Huyu jamaa anaongeaga pumba. Kwenye kuhamasisha kuelekea Simba day alitoa boko, namnukuu
"Tunakwenda kuwaonesha kuww wao wanawapeleka uwanjani ila sisi tumeleta wakongo ili wafanye featuring na whozu, hii ndio tofauti kati ya wao na sisi. Na pale tunaenda kuwaonesha ni jinsi wakongo wanajua kukata viuno lakini sio wakongo kucheza mpira.
Mohamed mswahili Simba inatakiwa iende kwenye level za klabu kubwa afrika, Kama Simba unataka watu wamahasike wanatakiwa wafanye vizuri uwanjani hao kina mwijaku ni watu wa kutafuta kick hawana tofauti na Manara