Muhammad sio mzao wa Ishamael

Ukizaliwa na mkurya, wewe mtoto utakuwa mchaga?
Kwahiyo Yesu alikuwa ni Myahudi wa Kabila sio ? Ushahidi wa hilo tunaupata wapi ?

Lini Uyahudi lilitambulika kama Kabila ? Yakubu alikuwa Kabila gani ?
 
Kwahiyo Yesu alikuwa ni Myahudi wa Kabila sio ? Ushahidi wa hilo tunaupata wapi ?

Lini Uyahudi lilitambulika kama Kabila ? Yakubu alikuwa Kabila gani ?
Simjui Yakubu
 
Kuna mkristo yoyote ambaye haujui kuwa Ishmael na vizazi vyake wameishi Saudi Arabia?

Mbona maandiko ya Bibilia na ramani zake zinaonyesha kuwa Ishmael na vizazi vyake waliishi Saudi Arabia

Katika hivi Bibilia vyenu vilivyowekwa misalaba hizi ramani hazipo

Lakini katika Bibilia ya King James version ya 1956 pamoja na Bibilia za mitandaoni hizi ramani zipo
 

Attachments

  • Screenshot_20250507-083201.jpg
    319.1 KB · Views: 21
Huu mkeka ulioandika shit of pit ungetumia mda wako kupmbana na changamoto za nchi yako
 
Mleta hoja umeandika blahblah nyingi mno bila kuweka wazi ni uzao wa nani
Hii inathibitisha kuwa bado anabakia ktk uzao wa Ishmael.
Ila nikuulize, kwani kuna ubaya gani kuwa ktk uzao wa Ishmael? mbona ni uzao wa baraka kubwa pia?
 
Umesoma kweli ama unakuja kama umevimbiwa makande
 
Basha wako amekuacha naona kama mwanake ambae anakaribia period ww kama upo na iman na ukristo andika yanayokuhusu, ama endelea kuwa shoga
Nikiona povu kama hili ,bas naamini UJUMBE umefika hivo niongeze dawa zaidi
 
Ujuzi wa nasaba ya mtume si katika mambo ya ibada, ni katika mambo ya historia ndiyo maana alikataza nasaba yake isilazimishwe mpaka kwa Ismail, iishie kwa Adnan kwani hakuna silsila madhubuti iliyorekodiwa kutoka kwa Adnan mpaka kwa Ismail, siyo kwamba hatokani na Ismail lakini hakuna rekodi madhubuti iliyorekodiwa katika hilo. na kwa jinsi teknolojia ilivyofika watu wanaweza kupima vinasaba kwa kutumia DNA.
 
Kwa Akili ya kawaida kabisa, Uislam unapinga na kuwalaani vikali wayahudi ambapo Ibrahimu na ukoo wake umetokea. Litakuwa jambo la ajabu mnoo kumuhususha Muhamad na nasaba za koo za kiyahudi.
Waisilamu wapi wanaopinga na Kulaani Uyahudi? Kwenye Usilamu wote wakristo na Wayahudi ni watu wa kitabu wana role zao hata kwenye Serikali za kiisilamu wanapewa vye vikubwa vikubwa.

Ukikuta Aya ama statement inayo ongea kuhusu Uyahudi ina context yake soma.
 
Acha uongo, kwanini Saudia Arabia au nchi nyingi za kiislamu ,wakristo wanauliwa,nchi nyingine hawaruhusu hata kujenga kanisa ,wala kuuza biblia
 
Mkuu je Kristo Yesu ni uzao
Wa kabila la Yuda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…