muhonge mwanamme halafu uone kama atachomoa kwako!!!

Ukiweza kupiga Game haswahaswa ya kuweza kumdatisha demu mbona utaringa!!! Tupige show jamani za kufa mtu na sie tuongwe hata vitz!!
 
duuuuhhh!!!!!!Elizabeth Dominic!!!!!!umenifurahisha ntandikie mie kigodoro manake nshagombaniwa sana!!!kisa shughuli,si unajua tena ufundi kunapo majambo 6x6
 
Back
Top Bottom