Ila Muhungo aliiweza sana nishati na madini,sema tu zengwe la kina machache.
Victorie jamaa pale alipamudu vibaya sna. Hakuna tena wa kuvaa viatu vyake pale isee.
P r Muhongo kimbilio la wanyonge tunaomba mungu atusaidie uwe rais wetu umeme tumepata tunauhakika gesi na madini tutanufaika navyo. Kila la heri. Gendelage ludodi lukafu luladenyeka.
Ni huyu pia alisema kuwa wazawa hawana uwezo wa kufanya biashara kubwa kama ya gesi:confused2:Watanzania watu wa ajabu sana,c ni nyie ndo mlikua mnalia kila cku huyu jamaa ajiuzulu kwenye skendo ya ESCROW!
Nakumbuka alisema hakuna mtanzania mwenye pesa ya kuwekeza kwenye miradi ya gesi, eti uwekezaji katika gesi unahitaji matrilioni kwa akili yake ndogo anafikiri hao wazungu wanaowekeza kwenye gesi wanayo hayo matriilioni mifukoni mwao!!!!!!!!!
Anafaa tu kuwa mtafiti katika maswala ya nishati lakini sio kuongoza nchi, ni kazi kubwa kuliko kuwekeza kwenye miradi ya gesi
Daudi Mchambuzi upo serious kweli?Anamalizia pesa zake za escrow kutafuta sifa tu hamna kitu hapo.
Angeweza kuzuia kivipi mkuu? kama mshauri mkuu wa serikali kwenye mambo ya sheria AG alishauri hela itoke baada ya ule uamuzi wa mahakama yeye kama waziri angefanyaje??? au tuseme wewe kama waziri ungefanyaje???Angeweza angezuia wizi naye ni wale wale Ukoo wa panya
Siasa za maji taka za akina mengi pamoja na watu wake ndiyo zilitufikisha hapa.Ila Muhungo aliiweza sana nishati na madini,sema tu zengwe la kina machache.
Halafu jamaa wewe ulivyo na kichwa kikubwa nilidhani unaakili kumbe huna kabisa kwani muhongo alipewa sh ngapi za escrow.Anamalizia pesa zake za escrow kutafuta sifa tu hamna kitu hapo.
Anamalizia pesa zake za escrow kutafuta sifa tu hamna kitu hapo.