ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
HIVI UMEWAHI KUFIKIRIA HIKI KITU.
AV =standard analog video
SVIDEO=Separate video /Super Video
YPbPr =High definition analog Video (analog HD video with color separation)
VGA= Video graphics array (Analog)
DVI= Digital Visual Interface (Digital video ,No sound)
HDMI = High definition multimedia interface(Digital video and Sound)
YCbCr= Digital form of YPbPr(a video with color separation)
hivi vitu vipo kwenye TV/DVD PLAYER/DECORDER/COMPUTERS zetu etc.. lakini wengine tunavipuuzia. Bila kujua kwamba unaweza kupata picha yenye ubora wa hali ya juu kwa kutumia moja ya interface hizo.
kwa mfano ukitumia YPbPr unapata picha nzuri kuliko aliyetumia AV. Yote ya yote HDMI ndio BABALAOOO. ni connection moja inayobeba HD video pamoja na sauti hapo hapo.