Mukama alia: Tutawaondoa tu mafisadi, hatuogopi

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
627
181
Mkama amedai lazima ataongoza jukumu la kuwaondoa mafisadi wanaotuhumiwa na chama chake, japo anasema mafisadi hao ni lafiki zake wa karibu! Eti watazuia matajiri kujipenyeza tena ktk chama. Amewabeza wanaosema anawaogopa mafisadi kwa kumaka"not me, never!". Lakini amekiri kubebeshwa mzigo mzito! Hapa alikuwa akiongea na magamba wadogo chuo kikuu Mzumbe.
ource: TBC
jee, ataweza?

Mnataka kunipa barua ya nini? Kwani wewe hujui nini kuhusu Richmond?
Lowasa akimchimba mkwara Kikwete!
 
NGOMA INOGOLE yetu macho na wajaribu kujichubua waone damu zikiwatoka mpaka mauti hawajui lichama lao la gamba ni ligonjwa?
best wishes to mkama na nape
 
KAMA wanavyosisitiza mkama na nape kuwa mapacha lazima waondoke au waondolewe
Then inamaanisha kuwa lowassa akijiondoa au akafuuzwa ndani ya chama inakuwa amepoteza haki ya kuendelea kupata mafao kama waziri mkuu mstaafu.
je hapo inakuwaje wanajamvi??????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Mikwara yote ya nini babu Mukama? Enzi ya CCM imeisha,hata mkijitahidi kufanya namna gani. Chama chenu kimezeeka kama wengi wa viongozi wake walivyozeeka!
 
KAMA wanavyosisitiza mkama na nape kuwa mapacha lazima waondoke au waondolewe
Then inamaanisha kuwa lowassa akijiondoa au akafuuzwa ndani ya chama inakuwa amepoteza haki ya kuendelea kupata mafao kama waziri mkuu mstaafu.
je hapo inakuwaje wanajamvi??????????????????????????????????????????????????????????????????????????

Iweke vizuri hoja yako. Hoja yako imekaa kama vile unataka kuuliza lakini bado haionyeshi hivyo.
 
KAMA wanavyosisitiza mkama na nape kuwa mapacha lazima waondoke au waondolewe Then inamaanisha kuwa lowassa akijiondoa au akafuuzwa ndani ya chama inakuwa amepoteza haki ya kuendelea kupata mafao kama waziri mkuu mstaafu.je hapo inakuwaje wanajamvi??????????????????????????????????????????????????????????????????????????
Kwani mafao hayo ya Lowassa anayapata kwa sababu ni mwana-CCM au PM mstaafu? Siielewi hoja yako hata kidogo!
 
Mkama amedai lazima ataongoza jukumu la kuwaondoa mafisadi wanaotuhumiwa na chama chake, japo anasema mafisadi hao ni lafiki zake wa karibu! Eti watazuia matajiri kujipenyeza tena ktk chama. Amewabeza wanaosema anawaogopa mafisadi kwa kumaka"not me, never!". Lakini amekiri kubebeshwa mzigo mzito! Hapa alikuwa akiongea na magamba wadogo chuo kikuu Mzumbe.
ource: TBC
jee, ataweza?

Mnataka kunipa barua ya nini? Kwani wewe hujui nini kuhusu Richmond?
Lowasa akimchimba mkwara Kikwete!

Kumaka na Malafiki ulikuwa unamaana gani?
 
Mafao ya Lowasa kupata au kukosa yana tija kwa Taifa hili lililo na watu kibao ambao hawapati mafao yao pamoja na utumishi wao mzuri ? Tuachane na vioja tulete hoja tafadhali .Kwani akikosa kuna nini ?
 
Mwisho wakila kiongoz mlafi na mwenyekupenda kujilimbikizia mali unakuja! Napata faraja na furaha kubwa kuujulisha umma wa Tanzania, kila Tsh1 iliyo ibiwa, ambayo nikodi ya watanzania lazima irudi. Mungu anaenda kufanya mambo makubwa kwa watanzania, anaenda kuinua viongoz watakao enda kuwatetea watanzania na sio matumbo yao.

Mungu anaenda kufichua maovu yakila kiongozi alie itafuna Kodi ya watanzania. Mchakato umeanza na unaenda kwa kasi kubwa sana, Rais wetu mpendwa Kikwete Mungu kampiga upofu mkubwa na Mungu kamuachilia viongoz wasio ona ili wamshauri ujinga akapate kupotea, Umma wawa Tanzania lazima ujuwe huu nimpango Mungu aliuwandaa yapata miaka 100 kabla ya Uhuru wa taifa hili. Na hata wale wanapenda kumsikiliza Hayati baba wa Taifa Nyerere basi alikwisha kutabiri na sasa niwakati Mungu kwenda kuwajibu kila mlanguzi na muhujumu wa Taifa hili Postvly. Bila mpango kutimia kunahati hati kubwa ya Nchi hii kupigana vita.

Watanzania mtaenda kushuhudia viongozi wawili wakubwa sana sana wakienda kupanda kizimbani nakujibu mashitaka yaupoteaji wa Trilions of money kwa kuruhusu Tax free kwa makampuni makubwa. Mungu anaenda kufanya muujiza mkubwa sana, Tayari Rais wa nchi hii amekwisha kuandaliwa, napenda kusema sio Lowasa,sio Chenge, sio Rose Migiro japo Rose ndie atakaye tumiwa kama upofu kwa viongoz wa juu ilikumuinua Rais wa kweli atakaye tengeneza mpango wa miaka 50 ijayo, Mungu anaenda kumuinua Rais wa ukweli atakaye rudisha thaman ya utu wa Mtanzania tangu kijijin mpaka mjini. Sii kamati kuu wala tumeyauchaguzi itamzuwia Rais huyu kuwa Rais, Mungu anaenda kurudisha thaman ya mtanzania maana KILIO CHA WATANZANIA KIMEMFIKIA MUNGU NAYEYE AMESHUKA KUTUOKOA.

Asante Baba kwakujibu Maombi.
 
Lowasa siyo waziri mkuu mstaafu aliachia ngazi yeye mwenyewe,hivyo hakuna mafao anayochukua.
 
Chukua msg naanza kumshukuru! Nyerere wakizaz hk anaenda kuibuka at the last even our beloved Presdent plus intelligen they don't know. Wuu! Thank u Jesus!
 
Mungu anaenda...Mungu anaenda...Mungu anaenda.. Wapi? Mnakera na Kiswahili chenu cha kutohoa kutoka kizungu nyie! Sema mungu ata bla bla bla bla... Kwisha. Hata hivyo kwa leo... Aaamina!
 
Ukimsikliza ndani ya sentensi zake utafikili analopoka vile...............kumbe mjumbe .......mpuuzeni.......moto wake.....hakuna ....wa kuuzima. Manake kama ni kilio watanzania wamelia sana.Kwani Mungu anawachukia watanzania kuwapa rasilimali lakini haziwasaidii kitu, hapana huo si mpango wa Mungu,ukizingatia Taifa hili ni unique kwa kuwa linasadikika kuwa ndio mwanzo wa binadamu wa kwanza aliishi.Na mwaka huu ................mlikua huko kushangaa nyayo zake,bado amuoni umhimu wa Taifa hili kwenye uso wa dunia.
 
Back
Top Bottom