Muhimbili hospitali ya pili kwa Ukubwa Marekani

Ozzanne Issakwisa

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
288
239
Ingekuwa Marekani, Hospitali ya Taifa Muhimbili ingekuwa hospitali ya umma ya pili kwa ukubwa baada ya Jackson Memorial Hospital iliyopo Miami.

Jackson Memorial Hospital ina vitanda 1,724 wakati Muhimbili kwa sasa ina zaidi ya vitanda 1,620.
Hospitali ambayo ingekuwa ya tatu kwa ukubwa ni Memorial Hermann Southwest Hospital iliyopo Houston, yenye vitanda 1,157 yaani vitanda karibia 500 pungufu ya Muhimbili.

1. Jackson Memorial Hospital (Miami) — 1,724
2. Memorial Hermann Southwest Hospital (Houston) — 1,157
3. UAB Hospital (Birmingham, Ala.) — 1,138
4. Memorial Regional Hospital (Hollywood, Fla.) — 1,017
5. Ohio State University Wexner Medical Center (Columbus) — 976
6. Grady Memorial Hospital (Atlanta) — 931
7. Bellevue Hospital Center (New York City) — 912
8. Erie County Medical Center (Buffalo, N.Y.) — 910
9. University of Michigan Hospitals and Health Centers (Ann Arbor) — 893
10. Carolinas Medical Center (Charlotte, N.C.) — 872
11. Lee Memorial Hospital (Fort Myers, Fla.) — 853
12. Greenville (S.C.) Memorial Hospital — 842
13. Huntsville (Ala.) Hospital — 838
14. Ben Taub General Hospital (Houston) — 796
15. University of North Carolina Hospitals (Chapel Hill) — 788
16. Parkland Hospital (Dallas) — 778
17. MetroHealth Medical Center (Cleveland) — 737
18. VCU Medical Center (Richmond, Va.) — 730
19. Upstate University Hospital (Syracuse, N.Y.) — 715
20. New Hanover Regional Medical Center (Wilmington, N.C.) — 714
21. University Hospital of Brooklyn (N.Y.) — 709
22. University of Iowa Hospitals & Clinics (Iowa City) — 699
23. Los Angeles County and University of Southern California Medical Center (Los Angeles) — 674
24. Broward General Medical Center (Fort Lauderdale, Fla.) — 656
25. University of California San Francisco Medical Center at Parnassus — 650
26. Westchester Medical Center (Valhalla, N.Y.) — 643
27. Kings County Hospital Center (Brooklyn, N.Y.) — 634
28. Jackson-Madison County General Hospital (Jackson, Tenn.) — 633
29. The University of Texas M.D. Anderson Cancer Center (Houston) — 631
30. University of Mississippi Medical Center (Jackson) — 618
31. DCH Regional Medical Center (Tuscaloosa, Ala.) — 615
32. Sarasota (Fla.) Memorial Hospital — 597
33. The University of Kansas Hospital (Kansas City) — 590
34. University of California, San Diego Medical Center – Hillcrest (San Diego) — 589
35. Medical Center of Central Georgia (Macon, Ga.) — 586
36. Cape Fear Valley Medical Center (Fayetteville, N.C.) — 584
37. Medical Center of Daytona Beach (Fla.) — 582
38. Kaweah Delta Hospital (Visalia, Calif.) — 581
39. University of California Davis Medical Center (Sacramento) — 581
40. Stony Brook (N.Y.) University Medical Center — 578
41. WellStar Kennestone Hospital (Marietta, Ga.) — 572
42. University of New Mexico Hospital (Albuquerque, N.M.) — 557
43. Santa Clara Valley Medical Center (San Jose, Calif.) — 554
44. Elmhurst (N.Y.) Hospital Center — 545
45. Memorial Hospital Central (Colorado Springs) — 543
46. Erlanger Baroness (Chattanooga, Tenn.) — 540
47. John Peter Smith Hospital (Fort Worth, Texas) — 537*
48. Sharp Grossmont Hospital (La Mesa, Calif.) — 537
49. Nassau University Medical Center (East Meadow, N.Y.) — 530
50. Gwinnett Medical Center – Lawrenceville (Ga.) — 526

Source: 25 largest public hospitals in America | 2015
 
Kwa hiyo ukubwa wa hospitali unapimwa kwa wingi wa vitanda ?

Embu tuwekee picha ya mpangilio wa vitanda vya Muhimbili na Jackson Memorial tudhibishe..
 
Angalia dokta mmoja anahudumia watu wangapi kati ya marekani na tanzania, angalia huduma zitolewazo katika hizo hospitali kuanzia vifaa, dawa, uharaka wa huduma , operation kubwa na ndogo nk, angalia umbali kutoka hospital moja na nyingne kati ya tz na marekani, angalia je hospitali moja inahudumia watu wangapi kat ya marekani na tz, ukiwa na majibu hayo ndo uanze kufikiri kufananisha hospital za tz na USA
 
CT SCAN tu ipo moja muhimbili, je unajua memorial ct scan zpo ngap?? au kwa vitanda tu
 
U
Ingekuwa Marekani, Hospitali ya Taifa Muhimbili ingekuwa hospitali ya umma ya pili kwa ukubwa baada ya Jackson Memorial Hospital iliyopo Miami.

Jackson Memorial Hospital ina vitanda 1,724 wakati Muhimbili kwa sasa ina zaidi ya vitanda 1,620.
Hospitali ambayo ingekuwa ya tatu kwa ukubwa ni Memorial Hermann Southwest Hospital iliyopo Houston, yenye vitanda 1,157 yaani vitanda karibia 500 pungufu ya Muhimbili.
Ukubwa WA hasptali SI majengo Bali huduma
 
Kuna jambo moja muhimu sana linalokosekana kwenye vichwa vya watanzania...jambo hilo ni kukosa hulka ya kusifia mambo mazuri yalioko nchini na badala yake ni kuponda tu!!

Namfahamu mleta mada kama daktari mzuri sana na anayejaribu kufanya yale ambayo hayafanywi na watanzania wengi pengine kutokana na ukosefu wa lishe nzuri wakiwa wadogo.

Nakubaliana na mtoa mada kwamba Muhimbili ni taasisi kubwa na nzuri yenye kubadilika kila mwaka...kila la kheri Muhimbili chini ya Dr wa mifupa Prof Mseru!
 
Nilipoona ID yako sikutaka kuandika nilichotaka andika
 
Ingekuwa Marekani, Hospitali ya Taifa Muhimbili ingekuwa hospitali ya umma ya pili kwa ukubwa baada ya Jackson Memorial Hospital iliyopo Miami.

Jackson Memorial Hospital ina vitanda 1,724 wakati Muhimbili kwa sasa ina zaidi ya vitanda 1,620.
Hospitali ambayo ingekuwa ya tatu kwa ukubwa ni Memorial Hermann Southwest Hospital iliyopo Houston, yenye vitanda 1,157 yaani vitanda karibia 500 pungufu ya Muhimbili.
Sawa hivyo vitanda havitumiki kama muhimbili
 
iko hivi wenzetu huduma ya afya kwao ni jambo wanalochukulia very serious kwahiyo wamejaribu kuweka hospitali kiribu kila eneo

marekani kuna HOSPITALI 5,627 yaani katika kila jimbo tuchukulie kuna hospitali kama 100 hivi ... na hospitali unakuta inatoa kila kitu ...

kuanzia upimwaji wa kucha hadi nywele

wanafanya operation ya kila kitu hadi tezi dume yaani unakuta hospitali iko full nondo kama mie nakaa chicago nitatibiwa hospitali za chicago na nitapata huduma zote.. popote marekani sijui philadephia, washington, houston, michigan, denver

sio huku mtu anaumwa kigoma anapelekwa muhimbili eti kigoma hawawezi kumtibu

mtu kavunjika mfupa kahama anapelekwa muhimbili kwa wataalamu wa mifupa MOI marekani hakuna hiyo

kwa msingi huo basi hakuna hospitali kubwa ya kubeba watu wengi kwa sababu hakuna mlundikano wa wagonjwa kila mgonjwa anapata huduma katika hospitali iliyokuwa karibu anapoishi

tena huduma ya UHAKIKA
 
Huduma za uhakika na watu hawafi...na pia hakuna kesi za malpractise!
 
Back
Top Bottom