Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,733
Ha haaaa Mugabe bana .. Alijisahau kabisaa hadi akataka kuuza nchi kwa mke wake Grace.. Akafuata ushauri wa Grace na kumfukuza Mnagangwa umakamu wa Rais ili Grace awe Rais wa ZANU-PF.. Mzee Mugabe pumzika bana acha kuhangaika. Umeshafanya yote ur 94 yrs old achana na siasa ulijisahau sana bana Grace alikupotosha kwa penzi motooo..