Muhasibu Bukoba

Allency

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
15,917
Reaction score
15,679
Habari wana jamvi.
Anahitajika Muhasibu aliyetayari kufanyia kazi Bukoba. Fresh graduate itapendeza hasa akiwa wa kike. Kwa maelezo zaidi aje pm
 
Je unahitaji awe na elimu ya uhasibu au awe just graduate tu ?

Je ni lazima awe na degree au kama ana uzoefu wa hayo mambo unaweza kumpa kipaumbele ?

Nauliza kwa niaba ila vijana wapo wahitaji
 
Siyo lazima, ila kipaumbele awe anaishi Bukoba au yuko tayari kwenda Bukoba, ambaye anajua kutumia any Accounting software atapewa kipaumbele zaidi
 
Sawa kabisa nimekuelewa
 
Habari wana jamvi.
Anahitajika Muhasibu aliyetayari kufanyia kazi Bukoba. Fresh graduate itapendeza hasa akiwa wa kike. Kwa maelezo zaidi aje pm
Kwa sisi wa kiume vp kwn nami nahtaj hyo nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…