Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

Hata madaktari ni scientists pia, au kwa mujibu wa hadaa zao ushawatoa katika kundi la scientists na umewaweka katika kundi la "performance artists and actors"?

Wao wenyewe wanataka tuamini kwamba wao ni miungu watu.

Wakati katika innovation wanashindwa hata na kitoto cha high school Marekani.

Mimi ningeelewa hata kama wangekuwa hawana vipimo lakini wanaelewa kwamba wanahitaji vipimo (kama wewe uivyosema kwa kuonesha mwelekeo wa medicine).

Wao wanaonekana (kwa mujibu wa thread hii, at least huyu wa "special school") wanaonekana kubweteka kabisa katika hii medicine ya speculation, hata haja ya kuelewa umuhimu wa vipimo zaidi na ku create buzz na requirements kwa watu wengine kutafuta solutions hawawezi.

Wamebaki "hivi ndivyo tulivyofundishwa, sisi ndio madokta, nyinyi hamjui".

The whole approach is stagnant and lacks innovation!

Na wao wanaikubali tu, bila hata kusema "jamani mjue mnavyokuja hospitali magonjwa haya na haya hayana vipimo vya kuaminika, tunafanya habari ya pata potea, so inabidi tutafute vipimo vya kuaminika".

Hawako wazi, hata wasichokijua wanataka uamini wanakijua vizuri kabisa.

This dishonesty is so unethical and goes against the nobility they portray themselves to be a part of.

anyways am so sure lakin nafikiri approach pia ya elimu yetu kwa practitioners ni mbaya sana yaani zaid ya kum-feed in mtu na the possible available solutions haiwezi kucreate room for innovations and creativity.

nimepata bahati ya kuwa na scientist including Dr's kwenye baadhi ya mikutano wengi wao naona surgeon ndo kidogo wanapractice the science the rest asikwambie mtu wao wamegeuka kuwa watu wa social work. toka maswala ya HIV na PMTC yaingie basi umekuwa ndio mtaji wa madaktari, sas ahivi wanahangaika na GBV badala ya kufikiri ulimwengu wa sayansi unaendaje kitabibu. yani kazi zile za kufanywa na ma sociologist ndizo wanazo fanya madaktari wetu wengi hasa AMO NA MD.

Kwasasa sayansi naona inafanywa zaidi na chemist, physicist na biologist kwa hapa kwetu. sijui ni uvivu ama uoga wa kujaribu sielewi. Lakini pia labda serikali haijaona kama nalo hili ni tatizo ambalo inabidi liwe addressed kwa mapana yake.

nilikuwa mkoani DODOMA na nikawauliza baadhi ya madaktari hivi wanajua ile malaria rapid test inafanyaje kazi hawana majibu wanachojua ni kwamba unaweka tu damu ukiweka na reagent basi unapata jibu la kimstari nilijichokea kabisa........ kwani niliona eti ingepaswa wawe equiped na knowledge behind its mechanism of action. sasa hapo ukija ukimwambia cuppling antgen A in a chitosan nanoparticle unafikiri atakuelwa?? hili ndo tatizo
 
You hit the nail on the head once again.

Elimu yetu iko so hierarchical, so mechanical. Ndiyo maana mtu anajitamba "mimi ni daktari, mimi nimeenda special school" badala ya kujitamba "mimi nimevumbua hiki na kile"

Nakwambia mtu baki tu ukiwa na interest na medicine, ume subscribe "New England Journal of Medicine" "Science" na "Nature", unafuatilia haya mambo, unaweza kuwa more informed than hawa wapiga ramli wetu wanaochumia tumbo.

Hawa wapo katika survival mode. Na mtu aliye katika survival mode kamwe huwezi kumtegemea awe na ethics wala innovation.

Ukimuuliza sana atakukaripia, mimi daktari nimenda "special school", usiniulize sana!
 
nafikri sasa hata serikali na watendaji wake wanapaswa kuliangalia hili kw aupana zaid.
ila pia bwana huko kwenye mirafi ya GBV, HIV PMCT etc kuna hela sana sasa kuja kumwambia mtu afikiri juu tool fulan itakayommrahisishia kazi ni kama kumtia kisirani tu.

mimi huwaga naenda hosp nikiwa na well informed details za treatment ninayohitaj na kabisa huwa nashauriana na Dr kwa namna nitakavyo mimi swala la kusema nampa dalili yeye aandakie clinical observation na chini akwambie kapime damu sijui mkojo kwangu hapana.
 
Sasa afadhali wewe unajua haya mambo.

Hebu fikiria anaenda hapo kibabubabu au kibibi bibi kisicho mafuta ya pesa wala influence ya jina.

Weee, ndo wanaweza kukifanya organ donor hivihivi wakauze Uchina huko /s.
 
Tuko usibishane na mtu hasa asiyejua vitu.
duniani kote explorative laparatomy inaruhusiwa na hufanywa na hii ni diagnostic procedure ambayo haihusiani kabisa na treatment. sasa mm vitu kama hivi kumwelewesha mtu ambaye ni empty slut huwaga naona ni kupoteza muda wangu tuu na hivy huamua kuacha kama ilivyo.

Unajua hawa watu wanadhani kwamba sisi tunatetea uzembe wa baadhi ya madaktari... NO. Yes mi najua kuna baadhi ya madakatari wanafanya unnecessary blanders somtyms, but kwa kesi kama hii ya kwenda kumpa daktari taariza za uongo ukitarajia matibabu sahihi... NO WAY... naona ni upuuzi tu and high level of ignorance..
 
Ulivyomkubalia gfsonwin ulielewa amemaanisha nini?

Au ulikuwa unakubali kwa juhudi zote tu bila kuelewa alichoandika maana yake ni nini?

Ndivyo special schools zilivyokufundisha hivyo, kukubali vitu bila kuvielewa?

Mamito kakwambia, in not so many words kwamba mnavyofanya ni practices za centuries zilizopita, si century hii. Pretty much what I have been saying.

Unauliza speculation maana yake nini? Wewe umeenda special school na med school hujui speculation maana yake ni nini?

Hata kwenda Dictionary.com - Free Online English Dictionary kuangalia nako huwezi?
...tatizo ni una ujuaji wa kishamba hivi..eti mamito....swali langu hujaelewa ...?
 
You hit the nail on the head once again.

Elimu yetu iko so hierarchical, so mechanical. Ndiyo maana mtu anajitamba "mimi ni daktari, mimi nimeenda special school" badala ya kujitamba "mimi nimevumbua hiki na kile"

Nakwambia mtu baki tu ukiwa na interest na medicine, ume subscribe "New England Journal of Medicine" "Science" na "Nature", unafuatilia haya mambo, unaweza kuwa more informed than hawa wapiga ramli wetu wanaochumia tumbo.

Hawa wapo katika survival mode. Na mtu aliye katika survival mode kamwe huwezi kumtegemea awe na ethics wala innovation.

Ukimuuliza sana atakukaripia, mimi daktari nimenda "special school", usiniulize sana!
Hiyo special school mbona inakusumbua sana....tatizo ni nini..? kwenda special school ni ajabu sana...eehe
 
Tobaaaaaaaaaaa afya zetu ziko mashakani ndio maana vigogo wakiugua tu kidogo wanaenda apolo kutibiwa mafua.
 
Unakwepa kujibu swali.

Daktari anatakiwa kumpasua mtu kwa speculation?

Nimekuwa nikijibu swali lako tangia post yangu ya kwanza katika uzi huu.Kupasua siyo kwa ajili ya kutibu tu.Kuna diagnostic surgeries pia kama nilivyoeleza kwa kirefu kwenye post zangu za mwanzo.
 
Mkuu vipi kuhusu ile case ya Mgonjwa aliyepaswa kupasuliwa kichwa akapasuliwa mguu na yule wa mguu akapasuliwa kichwa au ndio alikuwa anafanyiwa laparatomy?Maana inasemekana kwamba ile CASE ndio ya kwanza kutokea tangu Dunia iumbwe na sehemu yenyewe hii CASE ilikotokea ni Tanzania,THE LAND OF WONDERS-Where STUDENTS passed to join Secondary Schools with inability to read and write;Where the Head of that Land doesn't know why his people are poor;Where the Head's Assistants sign PACTS without the knowledge of what those PACTS entail.That's Tanzania we all know today.

Najadili mwandishi aliyejifanya mgonjwa.Hiyo case nyingine ingependeza kama ungeianzishia uzi wake,ili tusichanganye mambo mengi kwa wakati mmoja
 
Nimekuwa nikijibu swali lako tangia post yangu ya kwanza katika uzi huu.Kupasua siyo kwa ajili ya kutibu tu.Kuna diagnostic surgeries pia kama nilivyoeleza kwa kirefu kwenye post zangu za mwanzo.

Hujajibu swali bado.

Huyu mtu kaenda med school na ni daktari, swali analoulizwa A, analojibu B!
 
mhhh
ndugu yangu Kiranga, mambo ya special school yanakujaje ten hapa?

looks like una grudge fulani na madaktari and lawyers kwani kw mjibu wako umesema wanajiona wanajua the whole world kumbe hawajui kitu.

sasa thread isije ikawa ni nafasi yako kuwananga hao wanaoitwa 'tabibu, madaktari' nk kwa sababu naona kama unaenda nje ya mada

back to the topic japo I declare interest, naona madaktaro wote walikuwa sahihi kiasi fulani. Errors zilizojitokeza ni changamoto ambazo ni multifactorial unaotokana na mfumo wetu wa tiba, mfumo wa elimu etc

all in all ndugu Kiranga punguza hatred ya waziwazi kabisa towards hao wanaoitwa madaktari na lawyers

sihitaji ligi lakini kama una maswali I will humbly take them. Karibu
 
Last edited by a moderator:
nadhani mwandishi alikuwa na wazo zuri tu. kufichua maovu ni jambo jema. Lakini ninashauri mwandishi awe na elimu katika jambo analotaka kuliandikia. kwa nchi zilizoendelea kuna waandishi wenye taaluma ya sheria, waandishi madaktari, waandishi wanamichezo n.k .Hata ukimsikia anamhoji mtu utasikia anauliza maswali yanayojenga. Na ukisoma habari yake unapata kuelimika. Inaweza kuwa ngumu kufanya hivyo lakini basi angalau amshirikishe mtu mwenye uelewa juu ya tasnia anayoiandikia. Hii itaepusha kujenga chuki zisizo na sababu. Pia ninaelewa kwamba mfumo wetu wa afya una mapungufu mengi. Kwa hiyo hakuna utaratibu mzuri wa kuwachunguza na kuwawajibisha watumishi wake in case of malpractice. Lakini tusisahau mazingira duni ya kufundishia(medical school) na ya kufanyia kazi(hospitals). KUHUSU APPENDICITIs: kwa asilimia kubwa unaitambua(diagnosis) kutokana na maelezo(history frm the patient) na kumpima mgonjwa kwa mkono(physical examination). wakati mwingine unaweza kufanya imaging(ultrasound) ambayo pia siyo conclusive. ct scan ya muhimbili inafanya kazi siku hiizi? hospitali zenye ct scan ni chache sana. ya kcmc mbovu miaka sasa. sjui ya bugando ikoje. wananchi wangapi wanaweza kutibiwa aga khan?. Explorative laparotomy(kumpasua mgonjwa ili kujua ugonjwa) wakati mwingine ndiyo njia pekee hasa kama unajua kwa hakika kwamba kuna ugonjwa lakini vipimo havikupatii majibu kuwa ni ugonwa gani. ONe LoVe watanzania
 
Special schools kama products zake ndiyo watu mechanical kama wewe lazima inisumbue sana tu.
.....haya we endelea na ujuaji wako mwingii wa ki-google google ukajiona unajua profession za watu ambao wakalisha ------ chini na kusoma mda mrefu.....unabaki ku-google na kuangalia kwenye tv na kulinganisha bongo na us....watu ambao wali-shut government down kwa sababu ya hot discussion kuhusu health(obamacare)......unalinganisha na bongo .....endelea hivyo huku unajiona mjuajii kumbe hamna kitu...
 
nadhani mwandishi alikuwa na wazo zuri tu. kufichua maovu ni jambo jema. Lakini ninashauri mwandishi awe na elimu katika jambo analotaka kuliandikia. kwa nchi zilizoendelea kuna waandishi wenye taaluma ya sheria, waandishi madaktari, waandishi wanamichezo n.k .Hata ukimsikia anamhoji mtu utasikia anauliza maswali yanayojenga. Na ukisoma habari yake unapata kuelimika. Inaweza kuwa ngumu kufanya hivyo lakini basi angalau amshirikishe mtu mwenye uelewa juu ya tasnia anayoiandikia. Hii itaepusha kujenga chuki zisizo na sababu. Pia ninaelewa kwamba mfumo wetu wa afya una mapungufu mengi. Kwa hiyo hakuna utaratibu mzuri wa kuwachunguza na kuwawajibisha watumishi wake in case of malpractice. Lakini tusisahau mazingira duni ya kufundishia(medical school). na ya kufanyia kazi(hospitals). KUHUSU APPENDICITIs: kwa asilimia kubwa unaitambua(diagnosis) kutokana na maelezo(history frm the patient) na kumpima mgonjwa kwa mkono(physical examination). wakati mwingine unaweza kufanya imaging(ultrasound) ambayo pia siyo conclusive. ct scan ya muhimbili inafanya kazi siku hiizi? hospitali zenye ct scan ni chache. Explorative laparotomy(kumpasua mgonjwa ili kujua ugonjwa) wakati mwingine ndiyo njia pekee hasa kama unajua kwa hakika kwamba kuna ugonjwa lakini vipimo havikupatii majibu kuwa ni ugonwa gani. ONe LoVe watanzania
....Mimi nimeisoma hiyo habari fichua maovu.....lengo la mwandishi ilikua ni kufichua ovu lipi(maana huku kwetu kwenye afya kusema ukweli yapo mengi kutokana na mazingira)......yeye ku-mimic features za acute abdomen alitaka kuonesha kwamba madr hawajui wanachofanya pale MNH, kuonesha hamna vifaa-ct scan, kujua gharama za upasuaji, kujua mambo ya rushwa......maana study lazima iwe na main objective.....au huko kwenye habari inakuaje...?
 
mhhh
ndugu yangu Kiranga, mambo ya special school yanakujaje ten hapa?

looks like una grudge fulani na madaktari and lawyers kwani kw mjibu wako umesema wanajiona wanajua the whole world kumbe hawajui kitu.

sasa thread isije ikawa ni nafasi yako kuwananga hao wanaoitwa 'tabibu, madaktari' nk kwa sababu naona kama unaenda nje ya mada

back to the topic japo I declare interest, naona madaktaro wote walikuwa sahihi kiasi fulani. Errors zilizojitokeza ni changamoto ambazo ni multifactorial unaotokana na mfumo wetu wa tiba, mfumo wa elimu etc

all in all ndugu Kiranga punguza hatred ya waziwazi kabisa towards hao wanaoitwa madaktari na lawyers

sihitaji ligi lakini kama una maswali I will humbly take them. Karibu
....naona na wewe umeligundua hilo....if u cant be lawyer or dr or any body else....lazima uta kuawa unafanya na mtu Fulani....kuliko kuhate wengine.....all u can do ni kufanya hicho cha kwako the best u can....
 
Na bado mtaona mengi.madaktari waligoma ili waongezewe mishahara mkawang'oa kucha na meno.sasa wameamua kuwa wajasiriamali.haya mambo wa kutupiwa lawama ni serikali kwa kushindwa kutoa huduma sahihi ya afya kwa walipa kodi wa tanzania na badala yake viongozi wa serikali wameishia kuiba mali za umma na kudanganya wananchi kisanii sanii tu.
 
Back
Top Bottom