Muke Ya Kibabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muke Ya Kibabu

Discussion in 'Jamii Photos' started by Muke Ya Muzungu, Apr 5, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Maisha mazuri kwa vibabu. chezeya kili uta-jikerry
  [​IMG][​IMG]
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kibabu dizaini kina mkwanja mrefu...umeona HSE hiyo...
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  jamani kuchukua picha za watu innocent na kuposti humu sio vizuri,wwe unamuona kibabu yeye kampenda hivyo hivyo...mnh
   
 4. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Nyani Ngabu mbona washkaji wanasema unawaonea wivu vijana wenzako wakina shayo? wasije kusema unamuonea Kli wvu kaka
   
 5. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Naona binti anakaba hadi penati mkono uko karibu na mic muda wowote anatoa freestyle.Kaza mama migubegube isije ikakushinda kete ukilaza damu.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kuna cha kumuonea wivu "Dr." Shayo?

  Kama una mawasiliano naye mwambie niko tayari kwa mpambano wa kupima uzito wa wallet..
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Wala simjui. nasema tu kwa maana naonaga unavyopenda kuponda. hata na vijana wengine unapondaga sana
   
 8. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ndio anamuonea wivu,NN alifeli fom foo na six,akaenda ughaibuni.yeye na wapiga boksi wenzie hawana level ya elimu aliyonayo shayo...wanamponda ili wafeel good inside kuhusu udhaifu wao....
   
 9. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  halafu ukome kuchukua picha za watu,umbea tu mwanaume mzima...mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Jestina...napendaga ulivyo kembamba kembamba. Lakini ujue mi hata hiyo fom siksi sikufika.
   
 11. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  jestina nitakubaliana na wewe kwa manaa NN anavyomponda Dr. Shayo na yohana mashaka, mtu unashindwa kujua ni kwa sababu gani. ila sioni sababu ya mashaka kabisa, kwa maana yule yuko kwenye ligi nyingine. nimewahi kusoma article juu yake uchina wiki chache zilizopita ambayo niliweka humu. siku nyingine nikamuona tena aljazeera huyo huyo yohana mashaka. NN atakuwa na lake kusema mashaka naye kilaza anavyomsemea dr.shayo. kama ni hivyo anawaponda bila ya sababu basi ataponda sana kwa maana hatofika kuwa kwenye leveles zao. kama vipi tumvutie muke ya kibabu wale sahani moja
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa...mimi mbeba maboksi tu na kamwe siwezi kufikia level ya u-"Dr."
   
 13. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  NN siku hizi umekuwa mpole,lol umeokoka????
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mi mbona siku zote niko mpole....kwani nimewahi kukukwaza?
   
 15. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  sio siku zote bwana,of coz tumegombana sana humu JF na nashukuru sana mungu hunijui lol,ungenijua wewe ungeninyanyasa sana lol
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wagombanao ndo wapatanao Jestina...au we wasemaje?
   
 17. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kweli kabisaaa,usiku mwema NN... naingia kulala sasa i didnt know u r this cool?lol
   
 18. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  lord have mercy
  [​IMG]
   
 19. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mtawafaya wadada wakimbie kutoka uturn. hivi hawa tatizo ni nini, umasikini au tamaa. huyu dada si kasoma? mbona kaingia kwenye uchangudoa? Au kwa kuwa mwalimu wao kawafundisha? kweli mange kaaribu watoto wetu. Baby yake kabisa, yethuuuu na maria
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Apr 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nini tena queenkami?
   
Loading...