deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 529
Muda mrefu nimejiuliza hili swali sijapata jibu mwenye kufahamu gwiji la muziki wa reggae senzo yu wapi wadau?
Yupo hai, kwa asilimia kubwa amepona tatizo lake. Mungu mkubwa [emoji123][emoji123]Muda mrefu nimejiuliza hili swali sijapata jibu mwenye kufahamu gwiji la muziki wa reggae senzo yu wapi wadau?
Yupo hai, kwa asilimia kubwa amepona tatizo lake. Mungu mkubwa [emoji123][emoji123]