Chechetuka
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 549
- 44
Maneno mengi ya nini? SI mfanye tu? Unaenda kupandisha jazba jukwani kwa faida gani? Watu wengine bwana.
Tatizo ni nini? Kabla ya kufanya si anaongea kwanza? Kuna dhambi gani? Mbona unaonekana kama fisadi hivi wewe?