Muhindi na mtihani wa kiswahili

hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,558
2,824
Hii ilikutwa kwenye mtihani alofanya mtoto wa kihindi wakati akijibu maswali ya methali

swali; bandu bandu.....
Jibu: Iko dugu yake patel iko nakaa bombay

swali: Mtaka cha uvunguni......
Jibu: Iko na binua tanda

swali: Simba mwenda pole....
Jibu: Iko fungwa na yanga

swali; simba akinguruma...
Jibu: Yanga yote nakimbia

swali: Zimwi likujualo....
Jibu: Iko fata veve hadi jumbani yako
 
Hahahaaaaaa umenikumbusha mbaali sana aisee. Nyie huu sio utani ni kweli inatokea. Waliosoma Arusha Sec mtakumbuka sana vituko hivi 4m wahindi....
 
Hahahahaha!'Zimwi likujualo iko fata veve mpaka nyumbani.' Nimeipenda hiyo sana!
 
Hii ilikutwa kwenye mtihani alofanya mtoto wa kihindi wakati akijibu maswali ya methali

swali; bandu bandu.....
Jibu: Iko dugu yake patel iko nakaa bombay

swali: Mtaka cha uvunguni......
Jibu: Iko na binua tanda

swali: Simba mwenda pole....
Jibu: Iko fungwa na yanga

swali; simba akinguruma...
Jibu: Yanga yote nakimbia

swali: Zimwi likujualo....
Jibu: Iko fata veve hadi jumbani yako

 
Mi nakumbuka hadi leo kutoka kwa bint wa kihindi. "Samaki moja bovu wengine yote piya bovu". Ila alipewaga max kidogo. Sasa cha kujiuliza alifauluje mtihani wa la saba manake miaka hiyo ilikuwa mitihani yote ni kwa kiswahili na akafulu kujiunga na shule ya serikali...ilikuwa full kucheka darasani.
 
Kwa niaba ya wana-Yanga inabidi nitoe tamko..tumenyanyaswa sana...tumezalilishwa sana...nadhani there is a wish we have to grant!...ni ubingwa!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom