Pesa yote imeishia kwenye miaka 50 ya umasikini,ujinga na wizi. Hivi kwa nini hawakubali nchi imewashinda? At MUHIMBILI NATIONAL DISPENSARY ct scan, x ray, ogd na vipimo vingine vingi havifanya kazi. Two weeks ago mwaisela kulikuwa hakuna lasix. Fedha za kulipa wabunge,kunywa bia kwenye maadhimisho na kuunda tume zisizo na faida zipo,lakini pesa za kuboresha huduma hakuna. Ni sahihi wadanganyika tunastahili adhabu kwa kuendelea kuwakumbatia magamba,ila wajaribu hata kutuhudumia tukiugua! Hii nimeona mwenyewe!

katika suala la afya serikali yangu huwa si tetei.... wamejisahau mnoo
kura mmepiga wenyewe lakini.
wameona SAMUNGE ndo suluhisho kwa wananchi.
kwa viwango vyetu TZ hiyo dispensary hairuhusiwi kuwa hata na kitanda cha kulaza mgonjwa, ungesema MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL ungekuwa sahihi.
si naskia mna mkurugenzi mpya?Yote uliyosema ni ukweli mtupu, wao wanabahati wanaenda India kwa matibabu sisi ndo tutakufa hapa na National dispensary yetu! Hii ni aibu kwa taifa zima haiwezekani hospitali ya taifa CT scan, OGD,X ray unit ikawa haifanyi kazi wiki mbilli bila hata waziri wa afya kushtuka. Ni uzembe uliovuka mipaka na unaohitaji watu kuwajibika... ni miaka hamsina ya Ujinga Umaskini na maradhi........ Tumethubutu, tumeshindwa na tunazidi kudorora......
kwa viwango vyetu TZ hiyo dispensary hairuhusiwi kuwa hata na kitanda cha kulaza mgonjwa, ungesema MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL ungekuwa sahihi.
si naskia mna mkurugenzi mpya?
LOL

yuko sahihi ulitakiwa ufikiri kabla ya kukosoa,maana haipo kama jina lake lilivyo,na haifanyikazi kama unavyotaka wewe iitwe.