Muhoozi atangaza kwa mara nyingine nia ya kumrithi rais Museveni

Muhoozi atangaza kwa mara nyingine nia ya kumrithi rais Museveni

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
844
Reaction score
1,608
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, mshauri mwandamizi wa rais na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, ameibua tena gumzo nchini baada ya kutangaza wazi nia yake ya kuwania urais kupitia ujumbe wa mitandaoni wenye kauli ya kidini.

IMG_8225.jpeg

"Kwa jina la Yesu Kristo Mungu wangu, nitakuwa Rais wa nchi hii baada ya baba yangu," aliandika Jenerali Muhoozi Jumanne jioni, Julai 16.
 
Back
Top Bottom