Muhimu tu, tusipigane mizinga

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,105
Reaction score
64,092
Kuna warembo humu, watu wanawaogopa kuwatongoza na kuwanyima haki yao ya msingi ya kupendwa.

Wapo humu waliokwisha jikatia tamaa, kutokana na kutokusemeshwa maneno mazuri mazuri na mabaharia.

Kupitia uzi huu, nimeamua kuwa mkombozi wenu; kama wewe ni mrembo mkali unayejiamini, na watu wanakuogopa kukutongoza, ebu njoo hapa tutete jambo, haki yako ya msingi ni kupendwa.

Muhimu tu, tusipigane mizinga.​
 
haiombwi hivyo gentleman 🐒
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…