Mugabe hawamwezi. Sasa aalikwa na Pope!

Mugabe hawamwezi. Sasa aalikwa na Pope!

Is beatification a Biblical teaching or a Roman Catholic tradition? Otherwise, if it’s a tradition, then am 'wasting' my time believing in Jesus Christ. I can’t imagine in such a generation where knowledge in every aspect is diverse people are still fooled. eti mtu kaafa, watu fulani wanaka, na kuchunguza maisha yake alafu, wanasema ni 'mtakatifu', sasa Mungu kazi yake ni nini?. Ok that’s fine. Kwanini wakati wa uhai wake, tulikua tunamuita ‘baba mtakatifu’

Let me ask u. Are you written anywhere in the Bible? If not then be ready to learn. Ukisoma historia ya kanisa, Baba Mtakatifu ni jina analopewa kiongozi wa kanisa Katoliki. Ni kuelezea ukuu na utakatifu wa cheo na wajibu wa yule mtu anayekalia kiti cha mtakatifu petro aliyekuwa papa wa kwanza, kwamba aishi kitakatifu.

Mungu yupo pamoja na kanisa lake kama Bwana Yesu alivyoahidi hata ukamilifu wa dahari na huu ni mfano mmojawapo.
Mpaka kuja kutangazwa mwenyew heri ni kuwa Mungu Mwenyewe ameridhia maana alimponya mtawa aliyekuwa na parkinson's disease kwa maombezi ya papa John paul II.
kwa maelezo mengi zaidi waone mapadre wakatoliki wakufundishe zaidi.
 
Kama ndo Hivyo, lets not call this christianity, its tradition (Roman Peganism). Do dead pray for people? Wafu hawajui lolote. Mie nataka Biblical evidence. Kama ni church tradition , i have no problem with that. But should christians follow tradition or the Bible? Katika Ibada ya jana vatican, wametumia fungu lipi la Biblia?

Biblical evidence utaipata -soma habari ya tajiri na lazaro. Ukifa ni kuwa mwili unatengana na roho. mwili utaoza na roho ipo sehemu na roho ndio wewe.
 
Is beatification a Biblical teaching or a Roman Catholic tradition? Otherwise, if it’s a tradition, then am 'wasting' my time believing in Jesus Christ. I can’t imagine in such a generation where knowledge in every aspect is diverse people are still fooled. eti mtu kaafa, watu fulani wanaka, na kuchunguza maisha yake alafu, wanasema ni 'mtakatifu', sasa Mungu kazi yake ni nini?. Ok that’s fine. Kwanini wakati wa uhai wake, tulikua tunamuita ‘baba mtakatifu’

You started by asking a very crucial question but you spoiled your thinking by associating the Roman Catholic with Jesus, Who told you that Roman Catholic was imposed by Jesus Christ? Jesus never brought any denomination on earth, he brought up Faith on Him.
 
Naomba kutofautiana kuhusu Yesu. Yeye kama Mungu na mkombozi aliacha kanisa moja lilikuja kujulikana kama Kanisa katoliki la Roma ambapo wakati wakristu walipokuwa wakiteswa na warumi na mtume petro kama kiongozi akiwa Roma alikimbia na njiani akakutana na Bwana Yesu akielekea Roma amebeba msalaba wake. Petro alipoona hayo akarudi Roma na aksulubiwa ila kichwa chini na miguu juu ili asife kama Bwana wake. kaburi lake lipo hata leo Vatican.
Haya makanisa mengine yote yameanzishwa na watu. soma historia zao.Na bado yanaendelea kuanzishwa kwa kisingizio cha kutumia Biblia.
 
hapo Zimbabwe pangekua na madini tungeshamuondoa madarakani kitambo.
 
...Petro alipoona hayo akarudi Roma na aksulubiwa ila kichwa chini na miguu juu ili asife kama Bwana wake. kaburi lake lipo hata leo Vatican...
Wewe kweli ni Mgalatia!

Lete source basi, kama ni kweli. Kama wino upo kwa nini unaandikia mate?
 
sasa hapa ndugu ellet ndio umelikoroga kabisaaaa! Kuwa mwenye heri na kuwa mbalikiwa ni vitu viwili tofauti, pia wakatoliki wanamuita maria muombezi na si mpishiwa maombi na yesu ndio mwanzo na mwisho alfa na omega hivyo hawapitishi maombi balli yeye ni njia na uzima mtu haendi kwa baba ila kwa njia yake yeye.

Unaswali au unasali wapi ndugu ellet?

Sikubaliani na wewe hapo. Kama Maria sio mpitisha maombi ya wakatoliki kwa nini wanasema "maria mtakatifu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu"?
 
Let me ask u. Are you written anywhere in the Bible? If not then be ready to learn. Ukisoma historia ya kanisa, Baba Mtakatifu ni jina analopewa kiongozi wa kanisa Katoliki. Ni kuelezea ukuu na utakatifu wa cheo na wajibu wa yule mtu anayekalia kiti cha mtakatifu petro aliyekuwa papa wa kwanza, kwamba aishi kitakatifu.

Mungu yupo pamoja na kanisa lake kama Bwana Yesu alivyoahidi hata ukamilifu wa dahari na huu ni mfano mmojawapo.
Mpaka kuja kutangazwa mwenyew heri ni kuwa Mungu Mwenyewe ameridhia maana alimponya mtawa aliyekuwa na parkinson's disease kwa maombezi ya papa John paul II.
kwa maelezo mengi zaidi waone mapadre wakatoliki wakufundishe zaidi.

Niko Tayari kujifunza pamoja na wewe
Answer the following questions
1.Does the catholic church follow the bible or it follows its own History/tradition (much of it is peganism)?
3. How sure are u kwamba Mungu ameridhia? Yule Nani, aliomba 'katika jina la John Paul 2' na 'akapona'. Is this what the Bible teaches? Tunaomba kwa majina ya watu au Kwa jina la Yesu?
 
You started by asking a very crucial question but you spoiled your thinking by associating the Roman Catholic with Jesus, Who told you that Roman Catholic was imposed by Jesus Christ? Jesus never brought any denomination on earth, he brought up Faith on Him.

You are true, Jesus never brought any denomination, becasue be Himself is the denomination which man kind was following and should follow. God gave us the Bible to be a reference and a guide for us in everything (spiritual). When I read it, it tells me Jesus Christ is the only name under the Sun even in Heaven that people should pray to. Now here comes some one who tells me that when I die, they will convey and dicide whether iam fit to go to heaven or not. My question, why should I have faith in Jesus since the church can decide whether i go to heaven or not!? Remember its saints who go to heaven.
 
Kazi ipo ni lini watu wamagharibi watatuchagulia ni yupi rafiki na yupi adui!leo mugabe wanamwita "sinner" kwa kuwa alikataa kuwa kibaraka kwao!
Nadhani hapo wanamwita "Sinner" kutokana na maadili/mafunzo ya kanisa lake la kikatoliki. Yaani kidini, Mugabe ameshatenda dhambi nyingi kwa kupitia siasa zake chafu! Lakini mwache aende Roma akatubu kabla mauti hayajamsibu.
 
Mashoga wanasema Mugabe and the Pope "in good company".

Monday, 02 May 2011 10:29

Robert Mugabe and the Pope "in good company" say gay Humanists The gay Humanist charity the Pink Triangle Trust (PTT) has noted without surprise that the President of Zimbabwe, Robert Mugabe, has attended the beatification of John Paul II which was held in the Vatican on 1 May.

Commenting on behalf of the PTT, its secretary George Broadhead said, "Mugabe's attendance at the ceremony comes as no great surprise. As a fellow Roman Catholic, he shares at least one trait in common with both the late beatified pope and the present one – an entrenched homophobia. He is viciously hostile to homosexuality, declaring on one occasion: ‘I find it extremely outrageous and repugnant to my human conscience that such immoral and repulsive organizations, like those of homosexuals, who offend both against the law of nature and the morals of religious beliefs espoused by our society, should have any advocates in our midst and elsewhere in the world', and on another occasion: ‘It [homosexuality] degrades human dignity. It's unnatural, and there is no question ever of allowing these people to behave worse than dogs and pigs. If dogs and pigs do not do it, why must human beings? We have our own culture, and we must re-dedicate ourselves to our traditional values that make us human beings. … What we are being persuaded to accept is sub-animal behaviour and we will never allow it here. If you see people parading themselves as lesbians and gays, arrest them and hand them over to the police.'

Only last month at the funeral of his deputy intelligence chief, Mugabe described Britain's tolerance of gay rights ‘unnatural' and ‘filth'."

"Though rather more restrained in his choice of words, the present pope has shown himself to be equally homophobic, so Mugabe will have found himself in good company. It seems that the Vatican has chosen to ignore Mugabe's gross human rights abuses, just as it ignored those of the Roman Catholic fascist dictators Adolf Hitler (with whom Mugabe has compared himself), Francisco Franco and Augusto Pinochet. By granting an exemption to the travel ban it seems that Italy has also chosen to ignore the human rights abuses."

-Source:
 
Niko Tayari kujifunza pamoja na wewe
Answer the following questions
1.Does the catholic church follow the bible or it follows its own History/tradition (much of it is peganism)?
3. How sure are u kwamba Mungu ameridhia? Yule Nani, aliomba 'katika jina la John Paul 2' na 'akapona'. Is this what the Bible teaches? Tunaomba kwa majina ya watu au Kwa jina la Yesu?

yesu anakili,hakuja kutengua torati,ujui kua kuna utaratibu ulikuepo wa kuabudu ata kabla yake? Mbona yeye alibatizwa na Yohana? Watu kama hao wanakubalika kiimani sio yesu pekee.i mean petro up to pop Benedicto xvi
 
So what you are saying is that Yesu ni sawasawa na Petro up to Benedicto xvi!? Sina tatizo na hili kama unafuata tradition ya wa Rumi (with is pure peganism anyway). However, if you are following the Bible, can you give me concrete Biblical evindence to justify your claims?
 
Mugabe says denying ZBC journalist visa is ‘unholy’

03 May 2011

On his return from a controversial trip to the Vatican, Robert Mugabe has said it is ‘unholy’ to deny journalist Reuben Barwe a visa to enter the state. Mugabe was in the Vatican for the beatification of the late Pope John Paul II.

Zimbabwe Broadcasting Corporation chief correspondent Barwe is on the EU and United States sanctions lists, alongside notorious abusers of human rights in Zimbabwe. The Vatican is a sovereign state within Italy and those visiting have to transit through Rome.

On Wednesday, the state-owned Herald newspaper said Mugabe told journalists that: “I was surprised and shocked that on this holy trip there was an unholy decision to bar one of our journalists called Reuben Barwe.” It added that he also said he did not think it was the decision of the Vatican but of Italy under the influence of Britain.

Ironically, there has been protest that Mugabe himself was allowed a visa to travel to the Vatican.

His recent attacks on the Catholic Church, and the fact that he is barred from travelling in the EU as part of the sanctions slapped on him, have caused concern.

Source
 
[/COLOR]
So what you are saying is that Yesu ni sawasawa na Petro up to Benedicto xvi!? Sina tatizo na hili kama unafuata tradition ya wa Rumi (with is pure peganism anyway). However, if you are following the Bible, can you give me concrete Biblical evindence to justify your claims?
Wakuu wanaohoji imani katoliki ni bible au nini jibu jepesi ni kuwa imani katoliki ni katika biblia takatifu pamoja na mapokeo matakatifu.kufafanua kidogo mfano wenzetu waislamu wanaamini ktk kuruani tu sababu wao wanaamini kilishushwa direct na Mungu na kuwaagiza kufata kilichoandikwa mle tu.sisi tunaoamini ktk Yesu hakuacha maagizo yote aliyofanya na kufundisha yaandikwe na waandishi wa biblia hawakuandika biblia kama kitabu cha historia bali kama chemchem ya kuamsha imani vizazi na vizazi na hasa watu wa nyakati za Yesu walipoanza kuisha duniani.kuna mengi hayapo kwenye biblia ni masimulizi ya kweli tunayoamini ambayo kanisa kama lilivyochambua vitabu vya kuwepo ktk biblia ndivyo lilivyochambua mapokeo hayo.Kanisa limepewa funguo na Yesu mwenyewe kufunga na kufungua ya duniani hadi mbinguni hivyo kanisa kwa muongozo wa Roho Mtakatifu wanaweza kufatilia na kumtangaza mtu mtakatifu ili awe mfano kwetu tuliobaki na pia watakatifu wanaweza kutuombea kwa yesu mwenyewe maana wapo pamoja mbinguni.
 
[/COLOR]
So what you are saying is that Yesu ni sawasawa na Petro up to Benedicto xvi!? Sina tatizo na hili kama unafuata tradition ya wa Rumi (with is pure peganism anyway). However, if you are following the Bible, can you give me concrete Biblical evindence to justify your claims?
Kama unaamini mchungaji anaweza kukuombea na ukapona kwa nini usiamini Musa,Eliya,Bikira Maria walio mbinguni ktk hali ya utakatifu washindwe?
 
Kama unaamini mchungaji anaweza kukuombea na ukapona kwa nini usiamini Musa,Eliya,Bikira Maria walio mbinguni ktk hali ya utakatifu washindwe?
Hata wayahudi walipokuwa pale Yesu aliposulubishwa walidhani Yesu anamwita Eliya kuja kumwokoa! Pale alipolia kwa sauti.
 
Kama unaamini mchungaji anaweza kukuombea na ukapona kwa nini usiamini Musa,Eliya,Bikira Maria walio mbinguni ktk hali ya utakatifu washindwe?

Mchungaji/au mtu yoyote anapo omba, anoamba katika jina la Yesu Kristo, bila hivyo ombi lake haliwezi kupokelewa mbinguni kwa Baba. Na anapo omba, iman yako haipo kwenye ila ni kwa Yesu Kristo. ukiomba katika Jina la Musa, Eliya,Maria, hayo maombi anapokea nani?. Ok, sasa kama tunaweza kuomba katika jina la Musa, Eliya, maria na watakatifu wengine, Kazi ya Yesu nini? Hakuna jina lolote tuliopewa duniani na Mbinguni isipokua la Yesu Kristo. Ukiomba kwa jina la Musa, Eliya, Maria, Bin Laden, sijui nani, unamkufuru Yesu Kristo. Eriya, Musa, Enock na Abraham wapo Mbinguni ni sawa kama malaika, kwani unaweza kuomba katika jina la malaika e.g 'katika jina la Gabriel? La hasha!
Maria na watakatifu wengine na watu wote walio wai kuishi duniani wapo makaburi, yaani ni mavumbu ni udongo, kwahio ukiomba kwa majina yao unaomba udongo na mashetani. Refer to the Bible, otherwise u will be lost
 
Watakatifu wapo mbinguni mkuu na udongoni ni mwili tu hukumbuki yule mwivi aliyesulubishwa na Yesu alimwambia hakika leo hii utakuwa nami ktk ufalme wa Mbingu! Pia hao watakatifu tunawaomba watuombee kwa Yesu (Mungu kweli),kanisa halikatazi kuomba direct but unaweza kuomba msaada kwa watakatifu mbinguni wakuombee pia na imetendeka miujiza mingi tu mkuu.elewa msingi wako wa imani kabla hujarukia mambo.
 
Back
Top Bottom