Muhudumu huyu vipi?

Muhudumu huyu vipi?

Duduvwili

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
4,699
Reaction score
4,902
Jamani wanajamvi kama nusu saa imepita nimepiga simu kwa ajili ya maelekezo fln kwenye kampuni ya tigo kuna kaka kapokea simu yangu na kabla sijamuelekeza tatizo kakata simu kama mnakua na stress acheni kazi hyo ni baada ya kupiga ile nmbr100 ambayo hua inaunganishwa baada ya kusubiri sana ushaur wangu kwa tgo muwe mnaangalia watu wa kuwahudumia wateja sio jitu limevuta mibange yake mnaliweka hapo.
 
Kaniboa mno nimempigia kistaarabu kabisa bahati yake simjui mbwiga huyo
 
Jamani wanajamvi kama nusu saa imepita nimepiga simu kwa ajili ya maelekezo fln kwenye kampuni ya tigo kuna kaka kapokea simu yangu na kabla sijamuelekeza tatizo kakata simu kama mnakua na stress acheni kazi hyo ni baada ya kupiga ile nmbr100 ambayo hua inaunganishwa baada ya kusubiri sana ushaur wangu kwa tgo muwe mnaangalia watu wa kuwahudumia wateja sio jitu limevuta mibange yake mnaliweka hapo.

sauti yak nguv ya kidume xn imemtisha huend ukaw kabula
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom