Muhimbili: Kweli mishahara mipya ni kiini macho.

Muhimbili: Kweli mishahara mipya ni kiini macho.

Tonge

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
695
Reaction score
12
NASHINDWA KUAMINI NCHI HII TUMEFIKIA KULIPANA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA SERIKALI KIMAFUNGU, MISHAHARA MIPYA INASEMEKANA WAMELIPWA BAADHI YA WATUMISHI KAMA WA TAMISEMI NA MAJESHI, NA WALE KAMA WA VYUO VIKUU NA MAHAKAMA HAWAJALIPWA.JANA NILIONA MUHIMBILI(TUGHE) WAKISEMA WATAGOMA AU KUWA NA MKUTANO UNAOHUSU MISHAHARA MIPYA AMBAYO HAWAJALIPWA HADI LEO.

TAFSIRI YANGU NDOGO NI KUWA HAWA WALIMU NDIO WASIMAMIZI WAKUU WA UPIGAJI KURA NA PIA WAPIGA KURA NAMBA MOJA NDIO MAANA WAMELIPA KWANZA, NA NDUGU ZETU WAJESHI NDIO WALINDA AMANI AU HATA NCHI NYINGINE KULAZIMIKA KUMLINDA RAIS ALIYE MADARAKANI KURUDI TENA MADARAKANI KIMAGUVU.

NAANZA KUPATA WASIWASI NA MCHAKACHUO HUU WA SALARIES KWA WATUMISHI WA UMMA, KWANI WENGINE HAWANA UMUHIMU ZAIDI YA HAYO MAKUNDI YALIYOLIPWA. MFANO WA WATUMISHI AMBAO SI MUHIMU NI WA AFYA, MAHAKAMA NA WA VYUO VIKUU. Mmmmmh kaaazi kweli kweli "TUUNGANE KUKOMESHA HILI KWA KUMACHAGUA RAIS ASIYE NA MAKUNDI YA WAFANYAKAZI".
 
Wewe wanena! na pakuwakamata ni hapahapa kabla ya uchaguzi!
 
Inashangaza kwakweli, mishara toka serikali moja, wengine wanaongezwa wengine ni third party!!!

Hii serikali ya kisanii inabidi ikae pembeni wajameni! Hata hailewi inacho kitenda kwa sasa, no vision, wanacho waza ni kuiba kura warudi madarakani kufuja mali za walala hoi bac! let us Vote them out by voting to Slaa
 
Back
Top Bottom