( MUHAS ) NEW PROPOSED BUILDING.

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,106
8,044
The upcoming Muhimbili University of Health and Allied Sciences Centre building at Mloganzila new campus in Dar es salaam.
 
Attachments

  • 1454246596039.jpg
    1454246596039.jpg
    39.2 KB · Views: 67
The upcoming Muhimbili University of Health and Allied Sciences Centre building at Mloganzila new campus in Dar es salaam.

Asante JK, pamoja na udhaifu wako mkubwa sana lakini kwa haya machache mazuri tutakukumbuka kwa kiasi fulani, nayo ni Mloganzia Hospital, JK Heart Institute, Dodoma University, barabara TZ yote, Kigamboni daraja, Bandari ya kisasa ya Bagamoyo mara 20 ya Mombasa, Miundo mbinu ya gesi pamoja na bomba kubwa la gesi, Reli ya standard gauge inayoendelea, Upanuzi wa bandari ya Dar, Uwekezaji kusini ikiwepo Ndangote, nchi salama jeshi la kisasa zaidi, democrasia na uhuru zaidi wa vyama vingi kufikia kukutukana wewe, shule za kata TZ yote, kasi ya uwekaji umeme vijijini kwa kupitia REA, Miradi mikubwa ya maji Dar itakayokamilika Dar ya Ruvu na Bagamoyo itakayoifanya Dar shida ya maji kuwa ni historia nk. Ila umetuangusha sana juu ya udhaifu wako katika kukusanya mapato ya serikali ukiwaacha wafanyabiashara wakubwa wakikwepa kulipa kodi, udhaifu wako katika kushughulikia wizi, rushwa na ufisadi wa njenje wenye ushahidi kama KAGODA, EPA, ESCROW na nyinginezo. Si siri kuwa miundombinu ya uchumi uliyoiacha imekamilika na iliyopo kwenye pipeline inamfanya Magufuli awe kifua mbele.
 
Lisije tu likawa kama yale ya chuo kikuu hata hajayakabidhiwa yameshaanza nyufa na kuvuja
 
Miradi mingi ni mkopo toka mashirika mbalimbali.
 
Back
Top Bottom