inchi yetu kwenda inatakiwa ujitoe ufahamu kwanza maana madudu kila kukicha huku meli 60 zimepotea bila kulipa kodi kwani zina mabawa au matairi mpaka zisionekane kule nssf wamepiga dili ununuzi wa ardhi kigamboni sasa hapo ni majanga matupuWabongo bana! Mnampenda sana Mugabe lakini Magufuli kaanza kuiga kiburi cha Mugabe kwa kuwatolea Maneno ya shombo wahisani tumeanza kumlaumu!
Ndio je maneno hayo kasema kweli?Hapana kiongozi Mugabe ndiyo Mwanasiasa mahiri aliyebaki katika bara la afrika wengine wazugaji tu hakuna jipya
Ni kweli mkuu bila kusahau pia kwamba anaongoza kwa kuwaletea Mateso ya maisha magumu wananchi wake..Hapana kiongozi Mugabe ndiyo Mwanasiasa mahiri aliyebaki katika bara la afrika wengine wazugaji tu hakuna jipya
maisha magumu mbona ata hapa bongo yapo ndugu hiv zile meli 60 kama zingelipa kodi zahanati ngapi zingejengwa,madawati magapi yangenunuliwa,dawa za wagonjwa kiasi gani zinge nunuliwa kuboresha huduma ya afyaNi kweli mkuu bila kusahau pia kwamba anaongoza kwa kuwaletea Mateso ya maisha magumu wananchi wake..
White toilet paper can rape your *ss unknowinglyPresident Robert Mugabe funn..
A speech by Zimbabwean President Robert Mugabe:
"Racism will never end as long as white cars are still using black tyres. Racism will never end if people still use black to symbolise bad luck and white for peace. Racism will never end if people still wear white clothes to weddings and black clothes to funerals.
Racism will never end as long as those who don't pay their bills are blacklisted not whitelisted. Even when playing snooker. You haven't won until you've sunk the black ball, and the white ball must remain on the table.
But I don't care, as long as I'm still using white toilet paper to wipe my black butt , I'm fine!"..
Umeona eeeh....hata msemo uliosemwa na BansenBurner utasikia....MugabeHuyu mzee sikuhiz amakua akipandikiziwa maneno mengi as if anasema yy kweli" stupid
Thibitisha kwa kuweka source originalkasema kweli kiongozi hakuna longolongo hapo aise
Thibitisha kwa kuweka original sourcekasema kweli kiongozi hakuna longolongo hapo aise
Yani" haha [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeona eeeh....hata msemo uliosemwa na BansenBurner utasikia....Mugabe