Linguistic JF-Expert Member Joined Mar 16, 2021 Posts 3,664 Reaction score 8,277 Oct 21, 2021 #1 Kwamba Mwijaku Ndio anaongea na Wachezaji anakuja Kuwaeleza Mashabiki Wa Makolo Fc? Ila Mwijaku alitafuta sana Huu Uhamasishaji wa Team, alikuwa anajipendekeza Sana kwa Baba. Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba Mwijaku Ndio anaongea na Wachezaji anakuja Kuwaeleza Mashabiki Wa Makolo Fc? Ila Mwijaku alitafuta sana Huu Uhamasishaji wa Team, alikuwa anajipendekeza Sana kwa Baba. Sent using Jamii Forums mobile app
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,022 Reaction score 104,625 Oct 21, 2021 #2 Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa..
Linguistic JF-Expert Member Joined Mar 16, 2021 Posts 3,664 Reaction score 8,277 Oct 21, 2021 Thread starter #3 makaveli10 said: Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa.. Click to expand... Ndio ameshakuwa Sasa Sent using Jamii Forums mobile app
makaveli10 said: Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa.. Click to expand... Ndio ameshakuwa Sasa Sent using Jamii Forums mobile app
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,792 Oct 21, 2021 #4 makaveli10 said: Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa.. Click to expand... Wanaocheza mpira ni wachezaji,sio wahamasishaji
makaveli10 said: Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa.. Click to expand... Wanaocheza mpira ni wachezaji,sio wahamasishaji
L Lihove2 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 3,842 Reaction score 6,963 Oct 21, 2021 #5 makaveli10 said: Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa.. Click to expand... Hapo umechemka kidogo.Haiwezekani wakati tayari ashakuwa mhamasishaji wa team
makaveli10 said: Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa.. Click to expand... Hapo umechemka kidogo.Haiwezekani wakati tayari ashakuwa mhamasishaji wa team
zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,251 Reaction score 2,410 Oct 21, 2021 #6 Duh wametuletea mmbeya sasa
escrow one JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 1,477 Reaction score 2,873 Oct 21, 2021 #7 Kama wameridhika nae na wameona ni wa viwango vyao basi tuwape hongera.
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,047 Reaction score 10,159 Oct 21, 2021 #8 mjingamimi said: Wanaocheza mpira ni wachezaji,sio wahamasishaji Click to expand... Basi wasingemuajiri muhamasishaji kama ni hivyo
mjingamimi said: Wanaocheza mpira ni wachezaji,sio wahamasishaji Click to expand... Basi wasingemuajiri muhamasishaji kama ni hivyo
GAGNANT JF-Expert Member Joined Jun 24, 2021 Posts 1,283 Reaction score 2,572 Oct 21, 2021 #9 Pele limepata mkunaji. Go Mwijaku .
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,792 Oct 21, 2021 #10 changaule said: Basi wasingemuajiri muhamasishaji kama ni hivyo Click to expand... Nitajie muhamasishaji wa Chelsea. Kuwapa tu watu hela za bure.
changaule said: Basi wasingemuajiri muhamasishaji kama ni hivyo Click to expand... Nitajie muhamasishaji wa Chelsea. Kuwapa tu watu hela za bure.
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,047 Reaction score 10,159 Oct 21, 2021 #11 mjingamimi said: Nitajie muhamasishaji wa Chelsea. Kuwapa tu watu hela za bure. Click to expand... Sasa badala ya kulalamikia klabu yako unakuja kutulalamikia sisi
mjingamimi said: Nitajie muhamasishaji wa Chelsea. Kuwapa tu watu hela za bure. Click to expand... Sasa badala ya kulalamikia klabu yako unakuja kutulalamikia sisi
KANYIMBI JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 2,187 Reaction score 4,422 Oct 21, 2021 #12 Matangazo ya mechi ya Jumapili kule Azam TV yalipooza sana. Angalau leo Mwijaku amekuja na 'It is Not Over' Kazi iendelee pale tulipoishia.
Matangazo ya mechi ya Jumapili kule Azam TV yalipooza sana. Angalau leo Mwijaku amekuja na 'It is Not Over' Kazi iendelee pale tulipoishia.
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,173 Reaction score 190,755 Oct 21, 2021 #13 escrow one said: Kama wameridhika nae na wameona ni wa viwango vyao basi tuwape hongera. Click to expand... Jamaa si ana degree lakini kama kigezo chao kilivyotaka!
escrow one said: Kama wameridhika nae na wameona ni wa viwango vyao basi tuwape hongera. Click to expand... Jamaa si ana degree lakini kama kigezo chao kilivyotaka!
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,312 Reaction score 55,973 Oct 21, 2021 #14 makaveli10 said: Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa.. Click to expand... makaveli10 said: Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa.. Click to expand... We ndio kilaza,mpira wa bongo unataka watu dizaini ya mwijaku.mpira ni mchezo wa kihuni,mpira sio kama ofisi ya UN au BOT
makaveli10 said: Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa.. Click to expand... makaveli10 said: Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa.. Click to expand... We ndio kilaza,mpira wa bongo unataka watu dizaini ya mwijaku.mpira ni mchezo wa kihuni,mpira sio kama ofisi ya UN au BOT
escrow one JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 1,477 Reaction score 2,873 Oct 21, 2021 #15 Extrovert said: Jamaa si ana degree lakini kama kigezo chao kilivyotaka! Click to expand... kama mlipa mshahara amemkubali mashabiki wataishia kupiga kelele tu hahah
Extrovert said: Jamaa si ana degree lakini kama kigezo chao kilivyotaka! Click to expand... kama mlipa mshahara amemkubali mashabiki wataishia kupiga kelele tu hahah
KANYIMBI JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 2,187 Reaction score 4,422 Oct 21, 2021 #16 zink said: Duh wametuletea mmbeya sasa Click to expand... Mbona hata Haji ni Muongo muongo tu. Leo anasema hivi, kesho anageuka kuwa aliongea akiwa amelewa.
zink said: Duh wametuletea mmbeya sasa Click to expand... Mbona hata Haji ni Muongo muongo tu. Leo anasema hivi, kesho anageuka kuwa aliongea akiwa amelewa.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,022 Reaction score 104,625 Oct 21, 2021 #17 mdukuzi said: We ndio kilaza,mpira wa bongo unataka watu dizaini ya mwijaku.mpira ni mchezo wa kihuni,mpira sio kama ofisi ya UN au BOT Click to expand... Tizama huyu nae, unaongea kama una upungufu wa kende.. Sasa huyo mpuuzi ana uhuni gani kwenye soka,we wahuni wa mpira unawajua, soka la bongo haliwezi kuendelea kwa kuendekeza upuuzi kama huu.
mdukuzi said: We ndio kilaza,mpira wa bongo unataka watu dizaini ya mwijaku.mpira ni mchezo wa kihuni,mpira sio kama ofisi ya UN au BOT Click to expand... Tizama huyu nae, unaongea kama una upungufu wa kende.. Sasa huyo mpuuzi ana uhuni gani kwenye soka,we wahuni wa mpira unawajua, soka la bongo haliwezi kuendelea kwa kuendekeza upuuzi kama huu.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,312 Reaction score 55,973 Oct 21, 2021 #18 makaveli10 said: Tizama huyu nae, unaongea kama una upungufu wa kende.. Sasa huyo mpuuzi ana uhuni gani kwenye soka,we wahuni wa mpira unawajua, soka la bongo haliwezi kuendelea kwa kuendekeza upuuzi kama huu. Click to expand... Hujui mpira wa bongo wewe kaa kimya ulitaka hiyo kazi apewe jenerali ulimwengu au hamza kasongo,au tido mhando,huyuhuyu lopolopo ndio anafit hapo
makaveli10 said: Tizama huyu nae, unaongea kama una upungufu wa kende.. Sasa huyo mpuuzi ana uhuni gani kwenye soka,we wahuni wa mpira unawajua, soka la bongo haliwezi kuendelea kwa kuendekeza upuuzi kama huu. Click to expand... Hujui mpira wa bongo wewe kaa kimya ulitaka hiyo kazi apewe jenerali ulimwengu au hamza kasongo,au tido mhando,huyuhuyu lopolopo ndio anafit hapo
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,538 Oct 21, 2021 #19 makaveli10 said: Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa.. Click to expand... Ujinga mtupu wanatuletea ,jamaa hata hana idea na mpira
makaveli10 said: Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa.. Click to expand... Ujinga mtupu wanatuletea ,jamaa hata hana idea na mpira
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,248 Reaction score 69,820 Oct 21, 2021 #20 Extrovert said: Jamaa si ana degree lakini kama kigezo chao kilivyotaka! Click to expand... Kusoma Kusoma Kasoma, Siyo Alifuu Ila Chuo Kikuu
Extrovert said: Jamaa si ana degree lakini kama kigezo chao kilivyotaka! Click to expand... Kusoma Kusoma Kasoma, Siyo Alifuu Ila Chuo Kikuu