Trump: Sitaelewana kabisa na Waziri mkuu wa Uingereza nikiingia madarakani

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
Donald-Trump_01-300x169.jpg

Mgombea anaewania urais nchini Marekani Donald Trump ameonya kuwa hatakuwa na uhusiano mzuri na waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron — Ikiwa atakuwa rais wa Marekani.

Mwezi Disemmba, Bwana Cameron alimtaja Trump kama mtu mwenye “ubaguzi, mjinga, na mwenye makosa” kufuatia kauli yake kwamba ataweka marufuku ya muda ya kuingia Marekani dhidi ya waislam.

Bwana Cameron amekataa kufuta kauli zake dhidi ya Bilionea Trump , ambae anatarajiwa kuwa mgombea wa urais wa Marekani kupitia chama cha Republican katika uchaguzi wa mwezi Novemba.

Akizungumza katika kituo cha televisheni cha Uingereza ITV kwa mara ya kwanza mbele ya umma tangu akosolewe Bwana Trump, alisema yeye si mjinga ama mbaguzi stupid bali ni”muunganishi”.

Kuhusu kauli za Bwana Cameron, Bwana Trump alisema : “yaelekea hatutakuwa na uhusiano mzuri sana, nani anajua.
“natumai kuwa na uhusiano mwema na yeye, lakini inaonekana ni kama hataki kutatua tatizo.”

Donald Trump pia alimkemea Meya wa London , Sadiq Khan, kwa kumuita “mjinga”.
Alielezea kauli yake kama kosa na isiyokua na ya heshma, huku akimtaka Bwana Khan afanyiwe vipimo vya uwezo wa akili yake (IQ).

===============

Republican presidential candidate Donald Trump has said that he and British Prime Minister David Cameron may not have a good relationship if he becomes president.

Trump made the statement in response to Cameron calling his proposal to ban Muslims from the United States as "divisive, stupid and wrong," in an interview with Piers Morgan, a host of ITV’s Good Morning Britain (GMB) show that aired Monday.

"It looks like we're not going to have a very good relationship,” Trump said. "I hope to have a good relationship with him, but it sounds like he's not willing to address the problem either.”

Trump told GMB he didn't "care" about Sadiq Khan, the new mayor of London and the first Muslim to hold the role. Khan, who was elected earlier this month, last week rejected a statement by Trump that he could be an “exception” to the Muslim ban. "Donald Trump's ignorant view of Islam could make both our countries less safe,” Khan said at the time.

"He doesn't know me, hasn't met me, doesn't know what I'm all about. I think they were very rude statements and, frankly, tell him I will remember those statements. They are very nasty statements," Trump told GMB.

"When he won I wished him well. Now, I don't care about him, I mean, it doesn't make any difference to me, let's see how he does, let's see if he's a good mayor.“

He also challenged Khan to an IQ test.

A spokesperson for Khan on Monday said that Trump's views were ignorant, divisive and dangerous. Ignorance is not the same thing as lack of intelligence, the spokesperson added.

President Obama said Britain would be at "the back of the queue" for a trade deal with the U.S. if it voted to leave the EU, during a visit to London last month. Britons will vote on whether to remain in the 28-member bloc on June 23.

"If I were from Britain, I would probably not want (the EU)." Trump told GMB. He described the bloc as "a disaster" and "very bureaucratic and very difficult."

"Britain's been a great ally. With me, they'll always be treated fantastically," he said.

"I am going to treat everybody fairly but it wouldn't make any difference to me whether they were in the EU or not. You would certainly not be back of the queue, that I can tell you."

Source: USA Today
 
Mbona heading na contents haviendani? Trump kwa mujibu wa nukuu kutoka kwenye habari hiyo hajasema kwamba hataelewana bwana cameoon bali anadhani hawataelewana.
 
watu wanaoweza kutengeneza ndege boeing inapaa na mamia ya watu angani afu uwazarau wewe usiyeweza hata kutengeneza tube ya baiskeli!! jinga kabisa ww
Unakumbuka walimchagua mtu aliyeitwa George W. Bush. Inakadiriwa alikuwa raisi wa ovyo kabisa. Walipomchagua walijua kabisa kwamba jamaa hajui mambo mengi, alisoma kishikaji, akatoroka jeshini, nk. Lakini walimpenda yeye zaidi kuliko Al Gore ambaye alionekana kuwa serious sana. Matokeo yake wakaingia katika vita vilivyokuwa aghali, na athari zake tunaziona hadi hii leo.
Ninachotaka kusema ni kwamba wapo watu wako tayari kumchagua hata bwege na inategemea na kampeni wanazofanya. Ukisoma jinsi Trump anavyoendana na wimbi la intellectualism na wanavyojisifu katika ujinga utaona kabisa kwamba atapata kura nyingi tu.
Lakini utabiri wangu ni kwamba Trump hatashinda. Amewatukana watu wengi mno. Ktk ujinga wake hajua kwamba kabla ya kuvuka mto usitukane mamba.
 
hukumundo mkuu utajali kufafanua kidogo hapo red?! Intellectuals wapi unaongelea?

Halafu (I've been reading you and am kinda curious)
What makes you so confident, kuwa Trump atashindwa?!
Umetoa (one of the best examples) kuwa walimchagua Bush, over the Intelligent Gore. Watashindwa vipi kumchagua the Donald!

Na pia, numbers don't look that impressive for Hillary either, to be that positive.
 
Unakumbuka walimchagua mtu aliyeitwa George W. Bush. Inakadiriwa alikuwa raisi wa ovyo kabisa. Walipomchagua walijua kabisa kwamba jamaa hajui mambo mengi, alisoma kishikaji, akatoroka jeshini, nk. Lakini walimpenda yeye zaidi kuliko Al Gore ambaye alionekana kuwa serious sana. Matokeo yake wakaingia katika vita vilivyokuwa aghali, na athari zake tunaziona hadi hii leo.
Ninachotaka kusema ni kwamba wapo watu wako tayari kumchagua hata bwege na inategemea na kampeni wanazofanya. Ukisoma jinsi Trump anavyoendana na wimbi la intellectualism na wanavyojisifu katika ujinga utaona kabisa kwamba atapata kura nyingi tu.
Lakini utabiri wangu ni kwamba Trump hatashinda. Amewatukana watu wengi mno. Ktk ujinga wake hajua kwamba kabla ya kuvuka mto usitukane mamba.

inakadiliwa?! na nani huyo? wamarekani walikuwa wanamtaka bush na hivyo vita unavyoona aghali wao ndo walikuwa wanavitaka na ndo maana wakampa mihula yote miwili, na kama unavyojua kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa, ingekuwa wamekosea kuchagua bush wasingefanya kosa la kumpe second term.
 
Back
Top Bottom