Sio umeme tu, hata maji hakuna. Me nina jamaa yangu kalazwa takribam 3days now. Hakuna maji na wagonjwa hawaruhusiwi kuingia vyooni. Amakweli ukistahajabu ya Musa..!

hili la MNH kukosa umeme na generator kukosa mafuta au kuwa mbovu ni suala la menejimenti ya hapo MNH. ukweli wa nini kinachoendelea tuwadai wao na mamlaka za juu tuzidai hukumu ya wahusika wa kadhia hii na sisi hapa jamvini tusiwe wepesi wa ulalamishi. tushauri pasipo na jazba.
hayo ndiyo mazingira halisi ya hospitali za kitanzaniaNdo natoka hapa muhimbili kumwona mgojwa huwezi kuamini hakuna umeme,
na generator yao ni mbovu, sijui inakuwaje ndo maana wanaenda India!
hii nchi watu wanaofikilia ni wachache sana inakuwaje umeme unakatwa na generator haifanyi kazi
tena sehemu muhimu kama hii ni bora ungekatika ikulu,

Ndo natoka hapa muhimbili kumwona mgojwa huwezi kuamini hakuna umeme,

na generator yao ni mbovu, sijui inakuwaje ndo maana wakinamwandosya wanaenda India!

hii nchi watu wanaofikilia ni wachache sana inakuwaje umeme unakatwa na generator haifanyi kazi

tena sehemu muhimu kama hii ni bora ungekatika ikulu,

wewe kwa nini unasikitishwa na muhimbili tuu?? vipi hospitali za mikoa, wilaya, vituo vya afya vya kata, dispensary za vijiji????????? au unafikiri binadamu wanaishi dar es salaam peke yake? CCM na M kwere wao ni maafa ya taifa siyo ya muhimbili peke yake