RealMan
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,367
- 1,395
kitambiheshima asante kwa mada...
Wakati umeonyesha waliyoweza ama kushindwa marais watatu wa mwanzo i.e Nyerere, Mwinyi na Mkapa kwa upande wa rais Kikwete umeonyesha aliyoweza tu bila kusema aloshindwa...
Pengine lengo lako halikuwa kulinganisha bali kumpaisha mmoja wao na kumshusha mwengine.
Mtazamo tu!!

Last edited by a moderator: