hapiness win, usitake kujua ninachowaza.
Naufikiria kwa kina ule wimbo wa HAKATWI MTU HAPA wa airtel.
Sasa nimegundua kuwa wanapinga tohara kwa wanaume

hahahhaaaa........sikujua kama ungepita huku babu DC!!! nilibeba takeaway mwenzio chezea mambo ya dokta!!!
Hope uko salama na unaendelea vyema na kazi!