Muhimu: Kingunge, Nape na Kikwete

Muhimu: Kingunge, Nape na Kikwete

Hivi kuna MtanZania ambaye anaweza kubadilisha uamuzi wake wa kuchagua chama fulani kwa sababu Kingunge ameamua kukiunga au kutokukiunga mkono chama fulani?

Hivi Wananchi wa Mikoa ya Mz, Shy, Kagera, Kigoma, Mb, Ir hata wanajua Kingunge ni nani?

Omba radhi kwa wakazi wa hiyo mikoa uliyoitaja haraka iwezekanavyo. Pumbafu kabisa, sasa kwa taarifa yako hiyo mikoa hawajui nini maana ya mgao wewe unalia ata mkutano wa kingunge hukuuona kwa kukosa umeme wenzako umeme full 24hrs nyau wewe
 
Hivi kuna MtanZania ambaye anaweza kubadilisha uamuzi wake wa kuchagua chama fulani kwa sababu Kingunge ameamua kukiunga au kutokukiunga mkono chama fulani?

Hivi Wananchi wa Mikoa ya Mz, Shy, Kagera, Kigoma, Mb, Ir hata wanajua Kingunge ni nani?

Kingunge ametoa mchango wa kutosha CCM isipokuwa lazima akubali kuwa 'HANA PUMZI YA KUBEBA KITABU CHA ZAMA MPYA!'
NB: BAADA YA HOTUBA YAKE KWA VYOMBO VYA HABARI TUMEJIONEA JINSI AMBAVYO 'ABSOLUTE POWER HAS CORRUPTED KINGUNGE ABSOLUTELY!' MAANA HATA KAMA MCHAKATO WA CCM HAUKUWA 'PERFECT' LAKINI, JE, HAWEZI HATA KUKUBALI KWAMBA MATOKEO YA MCHAKATO HUO NI KUTUPATIA RAIS MTARAJIWA BORA SANA KULIKO YULE ALIYEKUWA ANAMUUNGA MKONO YEYE? YAANI ANATAKA KUTULAZIMISHA WOTE TUMEZE SHUBIRI ALIYOMEZA YEYE AKISHUSHIA NA KASHATA TAMUTAMU!!!??
 
Na hapo ndipo ukawa mnapochemka kama alivyo Kiongozi wenu fisadi Lowasa mmepoteza uhalisia na hamjui nini kinaendelea!
Hivi ni asilimia ngapi ya Watz wanaweza kuangalia TV na kujua nini kinaendelea? kwa kukusaidia tu, wenye Umeme TZ nzima ni asilimia 14% tu na hiyo ni pamoja na wakazi wa Dar!

Mh! kazi ipo
 
Hapo sasa ndio umekubali ccm haijafanya kitu na inatakiwa kupumzishwa. Kwanini wenye umeme wawe 14% tu????why wasiwe kwenye 70%

Kuvuta umeme hela huna alaf unalaumu CCM shukuru imeleta REA, na gesi ndo imeanza kuwekwa ready kutoa umeme wa kutosha,unafuu unakuja HAPA KAZI TU!
 
Hivi kuna MtanZania ambaye anaweza kubadilisha uamuzi wake wa kuchagua chama fulani kwa sababu Kingunge ameamua kukiunga au kutokukiunga mkono chama fulani?

Hivi Wananchi wa Mikoa ya Mz, Shy, Kagera, Kigoma, Mb, Ir hata wanajua Kingunge ni nani?

Je wanamfahamu Nyerere kama nani?..Kingunge ndio baba wa Taifa aliyebakia!!
 
Na hapo ndipo ukawa mnapochemka kama alivyo Kiongozi wenu fisadi Lowasa mmepoteza uhalisia na hamjui nini kinaendelea!
Hivi ni asilimia ngapi ya Watz wanaweza kuangalia TV na kujua nini kinaendelea? kwa kukusaidia tu, wenye Umeme TZ nzima ni asilimia 14% tu na hiyo ni pamoja na wakazi wa Dar!
Hizo point ulizozisema hapo juu ndizo zinawafanya watanzania wengi wakikatae chama tawala. Watanzania wa sasa sio mbumbu kama unavyofikiria. Maana umewakumbusha mlivyowakosesha.
 
Na hapo ndipo ukawa mnapochemka kama alivyo Kiongozi wenu fisadi Lowasa mmepoteza uhalisia na hamjui nini kinaendelea!
Hivi ni asilimia ngapi ya Watz wanaweza kuangalia TV na kujua nini kinaendelea? kwa kukusaidia tu, wenye Umeme TZ nzima ni asilimia 14% tu na hiyo ni pamoja na wakazi wa Dar!

Kama 14% ya watz ndo wanatumia umeme, kwaio chama tawala hakijafanya kitu na mgombea wake anajisumbua bure kuwa live star tv kwenye kampeni zake. Maana asilimia kubwa ya watz wapo gizani.
 
Hivi kuna MtanZania ambaye anaweza kubadilisha uamuzi wake wa kuchagua chama fulani kwa sababu Kingunge ameamua kukiunga au kutokukiunga mkono chama fulani?

Hivi Wananchi wa Mikoa ya Mz, Shy, Kagera, Kigoma, Mb, Ir hata wanajua Kingunge ni nani?
shule za kata shidaa
hapa wanazungumzia pigo kwa chama co watanzania!
 
Anhaaa.
Kumbe ndo Kingunge aliyetuchagulia Jakaya.
Na majanga yote anayolalamikiwa Jakaya (haswa na vilizi wa Ukawa) kumbe Kingunge ndo katuletea eeh.
Na Mkapa angeendelea na msimamo wake basi haya ya Kingunge na Jakaya wake yasingetupata eeh.
Asante sana kwa mwanga huo.

Kwa hiyo sasa, baada ya kutuletea Jakaya miaka 10 sasa anataka kutuletea tena Lowassa.
Kingunge huyu huyu?

Na hujakoma tu?
Sijui umelogwa?
Sijui umekula maharage ya mshenga?
Sijui kimekupata nini mpaka ukajichanganya na kuchanganyikiwa kiasi hiki!!!
 
Kwa hiyo katika mawazo yako hiyo mikoa hawamjui kingunge!!!???? Hizi TV, smartphone,magazeti,radio,wasimjue kingunge!!! Una dharau sana. Nina wasiwasi sana na ufahamu wako mkuu.

Usiwe na wasi Mr. Craig.
Huyu Kingunge aliyetuletea JK anayelalamikiwa jukwaa zima.
Basi mbebeni tu.
 
Na hapo ndipo ukawa mnapochemka kama alivyo Kiongozi wenu fisadi Lowasa mmepoteza uhalisia na hamjui nini kinaendelea!
Hivi ni asilimia ngapi ya Watz wanaweza kuangalia TV na kujua nini kinaendelea? kwa kukusaidia tu, wenye Umeme TZ nzima ni asilimia 14% tu na hiyo ni pamoja na wakazi wa Dar!

Ndugu yangu umekwisha! Yaan mnafanya mambo mkidhani watz hawana access na habari! Hii umekosea mkuu! Piga ua, wewe ni miongoni mwa wanasisiem wanaoamini watz bado wako miaka ya 80!! Utakaa sana ukiamini kwamba watz wasiokuwa na umeme wa tanesco hawapati habari! Watu wana Solar power, umeme wao ni uhakika 24 hours..
 
Kuvuta umeme hela huna alaf unalaumu CCM shukuru imeleta REA, na gesi ndo imeanza kuwekwa ready kutoa umeme wa kutosha,unafuu unakuja HAPA KAZI TU!
kazi gani? Yakuuza viwanda makusudi ili mgombea wa ccm afanyie dili kujitangaza
 
Hivi kuna MtanZania ambaye anaweza kubadilisha uamuzi wake wa kuchagua chama fulani kwa sababu Kingunge ameamua kukiunga au kutokukiunga mkono chama fulani?

Hivi Wananchi wa Mikoa ya Mz, Shy, Kagera, Kigoma, Mb, Ir hata wanajua Kingunge ni nani?

Wanamjua Kingunge kuliko hata huyo Magufuli.
 
Anhaaa.
Kumbe ndo Kingunge aliyetuchagulia Jakaya.
Na majanga yote anayolalamikiwa Jakaya (haswa na vilizi wa Ukawa) kumbe Kingunge ndo katuletea eeh.
Na Mkapa angeendelea na msimamo wake basi haya ya Kingunge na Jakaya wake yasingetupata eeh.
Asante sana kwa mwanga huo.

Kwa hiyo sasa, baada ya kutuletea Jakaya miaka 10 sasa anataka kutuletea tena Lowassa.
Kingunge huyu huyu?

Na hujakoma tu?
Sijui umelogwa?
Sijui umekula maharage ya mshenga?
Sijui kimekupata nini mpaka ukajichanganya na kuchanganyikiwa kiasi hiki!!!
Mkuu naona kama umesahau kama JK ni mwenyekiti wa chama chetu.
 
Ya CCM yanakuhusu nini? Endelea kumsafisha fisadi Edo maana mwisho wake umekaribia na akiingia Magufuli ile Mahakama inamhusu!
 
Na hapo ndipo ukawa mnapochemka kama alivyo Kiongozi wenu fisadi Lowasa mmepoteza uhalisia na hamjui nini kinaendelea!
Hivi ni asilimia ngapi ya Watz wanaweza kuangalia TV na kujua nini kinaendelea? kwa kukusaidia tu, wenye Umeme TZ nzima ni asilimia 14% tu na hiyo ni pamoja na wakazi wa Dar!

Wewe endelea kujidanganya.
Watu tumeamka siku nyingi sana.
 
Yaani kuna watu akili zao sijui zikoje! hivi bado wanadhani kuna mtu anaweza kuchagua Ukawa eti kwa sababu kahamia Kingunge!!!!
Kura yangu ni kwa Makufuli tu, hata iwaje!!!

ila bilioni 10 kwa Slaa na Lipumba wahame UKAWA ndio ingefanya watu waichague CCM?
 
Back
Top Bottom