Muhimu: Kingunge, Nape na Kikwete

Muhimu: Kingunge, Nape na Kikwete

Na hapo ndipo ukawa mnapochemka kama alivyo Kiongozi wenu fisadi Lowasa mmepoteza uhalisia na hamjui nini kinaendelea!
Hivi ni asilimia ngapi ya Watz wanaweza kuangalia TV na kujua nini kinaendelea? kwa kukusaidia tu, wenye Umeme TZ nzima ni asilimia 14% tu na hiyo ni pamoja na wakazi wa Dar!

Eti asilimia 14% ndio wana umeme tz kwa utawala wa miaka 54 wa ccm alafu huna aibu unajivunia ujinga huo?kweli ukiwa ccm unatakiwa kuipenda tz nakuwachukia wa tz,sasa ni hiyo 14% inawafanya muwekeze nguvu zote hizo kwenye media?si mfanye tu kampeni bila media?
 
Ni wapi nilipojivunia kutokuwa na Umeme?
 
Hapa CCM ndiyo mnakuwa kama nyumbu kumbe unajua watanzania wanakosa umeme na walio nao ni 14% nani kasababisha umaskini kama siyo serikali isiyowajibika na zembe kama yetu. Nyie muda mwingine muone haya Nchi mumeifirisi mpaka ni maututi sasa unasema 14% ndiyo wanapata umeme mpake leo tuko gizani miaka 50 ya kujitawala mnatupa hasara alafu eti CCM, kafie mbele nyie nuksi na balaa katika Nchi hii tumewachoka hata sasa mgengali ondoka tu!

Hata mimi pia nimeichoka CCM na ninataka Mabadiliko lkn nataka mabadilko ya UKWELI na siyo wale wale waliokuwa CCM na waliosababisha hata matatizo yote tuliyonayo leo hii waende upande wa Pili tena baada ya kukataliwa na CCM ndiyo waseme wataleta mabadililo!

Leo hii hakuna Umeme kwa sababu fisadi Lowasa na Genge lake wameifilisi Tanesco na mpaka leo hii tunawalipa mafisadi mabilioni ya shilingi kwa mwezi halafu hao hao wanaolipwa haya mabilioni wanakuja kukwambia uwachague ili wakuondolee Umaskini kama siyo ujuha ni kitu gani?
 
Je wanamfahamu Nyerere kama nani?..Kingunge ndio baba wa Taifa aliyebakia!!

Mlm.Nyerere anajulikana sana tu na sababu kubwa ya yeye kujulikana ni kwa kuwa alikuwa Raisi wa nchi, hivyo hata watoto wa shule waliozaliwa juzi shuleni watafundishwa raisi wa Kwanza wa TanZania alikuwa Mlm.Nyerere, sasa Kingunge ni hata anamjua huko Geita au sijui Kiteto?

KINGUNGE NA KIKWETE: Tujikumbushe

Nilikuwa Dodoma mwaka 2005 wakati wa vikao vya kuteuamgombea urais kwa CCM.
Mzee Mkapa aliingia Dodoma saa saba mchana. Alipokelewa uwanjani katikati ya mvutano mkubwa wa wagombea. Dodoma ilikuwa inazizima nyuma ya Jakaya Kikwete.

Na Mzee Mkapa aliingia Dodoma akiwa amepania kulikata jina la Kikwete kwa kile alichodai, "Kijana huyu ana kiburi, anawezaje kudai akikatwa CCM itapasuka?". Mkapa alipania kulikata jina lake na kama CCM inapasuka ipasuke.

Alipoingia White House Dodoma aliendewa na wazee wakiongozwa na Mzee Kingunge. Bila kupepesa macho, Mzee Kingunge alimwambia Mzee Mkapa maneno mazito. Alisema, mgombea ni Jakaya. Aliongeza kuwa, Zamu kati ya Wazanzibari na Wabara haina shida tena, Wazanzibari wanamkubali Jakaya. Zamu za Wakristo na Waislamu; sasa ni zamu ya Waislamu na wamesema wanamtaka Jakaya.

Mzee Mkapa hakujibu. Aliondoka kwenda kupata taarifa za usalama na kamati ya maadili. Yaliyotokea baadaye wote mnakumbuka. Hotuba ya Mkapa ilibadilika. Aliokuwa ameishawaambia kuwa atakata jina la Jakaya walibaki midomo wazi. Wengine wakadai amerogwa. Wengine wakasema ametishwa, na mengine mengi.

Sasa nimwulize Nape Nnauye: Huyu Mzee Kingunge mwaka 2005 alipomuunga mkono mgombea mmoja, Jakaya, hakukigawa chama? Kumuunga mkono Lowassa ndipo amekigawa chama?

Uungwana ni kukubali ukweli kuwa kuondoka kwa mzee Kingunge ni pigo, kisha tuendelee na safari.

Hata wakati huo alikigawa sana chama, ndo maana kimefika hapa kilipo kwa mambo kama hayo, ila kinachofurahisha tayari walishaona kosa, kosa ni kurudia kosa.
 
Hana madhara ndani ya chama na kwann asiyaseme hayo b4.......wiz mtupu kikifka kpnd cha uchaguz ndo mnaanza kujisfisha kwa watanzania .......mi binafs inaniuma sana ......kwann haya yanatokea wakat huu ?????? Tumechoshwa na siasa za kilaghai bhan
 
Na hapo ndipo ukawa mnapochemka kama alivyo Kiongozi wenu fisadi Lowasa mmepoteza uhalisia na hamjui nini kinaendelea!
Hivi ni asilimia ngapi ya Watz wanaweza kuangalia TV na kujua nini kinaendelea? kwa kukusaidia tu, wenye Umeme TZ nzima ni asilimia 14% tu na hiyo ni pamoja na wakazi wa Dar!

Wtz wenye umeme asilimia 14!!! Nchi nzima . Na bado kuna mgao... yaani serikali imeshindwa kuhudumia hata hao wachache.
Ccm haipati kura yangu hata moja kuanzia ya diwani, mbunge hadi raisi
 
Hata mimi pia nimeichoka CCM na ninataka Mabadiliko lkn nataka mabadilko ya UKWELI na siyo wale wale waliokuwa CCM na waliosababisha hata matatizo yote tuliyonayo leo hii waende upande wa Pili tena baada ya kukataliwa na CCM ndiyo waseme wataleta mabadililo!

Leo hii hakuna Umeme kwa sababu fisadi Lowasa na Genge lake wameifilisi Tanesco na mpaka leo hii tunawalipa mafisadi mabilioni ya shilingi kwa mwezi halafu hao hao wanaolipwa haya mabilioni wanakuja kukwambia uwachague ili wakuondolee Umaskini kama siyo ujuha ni kitu gani?

Lowasa aliondoka serikalini miaka nane iliyopita, nani aliiuza Richmond kwa dowans baada ya lowasa kuondoka?, nani alimilikisha hiyo mitambo kwa symbion baada ya dowans ? Akamsindikiza na Obama pale ubungo asaidie kuisifia kwa wananchi. na kwa nini waliendelea kudanganya wananchi kwamba dowans na baadae symbion ni suluhisho la umeme huku wakijua mitambo ni ileile ya kampuni hewa ya Richmond na ni mibovu?
Mafisadi wa Richmond wapo hukohuko ccm wanaendeleza kupiga dili, hao ndio wanaoendelea kuifilisi tanesco.
 
Mbona unaongea kama una tonge la mavi mdomoni? kwani hiyo miaka nane unayoisema alikuwa mbiguni au alikuwa ujerumani? acha kutumia matako kufikiri na usipende sana kukaririshw mambo, baada hao vibaka na genge lao kupewa pesa na Lowasa na kubadilisha maneno na ww unayumba kutokana na huo ujinga, mbona hao akina Mbowe na wenzake wamezunguka hiyo miaka minane yote wakimtukana Lowasa kuwa ndo katufikisha hapa, je na ww pia hukuwepo hapa Duniani kusikiliza hayo yaliyosemwa na chadema? au walikuwa wana walaghai watz ili waweze kupata kura mwaka huu, na hizo nondo ambazo walikuwa wameziandaa kwa ajili yake Lowasa endapo angechaguliwa na ccm ilikuwa ni richmond, leo kuhamia chadema luga imebadilika acheni ujinga huo, na hii ndo inafanya tunakuwa na mashaka sana na chadema na wenzao.
 
Hivi kuna MtanZania ambaye anaweza kubadilisha uamuzi wake wa kuchagua chama fulani kwa sababu Kingunge ameamua kukiunga au kutokukiunga mkono chama fulani?

Hivi Wananchi wa Mikoa ya Mz, Shy, Kagera, Kigoma, Mb, Ir hata wanajua Kingunge ni nani?

Hatumjui, baadhi yetu wanadhani ni traditional herbs!
 
Wananchi wa mikoa uliotaja wanaweza kuwa hawamjui Mzee Kingunge, lakini wana CCM wa kweli ambao ni sehemu ya wananchi wanafahamu Kingunge ni nani.

Jina hili la Kingunge ni maarufu hadi Kenya kwa watu wa kawaida sana. Kingunge ni kingunge kweli kweli!
 
Omba radhi kwa wakazi wa hiyo mikoa uliyoitaja haraka iwezekanavyo. Pumbafu kabisa, sasa kwa taarifa yako hiyo mikoa hawajui nini maana ya mgao wewe unalia ata mkutano wa kingunge hukuuona kwa kukosa umeme wenzako umeme full 24hrs nyau wewe

Heshimu mawazo ya wenzako upate kuheshimika maana akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Hata mimi pia nimeichoka CCM na ninataka Mabadiliko lkn nataka mabadilko ya UKWELI na siyo wale wale waliokuwa CCM na waliosababisha hata matatizo yote tuliyonayo leo hii waende upande wa Pili tena baada ya kukataliwa na CCM ndiyo waseme wataleta mabadililo!

Leo hii hakuna Umeme kwa sababu fisadi Lowasa na Genge lake wameifilisi Tanesco na mpaka leo hii tunawalipa mafisadi mabilioni ya shilingi kwa mwezi halafu hao hao wanaolipwa haya mabilioni wanakuja kukwambia uwachague ili wakuondolee Umaskini kama siyo ujuha ni kitu gani?

Kama nakumbuka vizuri mkataba wa Richmond/Dowans ulikua ni wa miaka 2 tu. Lowassa kaondoka mwaka February 2008 na December mkataba huo ungekua ume expire, kwakua "mwenye Richmond" alikua kaondoka then ilikua rahisi tu kuiondoa Richmond/Dowans kwenye mfumo wa Tanesco hiyo December cause mwenye nayo alikua hana influence tena hata kwenye vikao either vya cabinet au hata bungeni, cha ajabu Richmond imeendelea kuwepo hata sasa kwa jina jipya kabisa la Symbion. Bado kuna mtu anaejiita makini anaweza kusema Lowassa ndio Mr. Richmond!? Nitakua na wasiwasi sana na uwezo wa mtu huyo wa kufikiri kwake. Mr Richmond bado yupo ma nadhani bado ana madaraka makubwa tu, soon tutamjua.
 
Back
Top Bottom