Muhammad sio mzao wa Ishamael

Kwa Akili ya kawaida kabisa, Uislam unapinga na kuwalaani vikali wayahudi ambapo Ibrahimu na ukoo wake umetokea. Litakuwa jambo la ajabu mnoo kumuhususha Muhamad na nasaba za koo za kiyahudi.
sasa kama hao wayahudi waliwapinga na kuwauwa mitume yao.kwanini wasilaaniwe?hao si ndo walimuita yesu mtoto wa zinaa?
 
bado nina FICHUA UONGO WAKO🤣🤣🤣🤣.
 

Attachments

  • Screenshot_20250506-063747.png
    98.7 KB · Views: 28
  • Screenshot_20250506-063819.png
    91.3 KB · Views: 26
  • Screenshot_20250506-063843.png
    97.6 KB · Views: 23
Upo sahihi kabisa nasaba ya Yesu ndio ipo sahihi kuliko wengine.
Mamake mke wa Yusufu kazaliwa katika zizi la ng'ombe yusufu akiwa seremala lakini baadae historia ikathibitisha kuwa Yesu ni mwana wa Mungu.

Mtoto wa Mungu aliekuja kuwakomboa wanadamu kisha wanadamu wakamuua.
 
Awe au asiwe, inatusaidia. nini?
 
Tukisema shule ni muhimu ,na uislamu umejengwa kwa propaganda mnatuona tuna chuki

Kutoka Ishamael had Muhammad ni miaka zaidi ya 3000

Wewe unaendeleza propaganda za hiyo family tree ya vizazi 25 tu,

Huoni hata aibu ?

Muhammad mwenyewe alikataa ,
🤣🤣🤣yani wewe ndo unaonesha elimu hunaaa.kwa koment yako hii.
 
bado nina FICHUA UONGO WAKO🤣🤣🤣🤣.
KWAHIYO MUDI NI MUONGO ILA NYIE WAHUNI NDIO WAKWELI?

Imepokelewa katika Sahih al-Bukhari (Hadith ya Ibn Abbas):

"Al-nāsu ilā Adnān mabtūrūn."
(Watu wote wana nasaba zao zinazofikia Adnan, kisha mambo yanakatika hapo.)
— Al-Bukhari, Kitabu cha Maghazi.



Na pia:

"Kada kathaba al-nās fī nasabi, famā fawqa Adnān lā yasihhu shay’."
(Watu wamekosea sana katika kunukuu nasaba yangu. Hakuna kilicho sahihi juu ya Adnan.)
 
🤣🤣🤣yani wewe ndo unaonesha elimu hunaaa.kwa koment yako hii.
Kwamba mudi alikuwa muongo?

Kauli ya Mtume Muhammad Kuhusu Nasaba:

Imepokelewa katika Sahih al-Bukhari (Hadith ya Ibn Abbas):

"Al-nāsu ilā Adnān mabtūrūn."
(Watu wote wana nasaba zao zinazofikia Adnan, kisha mambo yanakatika hapo.)
— Al-Bukhari, Kitabu cha Maghazi.



Na pia:

"Kada kathaba al-nās fī nasabi, famā fawqa Adnān lā yasihhu shay’."
(Watu wamekosea sana katika kunukuu nasaba yangu. Hakuna kilicho sahihi juu ya Adnan.)
 
kwa hyo unataka zisapoti matope yako🤣🤣.
achana na uislam hauuwezi.wenzio wengi walijaribu ukawatoa jasho
Wewe ni tapeli

Ibn Hazm (mtaalamu wa historia na nasaba):

Katika Jamharat Ansab al-Arab, alisema:

"Kila mtu anayejidai kujua vizazi vya kati ya Adnan na Ismail basi huyo anazua mambo yasiyothibitika. Hakuna hadith sahihi au sanad imara juu ya hilo."
 
adnan baba yake nani?
 
🤣🤣🤣yani wewe ndo unaonesha elimu hunaaa.kwa koment yako hii.
Kijana kaa usome dini yako ,usimezeshwe uongo na masheikh Hawa wahuni ,

Imam Malik bin Anas alisema:

"Yeyote atakayejitahidi kuunganisha nasaba yake hadi kwa Adam basi huyo ni mwongo."
(Imepokewa na Ibn Sa’d na wengine)
 
bado nina FICHUA UONGO WAKO🤣🤣🤣🤣.
Ujue nyie jamaa karne hii mtaumbuka sana

Kwanini mnakubali kumezeshwa propaganda bila Kuhoji?

Kauli ya Ibn Hajar al-Asqalani (Mjuzi wa Hadith):

Katika Fath al-Bari, akielezea hadith ya Bukhari juu ya nasaba ya Mtume:

"Wanazuoni wamekubaliana kwamba ukoo wa Mtume hadi Adnan ni sahihi, lakini hawakubaliani juu ya vizazi kutoka Adnan hadi Ismail, na hakuna ushahidi wa kuaminika (marfu') kwa hilo."
 
kwa hyo unataka zisapoti matope yako🤣🤣.
achana na uislam hauuwezi.wenzio wengi walijaribu ukawatoa jasho
Hadith ya Ibn Abbas – Bukhari (Maghazi):

Mtume alisema:

"Al-nāsu ilā Adnān mabtūrūn."
(Watu wote wanaweza kufuatiliwa hadi Adnan, kisha mambo yanakatika hapo.)
— [Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Maghazi].
 
bado nina FICHUA UONGO WAKO🤣🤣🤣🤣.
Mtume mwenyewe alizuia nasaba kupitiliza zaidi ya Adnan.

Wanazuoni wakubwa walithibitisha kuwa hakuna ushahidi madhubuti wa vizazi kutoka Adnan hadi Ismail.

Historia nyingi za vizazi hivyo zinategemea simulizi zisizo sahihi (isra’iliyyat) au kutungwa.

Kwanini udanganywe na wahuni wachache tu
 
sasa kama hao wayahudi waliwapinga na kuwauwa mitume yao.kwanini wasilaaniwe?hao si ndo walimuita yesu mtoto wa zinaa?
Labda niandike hivi ili unielewe vyema:

Pamoja na tabia zote za kiyahudi hatujawahi kusikia hata mara moja wakristo wakilaani wayahudi na kutaka waangamizwe, na wakristo wanakiri wazi kuwa misingi ya baraka za kiimani zinatokea kwa wayahudi, maana wanajua msingi wa imani yao na Mungu wanayemuabudu ana mizizi ya kiyahudi kwa 100%.
Hali ni tofauti kabisa kwa uislamu na mafundisho yote ya kiislamu ambayo yamejikita kuwalaani na kuwabeza wayahudi kwa karibu kila kitu huku yakiwahusudu waarabu.

Sasa yatakuwa maajabu makubwa mnoo, katika mazingira hayo tuambiwe Mohamad ana vinasaba vya kiyahudi.
 
Kijana kaa usome dini yako ,usimezeshwe uongo na masheikh Hawa wahuni ,

Imam Malik bin Anas alisema:


(Imepokewa na Ibn Sa’d na wengine)
nimekuuliza adnan baba yake nani
 
kwa hyo kukaa kimya kwa wakristo juu ya uovu wa wayahudi ndo una ona wako sahihi?
 
adnan baba yake nani?
Umeuliza swali ambalo wanazuoni wamelijibu vzr sana ,

Kwa mujibu wa riwaya nyingi za kihistoria, hasa zile zinazopatikana katika vitabu vya nasab (genealogy) vya waarabu, jina la baba wa Adnan mara nyingi hutajwa kuwa ni Ma‘add bin Adnan.

Muhammad bin Abdullah bin Abdul-Muttalib bin Hashim bin Abd Manaf bin Qusay bin Kilab bin Murrah bin Ka‘b bin Lu’ayy bin Ghalib bin Fihr bin Malik bin al-Nazr bin Kinana bin Khuzaymah bin Mudrikah bin Ilyas bin Mudar bin Nizar bin Ma‘add bin Adnan.

Maana yake ni kuwa:

Baba wa Adnan ni haijulikani kwa uhakika.

Mwana wa Adnan anayeaminika ni Ma‘add, ambaye ndiye chanzo cha ukoo wa Waarabu wa kaskazini (al-‘Arab al-Musta‘ribah).


Wanazuoni Wanasemaje kuhusu Baba wa Adnan?

1. Ibn Kathir anasema:

“Watu wamesimulia kwa wingi kuhusu waliokuwa juu ya Adnan, lakini hakuna cha kuaminika.”

2. Imam al-Tabari anawasilisha orodha ndefu ya vizazi vya juu ya Adnan, lakini anasema wazi kuwa:

“Simulizi hizo hazina ushahidi wa kusadikika.”

3. Imam Ibn Hajar al-Asqalani:

“Ma‘add ni mtoto pekee wa Adnan aliye thibitishwa.”

Ma‘add ni mwana wa Adnan anayekubalika kihistoria.

Baba wa Adnan hakujulikani kwa hakika, na hata kama kuna majina yanayotajwa kama Udad au Send, hayo ni ya kukisia tu na hayana dalili za hadith au sanad sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…