Muhtasari wa maamuzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi dhidi ya Rufaa za Udiwani na Ubunge

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
MUHTASARI WA MAAMUZI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI DHIDI YA RUFAA ZA UBUNGE NA UDIWANI

1. Rufaa za Wabunge
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Wabunge 55 na imeshatolea maamuzi rufaa 42 bado rufaa za Wabunge 13 ambazo vielelezo vyake vinasubiriwa kutoka kwenye Halmashauri husika. Kulikuwa na Rufaa 16 za Wabunge waliokuwa wameenguliwa. Kati ya hizo Wabunge 13wamerudishwa kuendelea na kampeni na rufaa 3 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hawatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea. Aidha, rufaa 24 zimekataliwa na Tume ambapo maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yataendelea kubaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea. Pia kuna rufaa 2 ambazo Tume haijazijadili kwa kuwa hazikufuata utaratibu wa kuwasilisha Tume yaani kupitia kwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Majimbo husika hivyo, maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yatabaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea kama walivyoteuliwa. (Jedwali 1)


2.
Rufaa za Madiwani

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Madiwani 200 na imeshatolea maamuzi rufaa 82 bado rufaa za Madiwani 118 ambazo zinaendelea kufanyiwa kazi. Kulikuwa na Rufaa 16 za Madiwani waliokuwa wameenguliwa. Kati ya hizo Wabunge 15 wamerudishwa kuendelea na kampeni na rufaa 1 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea. Aidha,rufaa 64 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo yataendelea kubaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea.(Jedwali 2)


Jedwali 1 (Tarehe 31/08/2015)
Na.JimboAliyekata RufaniAliyekatiwa RufaniUamuzi wa Tume
1RungweFrank George Maghoba
ACT Wazalendo
Saul Henry Amon
CCM
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





2KinondoniKarama Masoud Suleiman,
ACT Wazalendo
Azzan Iddi Mohamed
CCM
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kinondoni.





3PeramihoMwingira Erasmo Nathan
CHADEMA
Jenista Joakim Mhagama
CCM
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Peramiho.





4Lindi MjiniBarwany Salum Khalfan
(CUF)
Kaunje Hassani Selemani
(CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





5MLALOGOGOLA SHECHONGE GOGOLA (CUF)RASHID ABDALLAH SHANGAZI (CCM)Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mlalo.





6.MAFIAKIMBAU OMARY AYOUB (CUF)DAU MBARAKA KITWANA (CCM)Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





7.MJI WA HANDENIDAUDI KILLO LUSEWA (CHADEMA)KIGODA ABDALLAH OMARI (CCM)Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mji wa Handeni.





8.NJOMBE KUSINIEMMANUEL GODGREY MASONGA (CHADEMA)EDWARD FRANS MWALONGO (CCM)Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





9NJOMBE KUSINIEMMANUEL GODFREY MASONGA
(CHADEAMA)
WILLIAM EDWARD MYEGETA
(DP)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





10.NJOMBE KUSINIEMMANUEL GODFREY MASONGA
(CHADEMA)
EMILIAN JOHN MSIGWA
(ACT -wazalendo)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





11.KINONDONIKALUTA, AMIRI ABEDI
(CHAUMMA)
AZZAN IDD MOHAMED
(CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





12.MICHEWENIKHAMIS JUMA OMARI (CCM)HAJI KHATIB KAI (CUF)Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





13.CHALINZESHOO GASPER AIKAELI (ACT –Wazalendo)KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA (CCM)Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Chalinze.





14.CHALINZETORONGEY MANGUNDA MATHOYO (CHADEMA0KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA
(CCM)
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Chalinze.





15.KASULU MJINIMACHALI MOSES JOSEPH
(ACT – Wazalendo)
NSANZUGWANKO DANIEL NICODEMUS
(CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





16.MWANGAKILEWO HENRY JOHN (CHADEMA)PROF. MAGHEMBE JUMANNE ABDALLAH (CCM)Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





17.Tarime MjiniEsther Nicholas Matiko
(CHADEMA )
Deogratius Meck Mbagi
(ACT – Wazalendo)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





18.UlangaCelina Ompeshi Kombani (CCM)Ikongoli Pancras Michael (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





19.Nzega MjiniMezza Leonard John (CUF)Bashe, Mohammed Hussein (CCM)Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
20NkengeBagachwa Salim Abubakar (CUF)Kamala Diodorus Buberwa (CCM)Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





21.UlangaCelina Ompeshi Kombani (CCM)Isaya Isaya Maputa (ACT – Wazalendo)Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
22.BukeneElias Michael Machibya (CCM)Simbi Alex Mpugi (CUF)Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





23.IlejeJaneth Zebedayo Mbene (CCM)Emmanuel Amanyisye Mbuba (NCCR – Mageuzi)Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





24IlejeEmmanuel Amanyisye Mbuba
(NCCR – Mageuzi)
Janeth Zebedayo Mbene (CCM)Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





25Kigoma KusiniBidyanguze Nashon William (ADA – TADEA)Msimamizi wa Uchaguzi (RO)Tume imekubali Rufaa ya mrufani kwani aliwasilisha fomu 4 za uteuzi zenye jumla ya wadhamini 52. Hivyo, Tume imemrejesha Mgombea wa ADA TADEA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kigoma Kusini .





26BUMBULIDAVID JOHN CHAMYEGH
(CHADEMA)
JANUARY YUSUF MAKAMBA ( CCM)Tume imekubali rufaa na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Bumbuli aendelee na Kampeni.






27DODOMA MJINIKIGAILA BENSON SINGO (CHADEMA)MAVUNDE PETER ANTONY (CCM)Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





28LUDEWAMSAMBICHAKO BARTHOLOMEO A. MKINGA ( CHADEMA)FILIKUNJOMBE DEO HAULE (CCM)Tume imekubali Rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Ludewa. Aendelee na Kampeni.





29KINONDONIMTULIA MAULID SAID ABDALLAHCUFAZZAN IDD MOHAMED CCMTume imeikubali rufaa na imemrejesha Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kinondoni aendelee na Kampeni.





30MTAMASELEMANI SAIDI MTULUMA
UPDP
MCHINJITA RASHID ISIHAKA
CUF
Tume imekataa rufaa na inakubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi hivyo Mrufani ameondolewa kwenye ugombea kihalali na kisheria.





31UKONGAJERRY WILLIAM SILAA (CCM)WAITARA MWIKABE (CHADEMA)Tume imeikataa imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kuwaWaitara Mwikwabeni Mgombea halali. Wagombea waendelee na kampeni.





32SENGEREMAFRANCISCO K. SHEJUMABU
(UDP)
TABASAM H. MWAGAO (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na inakubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo,Tabasam H. Mwagao ni mgombea halali.





33SENGEREMATUMAINI MWALE KABUSINJA (NCCR – Mageuzi)HAMIS MWAGAO TABASAM (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo,Tabasam H. Mwagao ni mgombea halali.





34MOSHI MJINIKIRETI KAMASHO ISSAC (SAU)JAPHARY RAPHAEL MICHAEL (CHADEMA)Tume imekataa rufaa ya mrufani, kwa kuwa hajatoa uthibitisho kuwa mrufaniwa siyo raia wa Tanzania. Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo,Japhary Raphael Michael ni mgombea halali.





35MADABABUSARA LOSTOON KAISARI (ACT – Wazalendo)Msimamizi wa UchaguziTume imekubali Rufaa na kumrejesha BUSARA LOSTOON KAISARI, Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Madaba.





36TANGA MJININUNDU OMARI RASHID (CCM)KIDEGE HAMAD AYUBU MHAMED (ACT – Wazalendo)Tume imekubaliana na, uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo rufaa imekataliwa. Wagombea wanaendelea na kampeni






37TANGA MJININUNDI OMARI RASHID (CCM)MUSSA BAKARI MBAROUK (CUF)Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa na Wagombea wanaendelea na kampeni.

Tarehe 02/09/2015
38ARUMERU MASHARIKINASSARI JOSHUA SAMWEL (CHADEMA)PALLANGYO JOHN DANIELSON (CCM)Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa na wagombea wanaendelea na Kampeni..








39SHINYANGA MJINISTEVEN JULIUS MASELE (CCM)PATROBAS PASCHAL KATAMBI (CHADEMA)Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa. Wagombea waendelee na kampeni.

40MTAMBWEKHAMIS SEIF ALLI (CCM)ALI SALIM OMARI (AFP)Rufaa hii haikujadiliwa na Tume kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji fomu za rufaa haukufuatwa.





41MGOGONIISSA JUMA HAMAD(CCM)SULEIMAN ALI YUSUFRufaa hii haikujadiliwa kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji fomu za rufaa haukufuatwa.











Jedwali 2 Tarehe 01/07/2015
Na.JimboAliyekata RufaniAliyekatiwa RufaniUamuzi wa Tume
1.
CHIKUNJA/NDANDAKASTOR JOSEPH MMUNI
(CHADEMA)
MPONDA FILEMON NOAMECK DISMAS (NLD)Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
2
KIMAMBA ‘A'/KILOSASILAS RAMADHANI KASSO (CUF)AIRU MUSTAPHA KAISI (ACT-WAZALENDO)Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

3
NYAMISANGURA/TARIME MJINIBASHIRI ABDALLAH SELEMANI (CHADEMA)NCHANGWA SAMWELI MAGOIGA
(CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Nyamisungura

4
OLMOLOG/LONGIDOMATHIAS ORKIREYE MOLLEL
(CCM)
DIYOO LOMAYANI SYOKINO LAIZA
(CHADEMA)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

5
MWISENGE/MUSOMALADISLAUS MANYAMA MAGESA
(CCM)
BWIRE NYAMERO BWIRE (CHADEMA)Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

6
BOMANI/TARIME MJINIMECCO KAZIMOTO KABILA
(CHADEMA)
MASUBO GODFREY MICHAEL
(CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya BOMANI.

7.
ISYESYE/JIJI LA MBEYAMDEMU MELAS PAUL (CCM)IBRAHIM JOHN MWAMPWANI
(CHADEMA)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

8
MBARIKA/MISUNGWIIZENGO TUMAINI PETER
(CHADEMA)
ZUBERI MANZA NGUKULA (ACT-WAZALENDOTume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

9
KILAGANO/WILAYA YA SONGEABATHLOMEO SIXMUNDI MKWERA
(CHADEMA)
EMANUEL EMILIAN NGONYANI
(CCM)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

10
ISAMILO/Jiji la MwanzaTIBA DEUS TIBA
(TADEA)
YAHAYA IDDI NYALENGA
(ACT-WAZALENDO)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

11
BENDERA/SAMEMICHAEL RICHARD MCHARO
(CHADEMA)
CHRISTOPHER MAIKO MZIRAI
(CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Bendera.

12
MBWEWEMAHAMBA BAKARI RAMADHANI
(CCM)
MOHAMEDI JUMA RAJABU
(CUF)
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CUF kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mbwewe
13
MABIBOJOSEPH WILLIAM KESSY
(CCM)
DASTAN ATHANASIO ERNEST
(CUF)
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Mabibo. Wagombea waendelee na kampeni.

14
WANGING'OMBEHINGI ROSINA GABRIEL
(CHADEMA)
NYAGAWA GEOFREY KILUNDO
(CCM)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi






15
TALAWANDA/CHALINZESHABANI MAULIDI SEMINDU
(SAU)
ZIKATIMU SAIDI OMARI
(CCM)
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Talawanda.





16
KIWANGWA/CHALINZEOMARI RASHIDI DAVID
(CHADEMA)
MALOTA HUSEIN KWAGGA
(CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





17
LUGOBA/CHALINZEUCHECHE IDDI MRISHO
(CHADEMA)
MWENE ISSA REHEMA
(CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





18
ISYEYE/MBEYA JIJIMDEMU MELAS PAUL (CCM)SANKE ENOCK SESO (APPT-Maendeleo)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





19
ISYEYE/MBEYA JIJIMDEMU MELAS PAUL (CCM)MWASEBA SARAH MWASAMBOMA (NCCR-Mageuzi)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote wanaendelea na zoezi





20
ISYEYE/MBEYA JIJIMDEMU MELAS PAUL (CCM)FABIAN ERNEST DEO (ACT-WAZALENDO)Tume imkataa rufaa na imekubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi.





21
KASHAI/BUKOBA MJINIKABAJU NURULHUDA ADULKADIR (CHADEMA)SAMORA A. LYAKURWA (CCM)Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Kashai. Wagombea waendelee na kampeni.










22
MBWEWE/CHALINZEMAHAMBA BAKARI RAMADHANI (CCM)PAPA JUMA HAMISI (CHADEMA)Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CHADEMA kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mbwewe





23
KIWANGWA/CHALINZEMALOTA HUSSEIN KWAGGA (CCM)OMARI RASHID DAVID (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





24
MCHANGANI/TUNDURU KASKAZINIMAWILA MOHAMED YASIN
CUF
HAIRU HEMED MUSSA
CCM
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea MAWILA MOHAMED YASIN CUF kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mchangani.





25
BUGORORA/MISENYISWALEH AHMADA MLISA
(CHADEMA)
PROJESTUS M. RUZIGIJA
(CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





26
SIRARI/TARIMESAGARA AMOS NYABIKWI (CCM)NYANGOKO PAUL THOMAS
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





27
KIBASUKA/ TARIMEISAYA NYANGOYE TARRIMO (ACT-Wazlendo)LOICE CHACHA MANYATA (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi





28Kibasuka/ TarimeISAYA NYANGOYE MATIKO (ACT- Wazalendo)KELEMANI NYAKIHA KEHEMGU (CCM)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





29IYELA/ JIJI LA MBEYAEMMANUEL ELIAH LYATINGA (CCM)CHARLES CHANGANI MKELLA (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





30IGANJOWASHAHA JAIVU MIHALI (CCM)DAVID EDWARD MWANGONELA (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





31ISYESYEMDEMU MELAS PAUL
CCM
MWASEBA SARAHA MWASAMBOMA

Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





32MIYUJI/ MANISPAA DODOMAWALLACE DANIEL LUSSINGUDAVID WILLIAM MGONGOTume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
33MNADANIEUSTACE RWENYANGILA RUBANDWAFARIDA ISSA MBARUKUTume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





34THEMI/ JIJI LA ARUSHALABORA PETRO NDARPOI
CCM
MELANCE EDMOND KINABO
CHADEMA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.










35LUFILYO/ BUSOKELOMWAMAFUPA LUCAS GIDION
CCM
RICHARD AFRICA MWANGOMALE
CHADEMA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





36SOMANDA/ BARIADIHERI MCHUNGA ZEBEDAYO
CHADEMA
ROBERT LWEYO MGATA
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.









37ULEMO/ IRAMBAELIKANA MAKALA SHOMIASAMWELY F. SHILATume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





38KIEGEANI/ MAFIASELEMANI DARUSI ALLYHASSAN MOHAMED SWALHUTume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





39ISYESYE/ JIJI LA MBEYAMDEMU MELAS PAULSANKE ENOCK SESOTume imepitia vielezo vya mrufani na kujiridhisha rufaa haina msingi. Hivyo Tume imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote wanaendelea na zoezi





40PERA/ CHALINZEMAJIDI MUSSA ISALE
(CHADEMA)
LEKOPE
LAINI
LANG'WESI
(CCM)
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Pera





41MWAYA/ ULANGALILONGERI FADHILI FURAHA
(CCM)
MOHAMEDI KAPELEWELE RASHIDI
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





42KIRUSHYA/ NGARASOSPETER SALAZIEL KAPFHUM
(CHADEMA)
SENTORE
MIBULO JACOB

Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





43IYELA/ JIJI LA MBEYAEMMANUEL ELIAH LYATINGAKELVIN HENRY MYEMBATume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





44MBEZI MKURANGARAMADHANI MOHAMED MBWELA
CUF
RASHID MOHAMED SERUNGWI
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.






45SHUNGUBWENI/MKURANGAKULWA SELEMANI MSUMI
CUF
KAMBWIRI OMARI SHAIBU
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





46CHIFUTUKA/BAHINOLLO MWINJE MNZAJILA
CCM
RUBENI SALI LUHENDE
CHADEMA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





47KITUNTU/KARAGWEMODEST KATARE KALOKOLA
CHADEMA
ZIDINA TAYEBWA MURUSHID
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





48VIANZI/MKURANGANAZIRU JUMA CHUMU
CUF
NASSOR ALLY CHUMA
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.









49IPALA/DODOMA MJINISHUKRANI AMOSI MHALINGA
NCCR-MAGEUZI
GEORGE STEPHEN NGAWA, VICTORIA, MATAGI MAGABE, AMANI CHIBWANA MADELEMU
CCM na ACT-WAZALENDO
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





50LUKANDE/WILAYA YA ULANGAMAJIJI NOVATUS SILVATUS (CCM)MHAWI AWDHI AMIRI (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





51MONDO/CHEMBASAMBALA SAID OMAR (CCM)ATHUMAN HUSSEIN KIDUNDA (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





52UPONERA/ULANGAMWENTI MARIA MAGNUSI (CCM)EMELIANA ZAKARIA MHAWI (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





53BUSIS/SENGEREMABUZANGI FLAVIAN ARBOGAST (ACT –Wazalendo)DICKSON YONA SAMWEL (CCM)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

01/09/2015




















NaJIMBOAliyekata RufaaAliyekatiwa RufaaUamuzi wa Tume
54MINZIRO/ MISENYITWAHA YUNUSU LUBYAYI (CCM)GEORGE MUKASA KAZIBA (CHADEMA)Hakuna ushahidi kuthibitisha kuwa Mrufaniwa si mkazi wa kawaida wa Kata ambayo anagombea. aliiwasilisha barua kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kuthibitisha Pingamizi lake kwa kupitia kwa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti. Rufaa hina msingi Serkretatieti inapendekeza ikataliwe. Wagombea waendelee na kampeni.
55.MAWASILIANO/ULANGASALUM DOTTO MOHAMED (ACT-WAZALENDO)INNOCENT VICTOR MWACHIPA (CCM)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
56MADUKANIBAHAJI HUSSEIN ALLY (CCM)SAIDI LUGA KITEGILE (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
57.VIANZISEIF RAJABU LUMU (CHADEMA)ANDASON FRANCIS MBANGUKA (CCM)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
58.MUNDEM/BAHIFELIX THOMAS MBUNA (CHADEMA)GORDEN M. ENYAGALO (CCM)Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. Imemrudisha mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na kampeni.
59.KILOSA MPEPO/ HALMASHAURI YA MALINYIKIWANGA KILIAN BONAVE NTURA (CHADEMA)HAMISA YUSUPH KYELULA (CCM)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
60.LUPILO/WILAYA YA ULANGAMAHUNDU AYUBU HASSAN (CCM)MADUNDA ABDALA MKALIMOTO (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
61NYARUYEGE/ BUSANDACHARLES KALEMELA MAKONA (CHADEMA)MALIMI SAMSONI SAGUDA (CCM)Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na kampeni.
62MKURANGAMWARAMI SHAHA MKETO (CUF)SAID MOHAMED KUBENEA (CCM)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
63.CHIROMBOLAFUNDI YAHAYA CHUMAMGUBA HILGAD ITATIROTume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
64.MKONGOTEMA/ MADABAOSWARD P. NJIKUVITUS M. MFIKWATume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha mgombea kugombea udiwani katika kata ya Mkongotema.
65.CHIKUNJA/ NDANDAKASTOR JOSEPH MMUNI –(CHADEMA)OMARI MOHAMED MKOKO-(CCM)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
66.NKINGA/MANONGASALI ALPHONCE LWAMBO (ACT-WAZALENDO)ISACK GILBERT KIBONA- (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
67KILINDIMOHAMEDI S. LUGENDO- CUFMOHAMED BAKARI MKOMWA-
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
68.









NYAMISANGURA/ TARIME MJINIDIDAS NCHAMA MAKARANGA(ACT –WAZARENDO)SAMWEL NCHANGWA MAGOIGA (CCM)Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea Didasi Nchana Makaranga kugombea kwenye Kata ya Nyamisangura.
69.















IGWACHANYA /WANG'INGOMBEMHABUKA HENRY AMOS-(CHADEMA)MAHWATA ANTHON EMANUEL (CCM)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

70.















KEMAMBOJOHN MASYAGA MANG"ERANYI
(CHADEMA)
BOGOMBA RASHID CHICHAKE(CCM)Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA kugombea udiwani.
71







MAJENGO/MOSHI DCMINJA PETER PANTALEO –(CHADEMA)SABITIPA MWALIMU MCHOMVU – (CCM)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
72







MOROGORO JUUEMIRY ALPHONCE KIDEVU-(CCM)YASSINI KONDO KUNGWA-(CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
73

KYERWA/ RUTUNGURURICHARD BURCHARD KABARA –(CHADEMA)FRUGENCE MUZORA FREDERICK – (CCM)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
74
MWEMA/TARIMEPETRUES JOSEPH ITAARA (CHADEMA)NTOGORO PETER KURATE (CCM)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
75
KITAJI/MUSOMA MJINIFRANK DIONIS WABARE (CCM)HAILE SIZZA TARAI (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
75
UBENA/CHALINZEMUYUWA NICHOLOUS GEORGE (CCM)MHOKA AUGUSTINO EVARISTO (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
76
UBENA/CHALINZEMUYUWA NICHOLOUS GEORGE (CCM)MGAMA ASHRAF ATHUMANI (ACT-WAZALENDO)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
77
BUJULA/WILAYA YA GEITAKANIJO AMINA SWEDIKONGEJA YOHANA MULELETume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
78
MBERE/ILEJECHAGHI ANDREA KALINGAOMARI AMBILIKILE KAMENDUTume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
79
HUNYARI/BUNDASUMERA KIHARATA MZUMARI (CCM)MAKIMA HAMAROSI JOSEPHAT (CHADEMA)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
80
KEMAMBO/TARIME VIJIJINIJOHN MASYAGA MENG'ENYA (CHADEMA)BOGOMBA RASHID CHICHAKE (CCM)Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

81
BOMANI/TARIMEMECCO KAZIMOTO KABILA (CHADEMA)MASUBO GODFREY MICHAEL (CCM)Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea agombee Udiwani.
82
MADABAOSWALD P. NJIKU (CHADEMA)VISTUS M. MFIKWA (CCM)Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea agombee Udiwani.

 
Nilichokiona hapo hakuna ushindi wa mezani, hivyo mpambano uko pale pale katika uwanja wa vita. Katika hili naipongeza tume ya UChaguzi.
 
Tume wangeweka mwezi au wiki kwa ajili ya rufaa kabla ya kampeni,wanawapunja watu muda wa kampeni
 
MWaka huu hatutaki magoli ya mkono.

Wakapigie BAFUNI na pia wajue hayana watoto.
 
Safi sana!
Idd Azzan kwisha habari yake!

Masikini Idd Azan, sijui atarudia kazi yake ile .................

Hapo CUF ushindi ni asubuhi. Hongera sana NEC kwa kutenda haki.

Je kuna jimbo lolote la ubunge ambalo CCM wamepita bila kupingwa? Vipi jimbo la Nanyamba Mtawra vijijini?

Lastly hongera sana Rais JK kwa kuleta mchakato wa katiba mpya uliozaa UKAWA.

Mungu alisikiliza sala zetu kupitia JK na Sitta.
 
Nimekubali nchi hii tatizo siyo watu bali mfumo.
Katika hatua hii tume wamefanya kazi nzuri na hakuna ushindi wa mezani kirahisi hivyo.

Issue itakuja kwenye kumtangaza mshindi wa URAIS sasa.
Hapa tume haina UHURU wa kutosha kusimamia na kuutangaza ukweli wa matokeo.
Hata watu wakichakachua nafasi ya urais MFUMO unalazimisha tume kufanya yale ya mteuzi wao.


MFUMO, MFUMO, MFUMO ndiyo tatizo la nchi hii. Wala si kweli sisi watanzania ni watu wabaya.
Tatizo ni MFUMO(katiba na sheria mbovu) unaolindwa kwa nguvu zote na CCM coz unawanufausha wao.


MWAKA HUU LAZIMA WATANZANIA (WACHUMBANI SIYO WA CHOONI) TUUBADIRI MFUMO.
 
Hii ni janja ya Tume ya Uchaguzi inataka kuwahadaa watu wawe na imani nayo ili baadaye likifungwa goli la mkono watu wasiishitukie. Chezea CCM weye! Wenyewe wamesema wana mbinu.
Nilichokiona hapo hakuna ushindi wa mezani, hivyo mpambano uko pale pale katika uwanja wa vita. Katika hili naipongeza tume ya UChaguzi.
 
tume imetenda haki hii ni ishara kwamba tume imejopanga kuzuia magoli ya mkono.
 
Usizungumzie usichokuwa na uhakika nacho. Kwani wewe ni mtabiri? Unajuaje issue ya kumtangaza raisi kabla ya siku yenyewe kufika? Unajuaje Tume haitakuwa huru? Leo iko huru, kesho haitakuwa huru kwa ushahidi upi. Unatengenezaje ushahidi kabla ya shauri kuanza? Wacha mambo ya kufikirika, reason sicientifically.
Nimekubali nchi hii tatizo siyo watu bali mfumo.
Katika hatua hii tume wamefanya kazi nzuri na hakuna ushindi wa mezani kirahisi hivyo.

Issue itakuja kwenye kumtangaza mshindi wa URAIS sasa.
Hapa tume haina UHURU wa kutosha kusimamia na kuutangaza ukweli wa matokeo.
Hata watu wakichakachua nafasi ya urais MFUMO unalazimisha tume kufanya yale ya mteuzi wao.


MFUMO, MFUMO, MFUMO ndiyo tatizo la nchi hii. Wala si kweli sisi watanzania ni watu wabaya.
Tatizo ni MFUMO(katiba na sheria mbovu) unaolindwa kwa nguvu zote na CCM coz unawanufausha wao.


MWAKA HUU LAZIMA WATANZANIA (WACHUMBANI SIYO WA CHOONI) TUUBADIRI MFUMO.
 
Wewe ulitaka CCM ipigwe chini tu hata pale inapostahili kupewa haki? Unaelekea wewe ni adui wahaki wa haki za wengine unaotofautiana nao kimawazo na una upendeleo kwa wale unaowapenda hata kama hawana haki
Sijaona sehemu ambapo CCM imepigwa chini!!!
 
Nec wakiendelea hivyo watafika mbali na watajijengea heshima katika taifa na hata baada ya uchaguzi kuisha itakuwa ni heshima heshima kwa kazi nzuri
 
Back
Top Bottom