyima raha wazungu kwenye nchi zao wenyewe.Waarabu sio watu.
kwani unajua nani kafanya attack hii?Kuna rafiki yangu flan ni wa mbele huko nchi za ulaya niliwahi kumwambia nchi ya ujeruman watakuja kujutia maamuzi yao ya kuwahifadhi waarabu.... Alinijibu wanatimiza haki za binadamu.....
Najua huko alipo atakuwa ananikumbuka saaaaaana
Km vile Waisraeli wanavyo wafanya wagalatia.Ujerumani imekuwa ikipokea na kutetea wahamiaji wa Kiislam, Waislam wameiripua? Kama ni kweli basi kunguru hafugiki
Najua walichowafanya kule Kenya hamtasahu na mmejifunza, na nilishangaa sana after University Student and mall massacres sijui kwanini hamkuingia mtaani kutoa justice,niliwasifu sana kwa ustaarabu wenu maana nilijua ndio mwisho wa wasomali ndani ya Kenya
Vipi kuhusu watoto na wanawake wasio na hatia waliouawa na wanao endelea kuuawa na ndege za kivita za hao EU na America huko Afghanistan,Iraq,Libya na kwingineko?Tabia ya kuua watu wasio na hatia ni ya waarabu hivyo ikitokea kwa mtu mwingine lazima awe na matatizo ya akili au amekaririshwa na ile imani yao ya kuua maana si kawaida kwa mtu wa kawaida kufanya unyama kama huo.Mfano huyu aliyefanya mauaji huko Munich kuna viashiria kuwa ni jamaa wa Irani ni walewale tu ni kama Nyani na Tumbili.
Kati ya EU na ISIS nan anaongoza kuua huko ulikotaja au hao nao wametumwa na marekan waue wenzaoVipi kuhusu watoto na wanawake wasio na hatia waliouawa na wanao endelea kuuawa na ndege za kivita za hao EU na America huko Afghanistan,Iraq,Libya na kwingineko?
Vipi wale watoto waliochomwa kwa makusudi sindano zenye HIV virus huko Libya na hao jamaa zako unaowatetea hapa?
Hivi kati ya hao magaidi na Nchi za magharibi ni nani aliyeua watu wengi zaidi wasio na hatia hapa Duniani?
Ugaidi usipingwe kinafiki,ugaidi upigwe kwa wote kama kweli mtu hapendi kuona watu wasio na hatia wakiuawa bure tu.
Vipi kuhusu watoto na wanawake wasio na hatia waliouawa na wanao endelea kuuawa na ndege za kivita za hao EU na America huko Afghanistan,Iraq,Libya na kwingineko?
Vipi wale watoto waliochomwa kwa makusudi sindano zenye HIV virus huko Libya na hao jamaa zako unaowatetea hapa?
Hivi kati ya hao magaidi na Nchi za magharibi ni nani aliyeua watu wengi zaidi wasio na hatia hapa Duniani?
Ugaidi usipingwe kinafiki,ugaidi upigwe kwa wote kama kweli mtu hapendi kuona watu wasio na hatia wakiuawa bure tu.