Nature
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 917
- 2,426
MUISRAELI AWATWANGA JUDO WAARABU NA KUSHINDA MEDANI YA DHAHABU HUKO ABU DHABI
WAGOMA KUWEKA WIMBO WA TAIFA WA ISRAEL
AAMUA KUIMBA MWENYEWE
Kijana Myahudi Raia wa Israel Gili Cohen ameibuka mshindi katika Mchezo wa judo ulioandaliwa huko Mjini Abu Dhabi (UAE) kijana huyo a ambaye alikuwa pekee anayetokea israel aliwabwaga wapinzani wake wa Kiarabu na kufanikiwa kuwa Mshindi wa medani ya dhahabu.
Israeli wins judo gold in UAE, which refuses to play anthem, raise flag