Muhongo ni muongo

Muhongo ni muongo

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,627
Hapa kabla ya kuwasilisha ripoti, anajaribu kuungama kabla ya kuongea uongo bungeni
 

Attachments

  • 1417120037814.jpg
    1417120037814.jpg
    31.5 KB · Views: 683
ukiitwa Shida utakuwa wa shida tu hivyo huyu muongo karithi tabia ya jina lake. Halafu bila haya anaongea uongo mbele ya wabunge na watanzania wote bila aibu.Enzi za kuburuza watanzania zi
mepita sasa hivi mitandao itawaumbua tu washenzi hawa wenye elimu za kuungaunga na kurithishwa.Kuna vijana wamesoma ati.
 
Back
Top Bottom