Mukandala, Huo ni Usanii

Amanikwenu

Senior Member
Dec 1, 2009
187
0
Ushauri alioutoa Profesa Mukandala kwa Rais Kikwete kwangu mimi ni wa Kisanii zaidi kuliko wa kisomi. Watanzania wanachotaka ni kuandikwa kwa katiba mpya na sio kuifanyia marekebisho katiba iliyopo.
 
He's just one contemptible CCM string-puppet whose credibility is as insignificant as any shit! After all it's a publicity stunt, he's seeking a worthless attention.
 
Kuna mwana-JF mmoja aliwahi kusema kwamba MADALALI SI RUKSA KUTUANDIKIA KATIBA MPYA; hakika katika hili namimi naunga mkono wazo la mchangiaji huyu..
 
Back
Top Bottom