The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,252
- 17,441
Barua ya kujiuzulu hakuandika kwa hiari yake alilazimishwa kujiuzulu baada ya kuonekana ni msaliti wa nchi. Gabbage in Gabbage out, unategemea chama kilichoanzishwa na msaliti wa nchi, na chenyewe kitakuwa kisaliti tu
Sio mwaka jana tu, hata maandamano wanayo fanya hivi sasa ni maagizo ya IMF. Jamaa hawa ni vibaraka si wenzetu mkuu
chama kimeanzishwa kwa shinikizo la shirika la fedha ulimwenguni (IMF). You can quote me on this (nikariri katika hili) . Yule aliyetofautiana na Nyerere ndiye aliyekwenda kukianzisha.
Kauli ya Mukama
My take : Kama hali ni hii basi haya pia yapo :
- CDM ni chama cha kutoka nje na kinafadhiliwa na watu wa nje kuivuruga nchi. Ili wakifanikiwa kuchukua dola, wale walio watuma na kuwafadhili wawalipe fadhila
- Kama aliye kianzisha alikorofisha na Mwasisi wa Taifa hili , basi alikuwa hana akili na adabu. Kutokana na msingi wa laana hiyo basi ndio maana CDM inazidi kuwatafuna kwa kutotii sheria za nchi. Mifano ipo wazi kabisa mauaji ya Arusha , utovu wa nidhamu bungeni nk
Viongozi wa sasa wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Mtei. Mtei hakukubaliana na sera za Mwalimu kuhusiana na Uchumi. Ishu ilikuwa kushusha thamani ya shilingi ili TZ ikopeshwe na IMF. Mwalimu hakupenda hili, kwa kujua hulka ya Mwalimu na kwa utashi wake akaandika barua ya kujiuzulu akaenda kumpa Mwalimu nyumbani kwake Msasani. Alipofika aliulizwa kama hajakutana na mtu wakati anakwenda kwa Mwalimu. Mtei akajibu hajakutana na mtu. Mwalimu nae alikuwa ameshamwandikia barua akimtaka ajiuzulu, Mtei alipishana na mtu aliyekuwa ampe barua kutoka kwa Mwalimu. Mtei alikubaliwa kujiuzulu na baada ya muda alipewa nafasi nyingine serikalini. Kitu cha kujifunza hapa ni kusimamia unachoamini, maana sera za Mtei zilikuja kutekelezwa muda si mrefu baada ya yeye kujiuzulu. Nchi gan maskini leo haitekelezi masharti ya IMF? Serikali haikopi fedha IMF?
Viongozi wetu siku hizi hawawezi kusimamia wanachoamini, tena wapo wengi. Kuna Celina Kombani, Werema na wengine wengi. Enzi za Mwalimu hawa wote wangejiuzulu. Fikiria Rais Kikwete anashauri mtihani wa darasa la nne na kumi (form two) usiwe kikwazo cha mtu kuendelea na masomo, hakuna hata mtaalamu mmoja wa elimu pale wizarani aliyempinga (kuna maprofesa wengi tu pale) kwamba hatuna namna nyingine ya kupima uelewa wa wanafunzi na kuwasaidia. Kurudia darasa si adhabu, ni kumpa mwanafunzi nafasi ya kujifunza tena ambacho hakuelewa. Wanabaki wanasema chini chini kwamba hapa ushauri wa mkuu sio mzuri.
Chadema inafadhiliwa na mataifa ya nje. Je bajeti ya serikali yetu nani anachangia? Mataifa ya nje ni mabaya kwa chadema ila mazuri kwa Serikali? CCM inafadhiliwa na nani kama sio kodi zetu kupitia EPA, Kagoda, Richmond na Meremeta? Mikataba mibovu ya madini wamesaini chadema? Nani kawapa mabepari migodi na mashirika yetu kwa bei karibu na bure? Mangungo wa Msovero ni nani leo hii?
Kansa uliyonayo imeshafika kwenye ubongo na hivyo huwezi kupona hata kwa kikombe cha babu. Walioua watu Arush ni Chadema au CCM? Wasio na nidhamu bungeni ni CCM, hawakai bungeni, hawajadili hoja kwa masilahi ya wananchi waliowatuma. Huo ndo utovu wa nidhamu. Chadema huwa wanahoji pale panapoleta utata ili parekebishwe lakini wasio na nidhamu huunga mkono hata bila kujua hoja iliyopo mbele yao kisa tu wamepigiwa kengele warudi ukumbuni kuongeza kura za CCM. Pole sana unayejiita Genius japo ni vise versa yake. chama kimeanzishwa kwa shinikizo la shirika la fedha ulimwenguni (IMF). You can quote me on this (nikariri katika hili) . Yule aliyetofautiana na Nyerere ndiye aliyekwenda kukianzisha.
Kauli ya Mukama
My take : Kama hali ni hii basi haya pia yapo :
- CDM ni chama cha kutoka nje na kinafadhiliwa na watu wa nje kuivuruga nchi. Ili wakifanikiwa kuchukua dola, wale walio watuma na kuwafadhili wawalipe fadhila
- Kama aliye kianzisha alikorofisha na Mwasisi wa Taifa hili , basi alikuwa hana akili na adabu. Kutokana na msingi wa laana hiyo basi ndio maana CDM inazidi kuwatafuna kwa kutotii sheria za nchi. Mifano ipo wazi kabisa mauaji ya Arusha , utovu wa nidhamu bungeni nk
Acha uzushi, leta data na source!
Kansa uliyonayo imeshafika kwenye ubongo na hivyo huwezi kupona hata kwa kikombe cha babu. Walioua watu Arush ni Chadema au CCM? Wasio na nidhamu bungeni ni CCM, hawakai bungeni, hawajadili hoja kwa masilahi ya wananchi waliowatuma. Huo ndo utovu wa nidhamu. Chadema huwa wanahoji pale panapoleta utata ili parekebishwe lakini wasio na nidhamu huunga mkono hata bila kujua hoja iliyopo mbele yao kisa tu wamepigiwa kengele warudi ukumbuni kuongeza kura za CCM. Pole sana unayejiita Genius japo ni vise versa yake.
Nilifikiri baada ya kuondoka makamba basi ngojera na taarabu zitakwisha kumbe na huyu naye bado tu? Kweli kobe hawezi kuvua gamba lake!
wenye elimu za mashaka pona yao iko ccm..........by Ben jf
chama kimeanzishwa kwa shinikizo la shirika la fedha ulimwenguni (IMF). You can quote me on this (nikariri katika hili) . Yule aliyetofautiana na Nyerere ndiye aliyekwenda kukianzisha.
Kauli ya Mukama
My take : Kama hali ni hii basi haya pia yapo :
- CDM ni chama cha kutoka nje na kinafadhiliwa na watu wa nje kuivuruga nchi. Ili wakifanikiwa kuchukua dola, wale walio watuma na kuwafadhili wawalipe fadhila
- Kama aliye kianzisha alikorofisha na Mwasisi wa Taifa hili , basi alikuwa hana akili na adabu. Kutokana na msingi wa laana hiyo basi ndio maana CDM inazidi kuwatafuna kwa kutotii sheria za nchi. Mifano ipo wazi kabisa mauaji ya Arusha , utovu wa nidhamu bungeni nk
chama kimeanzishwa kwa shinikizo la shirika la fedha ulimwenguni (IMF). You can quote me on this (nikariri katika hili) . Yule aliyetofautiana na Nyerere ndiye aliyekwenda kukianzisha.
Kauli ya Mukama
My take : Kama hali ni hii basi haya pia yapo :
- CDM ni chama cha kutoka nje na kinafadhiliwa na watu wa nje kuivuruga nchi. Ili wakifanikiwa kuchukua dola, wale walio watuma na kuwafadhili wawalipe fadhila
- Kama aliye kianzisha alikorofisha na Mwasisi wa Taifa hili , basi alikuwa hana akili na adabu. Kutokana na msingi wa laana hiyo basi ndio maana CDM inazidi kuwatafuna kwa kutotii sheria za nchi. Mifano ipo wazi kabisa mauaji ya Arusha , utovu wa nidhamu bungeni nk
Kushindwa kuelewana na mtu sio dhambi, na believe me, deep down wewe mwenyewe ni shahidi ni watu wangapi umetofautiana nao kimtizamo.Mwalimu wasn't an angle hivyo sio kila alichokua anafikiria kilikua right.Kingine wewe sio reliable source so hatuna sababu ya kuamini upuuzi wako. Put down your facts else shut the **** up.ÂÂ Â Â Â Â Â Â Â Â chama kimeanzishwa kwa shinikizo la shirika la fedha ulimwenguni (IMF). You can quote me on this (nikariri katika hili) . Yule aliyetofautiana na Nyerere ndiye aliyekwenda kukianzishaÂ.
Kauli ya Mukama
My take : Kama hali ni hii basi haya pia yapo :
- CDM ni chama cha kutoka nje na kinafadhiliwa na watu wa nje kuivuruga nchi. Ili wakifanikiwa kuchukua dola, wale walio watuma na kuwafadhili wawalipe fadhila
- Kama aliye kianzisha alikorofisha na Mwasisi wa Taifa hili , basi alikuwa hana akili na adabu. Kutokana na msingi wa laana hiyo basi ndio maana CDM inazidi kuwatafuna kwa kutotii sheria za nchi. Mifano ipo wazi kabisa mauaji ya Arusha , utovu wa nidhamu bungeni nk
Sio mwaka jana tu, hata maandamano wanayo fanya hivi sasa ni maagizo ya IMF. Jamaa hawa ni vibaraka si wenzetu mkuu
christian church mission aka ccm, kidogo mtoa hoja unanipa mashaka na kunifanya niamini kuwa wewe ni mmoja kati ya wsle mamluki lukuki mli tumwa kuja kukabiliana na hichi kimbunga cha mabadiliko kinachoongozwa na CDM aka Nguvu ya umma ,na ningeona wa mana ungeanzisha thread ya kupinga serikali yako inayoongozwa na Magamba inayochukua mikopo na misaada toka huko IMF kwa masharti magumu yasiyo na tija kwa taifa letu kuliko kuja na propaganda zako na CDM pekee ndio ina sera za kumuenzi baba wa taifa Elimu bure,Afya bure nk ambavyo nyie Magamba vinawashinda kufanya kutokana na ndoa zenu na mashika kama IMF kuwabana.
Jamii Forums inasomwa na watu wengi sana ndani na nje ya Tanzania. Na wasomaji hawa wapo watanzania na wasio watanzania ili mradi wanaelewa kiswahili. Hili jukwaa linatupa nafasi nzuri ya kutoa maoni na michango ambayo kimsingi ni ya kujenga taifa hata kama ni kukosoa basi ni constructive criticism. Na ndio sababu watu wanasema ni jukwaa la 'great thinkers'.
Vyama vya siasa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vipo kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi. Na vyote vinasajiliwa baada ya kutimiza masharti yaliyowekwa kwa mujibu wa sheria husika. CCM, CUF, CHADEMA, NCCR-Mageuzi, TLP, NLD, DP, Demokrasia Makini vyote hivi vimesajiliwa baada ya kutimiza masharti yaliwekwa.(wasiliana na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kupata nakala). niishie hapo.
IMF - nadhani unaongelea International Monetary Fund ni taasisi ya kimataifa inayojishughulisha na maswala ya kifedha na uchumi kwa nchi wanachama. Narudia - nchi wanachama. IMF wanachama wake ni NCHI na sio chama au kikundi kimoja kimoja. NCHI.
@GeniusBrain, naomba usome hii "IMF is an organization of 187 countries, working to foster global monetary cooperation, secure financial stability, facilitate international trade, promote high employment and sustainable economic growth, and reduce poverty around the world".
Tanzania ni mwanachama wa IMF na ndio maana tumekuwa tumapata mikopo huko. CHADEMA hata CCM au chama kingine chochote hakiwezi kuwa mwanachama wa IMF hata kama wangetaka iwe hivyo.
Nirudi kwenye point yangu ya msingi, Ndugu yangu GeniusBrain hoja yako si tu ni aibu kwako binafsi bali pia inatuibisha watanzania wote (milioni 42 na ushee), kwamba, hatujui maudhui na kazi za taasisi za kimataifa kama IMF. Na mbaya zaidi hatujui hata vyama vya siasa ndani ya mipaka ya nchi yetu vinanzishwaje.
Sijui ulikuwa unalenga nini hasa kwa kuanzisha hii hoja ila nadhani tuhimizane humu jamvini ili hii kasumba ya porojo, character assissination, mudslinging na cheap political scoring tactic zikome. Ni aibu mno kwetu sisi watanzania.
Mwisho ningekusihi sana ndugu yangu GeniusBrain na wengine wenye maoni kama yako watambue kuwa watanzania wana akili timamu na wana uwezo wa kutenganisha mema na mazuri. Maneno kama...chama fulani kinafadhiliwa na watu wa nje kuivuruga nchi' ni madharau kwa watanzania wenzako (insult to our intelligency).Tabia ya kikoloni hii.
Tutumie hili jukwaa kwa kuongelea mambo ya msingi na yenye tija tuache kuaniaka umbumbu wetu hadharani.