luofe
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 330
- 144
wasikukatishe tamaa as sio combination nzuri !!!!! iko vizuri and ina future nzuri as unaeza soma kozi nyingi chuo kikuu as MD,pharmacy , geology,architecture, BVM ,kozi nyingi za SUA ukitoa kozi za uhandisi pia medical laboratory,nursing,biotechnology, wildlife , na nyingine nyingi zenye future nzuri!!!
NOTE.:
Ili upate kozi kama MD na pharmacy unatakiwa ufanye vizuri kwenye chemistry na biology. mfano chuo kama bugando kwenye admission requirements zao kwa MD wanataka 5 points in two subjects ( from phy,chem, and bios) kwa hiyo ili upate nafasi unatakiwa uwe na kuanzia C -3,D -2 kwenye chem and bios bt kutokana na competition inayotokeaga ukifanya vizuri zaidi ya hapo unajiongezea nafasi ya kuchaguliwa! auna haja ya kuogopa na kukata tamaa as mimi nilikatishwa tamaa sana then nko MD!!! ko tia shule ili tuje tuhudumie jamii