muhonge mwanamme halafu uone kama atachomoa kwako!!!

nakumbuka haka kasentensi,'simba akimla binadamu ni habari ila binadamu akila simba ni habari kubwa sana'
 
Japokuwa hujanitaja jina ila sio fresh mambo ya ofisini kuyaleta humu jamvini, ulifikiri sipitagi humu nini?
- kama kuhongwa si na hongwa mie.. Kwa kuanzia kesho naanza upepelezi hapo ofisini nitakubaini tu
 
Hana kipato kikubwa nyumba alipewa zakazini furniture ndio katiliwa na wanawake yani hata kama mshahara wako mdogo
japo siku moja jinyime uwape wenzio japo offer ya lunch hakuna kwa bwana yule,lakini yeye hasubiri kualikwa akiwasikia mnaenda kule sehemu huyo keshaingia kwenye mkumbo...

inaonekana umekereka sana kwa hili eeh, punguza jazba coz ishatokea hope hawa mabinti wamejifunza kitu!
 
Japokuwa hujanitaja jina ila sio fresh mambo ya ofisini kuyaleta humu jamvini, ulifikiri sipitagi humu nini?
- kama kuhongwa si na hongwa mie.. Kwa kuanzia kesho naanza upepelezi hapo ofisini nitakubaini tu
Hahahaaah!! Atakuwa labda ni huyo aliyezidiwa kete.
 
Natamani nikuwe mtafiti halafu nifuatilie maisha ya huyu kijana...atakuwa na trait fulani ambayo inaweza kufaa kwenye GMO!!

Babu DC!!
 
Japokuwa hujanitaja jina ila sio fresh mambo ya ofisini kuyaleta humu jamvini, ulifikiri sipitagi humu nini?
- kama kuhongwa si na hongwa mie.. Kwa kuanzia kesho naanza upepelezi hapo ofisini nitakubaini tu
Ahhhh umezowea kupewa babu weye ebu toa na weye japo siku moja....lol
 
mwanamke kagawa X5? aisee hizo ofisi zenu zipo wapi nije na mie kutongozwa :biggrin1:
Mwenzangu huyu bwana niujuaji wake na alivyo waweka hao ma zuzu wake wengine wala hawahongi gari utaishia na chupa za perfume na nguo mara saa hakuna zaidi ya hapo...
 
[h=2]
icon1.png
[/h]
Habari za kazi wana MMU,
Leo nimesikitishwa na wanawake wawili hapa kazini wanao gombea mwanamme mmoja,kwanza ilikua wanafanya siri
Mpaka ikawa kila mmoja anamjua mwenzie sasa yakaanza mashindano ya kugawa zawadi kwa mwanamme,Ghaliyah
Kanunua set bed room set Wafaa akanunua Sofa set imekwenda mpaka Ghaliyah kwao mambo safi kamnunulia bwana
BMW X5 mpya Wafaa hana jeuri hiyo,gari bwana kapewa kama siku 10sasa leo asubuhi kwenye mkutano ndio tiffu
likaanza bwana anavutwa huku mara anavutwa na yule Wafaa akawa anamtukana mwenzie "Mie sio wewe mpaka
Nihonge gari ndio nitakiwe kaa ukijua mwanamke mapenzi"

Ghaliyah akacheka kwa dharau sana akajibu" Muhonge vya thamani mwanamme uone kama atachomoa kwako"
Nikashanga sana wanavyojibizana kisa mwanamme,na yule bwana anacheka yani Wafaa karoa anakigari kama changu
cha mwaka 47 huko, uzuri huyu bwana tunaheshimiana sana nikamuita kumwambia alivyofanya sio sawa
Akanambia wote wanajigonga nasipendi kumuudhi hata mmoja katika wao na nilishawambia wanajua bwana karibuni anawacha kazi na hakuna hata mmoja anaejua.

swali langu waungwana ivi wanawake wengine inakuwaje wanakua na ujinga kama huu? kwani wanaume hakuna?​

Kipenda roho hula nyama mbichi, hata wanaume wanaohonga si kwamba hakuna wanawake bali kuna kitu unique anakipata kwake
 
inaonekana huyu jamaa anatoa dozi kamili kunako 6 kwa 6
kwa wanavyo msifia hao zuzu wake wawili wanasema ana machine kubwa na hodari wa kuzama chumvini anajisahau hasa
akiwa huko,lakini still sifa hizo sio zakutoa gari looooooooo.
 
Back
Top Bottom