sativa saligogo
Senior Member
- Apr 11, 2011
- 126
- 6
Mbali ya mzimu wa Nyerere upo wa Sokoine unakumbuka chanzo cha vita dhidi ya Uhujumu uchumi? kwani kuna tofauti gani baina ya fisadi na mhujumu uchumi?jk atasema akili za kuambiwa changanya na za kwake!! MBAYUWAYU!!!!Mzimu wa nyerere unarudi...kijana jasiri kweli.tatizo jk ataishia kucheka tu,,hata sita aliwahi kumwambia awe mkali kidogo akacheka tu