Muishio Dar Jibuni Swali hili

Vyuo vikuu kibao, TV mpaka barabarani, tunapigana vibega na wakulu wote, bier tunaanza saa 4 asubuhi maendeleo gani zaidi ya haya mnayataka
 
sisi tumeyapata, tuna magari hadi barabara hazitoshi
 
Dar kila kitu deal. Hata mabunda ya mapapai yanaweza kukuingizia kipato, akili yako tu.
 
Tushayapata....nenda ubungo jioni jioni ile uone starehe ya usafiri hasa wa gongo la mboto, mbagala, mbezi ...achilia mbali tabata na msasani.

Ukimaliza hapo nenda kwa mtogole na mwananyamala siku ka ya leo wakati mvua imepiga kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…