Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Mugabe na familia yake walitaka kwenda mapumziko kusherehekea ushindi wa uchaguzi uliofanyika hivi juzi.
Mugabe alitaka kwenda Dubai, Mke wake Grace na watoto wawili walitaka kwenda Bahamas.
Hivyo waliamua kupiga kura, matokea ya kura hizo yalikua kama ifuatavyo:
Bahamas: 3
Dubai: 68