Anakwensa moja kwa moja peponi!.Endapo ukifa Makka au madina katika Hija huwa minafaizina
Ukienda Hijja iliotimia huna dhambi tena. mpaka ufanye nyengine. sasa ukifa baada ya hijja huwa minlafaizinaDuh
Ukiwa na Dhambi unarudi nazo salama 🐼
Imani bana, hongereni mnaoamini hizo theories.Endapo ukifa Makka au madina katika Hija huwa minafaizina
Uislam raha sana, ukiwa nje ya uislam utaichukia uislam lkn ukinngia roho inakuwa nyepesi. maana ukiigia msikitini sio lazima utoe sadaka ndio usali tofauti na dini nyegineAnakwensa moja kwa moja peponi!.
P
cha ajbu huamini theory lakini siku ya siku unakuta babu zako wananyakuliwa ktk dunia hii. hujiulizi wanaenda wapi?Imani bana, hongereni mnaoamini hizo theories.
Bibi yako aliekufa akiamini mizimu kama angalikuwa na simu angalikupigia akakuonya haya maneno ulioandika hapaHeri tubaki na imani zetu za kuabudu milimani, mapangoni na chini ya miti kuliko hizo hadithi za kibiashara ili watu waende kwa wingi na kuacha maokoto huko
Kaka yangu Kiranga hebu njoo na huku. Samahani sanaEndapo ukifa Makka au madina katika Hija huwa minafaizina
Duniani kuna miungu mingi na imani nyingi zaidi ya 5000, unathibitisha vipi kuwa mungu wako ndiye wa kweli kuliko wa wengine?Bibi yako aliekufa akiamini mizimu kama angalikuwa na simu angalikupigia akakuonya haya maneno ulioandika hapa
Wanaenda wapi zaidi ya kuwa mbolea tu aridhini boss?cha ajbu huamini theory lakini siku ya siku unakuta babu zako wananyakuliwa ktk dunia hii. hujiulizi wanaenda wapi?
akili zako za bandia. jiulize kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi? umepitia wapi? jee ulipopita ukiambiwa urudi tumboni utarudi? sasa kama ulikuwa uchafu wa maji maji ukaweza kutype Ashindwe kukufua tena?Wanaenda wapi zaidi ya kuwa mbolea tu aridhini boss?
Toka nje ya box bro, achana na hizo imani za kumaliza ubongo wako. Hiyo suruali fupi na kobazi isikupe kiburi kuwa unamjua sana huyo Mungu.akili zako za bandia. jiulize kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi? umepitia wapi? jee ulipopita ukiambiwa urudi tumboni utarudi? sasa kama ulikuwa uchafu wa maji maji ukaweza kutype Ashindwe kukufua tena?
TAKIBIIIRAnakwensa moja kwa moja peponi!.
P
Allah AkbarTAKIBIIIR
Pepo ipi?Anakwensa moja kwa moja peponi!.
P