Mukandala: UDSM haijaathirika kwa teuzi za Rais kwa wanataaluma wake

jerrytz

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
5,975
4,264
Rais J.P Magufuli amekuwa akiteua wanaataluma kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) hali.iliyopelekea baadhi ya watu kuhoji kama teuzi hizo hazitaathiri uwezo wa chuo hicho kitaaluma.

Akitolea ufafanuzi suala hilo Makamu Mkuu (Deputy Chancellor) Profesa Rwekaza Mukandala amesema kuwa teuzi hizo hazijaathiri chuo hicho kikongwe katika taaluma. Aliongeza kuwa chuo kina uwezo wa kuzalisha rasilimali watu kwa kiwango kikubwa hivyo teuzi chache kwa nafasi mbalimbali katika serikali kuu haziwezi kuathiri chuo.

"Chuo kikuu cha Dar es salaam na serikali vina historia ya mashirikiano kwa miaka mingi na lengo hasa la kuanzishwa kwa chuo hiki ni kuzalisha na kufundisha wataalamu katika nyanja tofauti ili watumike serikalini" alisema Mukandala.
Hivi karibuni rais Magufuli alimteua Dr Tito Esau Mwinuka kuwa mkurugenzi mtendaji wa TANESCO.

Teuzi nyingine zilizofanywa na Rais kwa wanataaluma kutoka UDSM ni kama ifuatavyo:

1. Prof Godius Kahyarara - DG NSSF
2. Prof EGID MUBOFU - DG TBS
3. Prof Adolf Mkenda - PS wizara ya Viwanda na biashara
4. Justine Ntalikwa - Wizara ya Nishati na Madini
5. Dr John Njigu - Mwenyekiti NEEC
6. Dr Ayoub Ryoba - DG TBC
7. Prof Longinusi Rutasitara - Mshauri wa Rais masuala ya kiuchumi

Kwa kumbukumbu tu: UDSM ina wanataaluma wenye Phd wapatao 600.

Wapo wanaohisi kuwa UDSM ndio chanzo cha Think Tank ya Tanzania.
Mafanikio ya wanataaluma hawa katika nyadhifa ni jambo linalohitaji mjadala tofauti na huu.
 
Prof Justine Ntalikwa alihama UDSM tangu 2009 alikuwa UDOM au Justine Ntalikwa upi unayemuongelea hapa?
 
Udsm kuna wataaramu wengi sana
Je ni overstaffed? Kwa hiyo hapo udsm hakuna manpower planning?
Tuna safari ndefu!!! Naelewa akisema tofauti na alichosema anajua kitakachotokea. Kuwa mnafiki dhamira ikusute mradi watoto wapate choo. Mwee, dhamira itawasuta maisha yao yote!!
 
hii jambo nilimsikia jana kwenye kipindi cha clouds 360 bwana Hassani Ngoma akijuiliza hili swali maana ni bora limewekwa hapa ila naona ila kitu sasa ni CCM VS CDM..kitu ambacho si sahihi..tuweke chambuzi hapa.
 
Profesa mkandala anataka na yeye ateuliwe tu hakuna kingine zaidi ya hilo, asubiri kidogo atapata u DG wa shirika fulani
 
hii jambo nilimsikia jana kwenye kipindi cha clouds 360 bwana Hassani Ngoma akijuiliza hili swali maana ni bora limewekwa hapa ila naona ila kitu sasa ni CCM VS CDM..kitu ambacho si sahihi..tuweke chambuzi hapa.

Mara nyingi mjadala hukosi focus kwa sababu wanaojadili hujadili kwa kudhani kila bandiko ni kati ya CCM na CDM
 
Rais J.P Magufuli amekuwa akiteua wanaataluma kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) hali.iliyopelekea baadhi ya watu kuhoji kama teuzi hizo hazitaathiri uwezo wa chuo hicho kitaaluma.

Akitolea ufafanuzi suala hilo Makamu Mkuu (Deputy Chancellor) Profesa Rwekaza Mukandala amesema kuwa teuzi hizo hazijaathiri chuo hicho kikongwe katika taaluma. Aliongeza kuwa chuo kina uwezo wa kuzalisha rasilimali watu kwa kiwango kikubwa hivyo teuzi chache kwa nafasi mbalimbali katika serikali kuu haziwezi kuathiri chuo.

"Chuo kikuu cha Dar es salaam na serikali vina historia ya mashirikiano kwa miaka mingi na lengo hasa la kuanzishwa kwa chuo hiki ni kuzalisha na kufundisha wataalamu katika nyanja tofauti ili watumike serikalini" alisema Mukandala.
Hivi karibuni rais Magufuli alimteua Dr Tito Esau Mwinuka kuwa mkurugenzi mtendaji wa TANESCO.

Teuzi nyingine zilizofanywa na Rais kwa wanataaluma kutoka UDSM ni kama ifuatavyo:

1. Prof Godius Kahyarara - DG NSSF
2. Prof EGID MUBOFU - DG TBS
3. Prof Adolf Mkenda - PS wizara ya Viwanda na biashara
4. Justine Ntalikwa - Wizara ya Nishati na Madini
5. Dr John Njigu - Mwenyekiti NEEC
6. Dr Ayoub Ryoba - DG TBC
7. Prof Longinusi Rutasitara - Mshauri wa Rais masuala ya kiuchumi

Kwa kumbukumbu tu: UDSM ina wanataaluma wenye Phd wapatao 600.

Wapo wanaohisi kuwa UDSM ndio chanzo cha Think Tank ya Tanzania.
Mafanikio ya wanataaluma hawa katika nyadhifa ni jambo linalohitaji mjadala tofauti na huu.

Mimi kwa mtazamo wangu sababu kubwa ya kuteua wasomi wa UDSM ni :
1. Kurudisha fadhila, mfano Dr Akwilapo aliwai kua supervisor wa raisi, aliteuliwa na raisi kua mtu kubwa wizara ya elimu
2. Wasomi wengi wa UDSMni walalamishi na wakosoaji sana na wakosoaji ili kuwaziba midomo ni vema kuwapa nafasi
3. Inferiority complex
4. Endeleza
5.
 
Kwahiyo anataka kusema walikuwa hawafanyi kazi yoyote? Alikuwa wapi kusema hivyo mapema? Tutafakari sana juu ya jambo hili
 
Back
Top Bottom